FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Wakati huo uchaguzi unasogezwa mbele kusubiri apatikane mgombea mpya wa chama husika?atazikwa na baada ya hapo utafanyika mchakato wa kumpata mgombea mwingine kupitia kura za maoni kutoka kwa wajumbe.
Umeona jambo nini mkuu!Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Umeeleweka jombi...teh teh teh.Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
na ndicho kifuatacho.Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Siombei itokee tena. Wahuni wanaweza kuingia msituni.Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Watakufa wagombea Wawilina ndicho kifuatacho.
hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.
Wakati wa Kikwete iliwahi kutokea issue kama hiyo unayoulizia, ulikuwa wapi wakati huo ?Wakati huo uchaguzi unasogezwa mbele kusubiri apatikane mgombea mpya wa chama husika?
You never know mkuu! Wagombea 18 wa urais, vyama 19 kasoro CDM tu. Wengi afya zao changamoto.Umeona jambo nini mkuu!
Vipi una taarifa za kinabii nini?Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Parapanda lazima ilie.Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Vipi kuna nini nimekuja mbiombio au tuandike RIP?Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?