Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.

Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?

Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?

Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?

NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi. Bali iwe ni dharura yenye uhakika.
 
Utajua mwenyewe. Kifupi Simba ni kubwa sana kuliko kila kitu. Kwahiyo mechi kuahirishwa ni lazima. Yanga wakitaka hizo favours, wakaze buti kwanza mpaka na wao wawe wakubwa ndio tutaanza kuwasikiliza. Katimu bado kadooooogo alafu kanataka haki sawa na Simba?🙄🙄
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.

Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?

Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?

Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?

NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi.
Mbona Takukuru wamejibu kwamba hawajapewa taarifa ya rushwa?
 
TPLB Yenyewe imekiri kwamba ilifanya makosa ikatumia busara
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.

Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?

Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?

Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?

NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi. Bali iwe ni dharura yenye uhakika.
Vipi kama rushwa inayotajwa ndo ilisababisha wasiruhusiwe kufanya mazoezi?
Kuna viashiria vyote vya watu kupewa pesa wawazuie Simba kuingia uwanjani muda ule wa mazoezi.
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.

Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?

Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?

Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?

NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi. Bali iwe ni dharura yenye uhakika.
Maswali kama haya uliyouliza siyo hiyo bodi isiyojielewa au wale mashabiki mbumbumbu wanaweza kukujibu kwa ufasaha.
 
Mbona Takukuru wamejibu kwamba hawajapewa taarifa ya rushwa?
Kwa sauti iliyo vuja kumbe kuna timu inatakiwa ishuke daraja, ile iliyo rusha jiwe gizani

Baadhi ya maneno nakuu itakuweje kama competitor wako akishushwa daraja
yaani inakuwaje endapo mpinzani wako atashushwa daraja
 
Back
Top Bottom