MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Mbona Takukuru wamejibu kwamba hawajapewa taarifa ya rushwa?Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.
Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?
Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?
Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?
NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi.
Vipi kama rushwa inayotajwa ndo ilisababisha wasiruhusiwe kufanya mazoezi?Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.
Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?
Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?
Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?
NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi. Bali iwe ni dharura yenye uhakika.
Maswali kama haya uliyouliza siyo hiyo bodi isiyojielewa au wale mashabiki mbumbumbu wanaweza kukujibu kwa ufasaha.Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa kabla ya mchezo wanatoa barua kuahirisha mchezo.
Je, Taarifa hizo za kiusalama zimefika muda gani na kwanini maamuzi yatolewe baada ya barua ya 5imba?
Je, Taarifa za uwepo wa rushwa zilikuwa wapi mpaka baada ya 5imba kutoa barua yao?
Je, Kama 5imba wasingezuiliwa kufanya mazoezi wala kuandika barua, TPLB wangeahirisha mchezo kisa sababu za rushwa na usalama?
NB; Kanuni inasema sababu ya kuahirishwa mchezo inapaswa kuwa uhakika na si tetesi. Yaani sio kuahirisha mchezo kwa ajili ya kufanya tena uchunguzi. Bali iwe ni dharura yenye uhakika.
Kwa sauti iliyo vuja kumbe kuna timu inatakiwa ishuke daraja, ile iliyo rusha jiwe gizaniMbona Takukuru wamejibu kwamba hawajapewa taarifa ya rushwa?