Ikitokea kwa chama kikuu italeta mjadala na hayo ya Mtikila yataamshwaKama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
Je shuka zikiendelea kuadimika kama vitu vilipo adimika wakati wa nduliatazikwa na baada ya hapo utafanyika mchakato wa kumpata mgombea mwingine kupitia kura za maoni kutoka kwa wajumbe.
Rejea uchaguzi mkuu wa Mwaka 2005 ambapo mgombea mwenza wa Mbowe (Chadema) alifariki kipindi cha kampeni.Ilibidi uchaguzi usogezwe mbele.Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Hapana, Mch. Mtikila alipofariki dunia mwaka 2015 hakuwa mgombea urais kwa kuwa jina lake lilikatwa baada ya mgombea mwenza kukosa sifa.Kama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
Mbona hujataja chama kile chenyewe ambacho unapendelea a R.I.P?Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Labda avute kamba kizimkazi ila hawa TLP nkna ndicho kifuatacho.
hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO.
Je moonbeam wa CCM Uchaguzi utarndelea tu?Kama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
Ungetolea mfano CCM uzi ungefutwa. Ila kwa kuwa ni TLP aaaahMfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Rejea uchaguzi mkuu wa Mwaka 2005 ambapo mgombea mwenza wa Mbowe (Chadema) alifariki kipindi cha kampeni.Ilibidi uchaguzi usogezwe mbele.
Kwa hiyo,mgombea yoyote aliyeidhinishwa na Tume ya Uchaguzi,huo
Mgombea Urais Mziray alipofariki Uchaguzi ulisogezwa mbele 🐼Inategemea ni wa chama gani, kama ni ccm utasogezwa mbele.
Pasi na kujali katiba au sheria zinasemaje.
ndiyo, ilishawahi kutokea nadhani ilikuwa kipindi cha Kikwete mmoja kati ya wagombea wa upinzani alifariki na uchaguzi ulisogezwa mbele mwezi mmoja.Wakati huo uchaguzi unasogezwa mbele kusubiri apatikane mgombea mpya wa chama husika?
Mchungaji Mtikila hakua mgombea wa Urais 2015.Kama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
Mtikila hakua mgombea Urais 2015Ikitokea kwa chama kikuu italeta mjadala na hayo ya Mtikila yataamshwa