Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio uchawi wenyewe huu ninaousemea sasa, wewe ni kigagula wa kutupwa tena koma kuhusisha dua na mambo ya kipuuzi.Watu tunajifusha na majisibyq limao na tangawizi Kwa wingi, bila kusahau kusali sana na dua kwa wingi kwa muumba wetu, kama kawaida.
Wewe sasa ndio mchawi kamili, umejuaje kuwa sijayapenda kama sio mapepo?? Wekeni takwimu za ugonjwa acheni ujinga na uzuri mnaokufa ni Nyie, wekeni takwimu mnaogopa kitu gani?
Mapambio ya kumsifu mkuu wa malaikaNifanyeje ili nipate uraia wa Chato?
Hamueleweki kabisa. Takwimu zikitolewa mnasema sio za kweli, zisipotolewa mnapiga kelele.Hamueleweki, jitokezeni na zile tambo zenu tena za kufukiza. Toeni takwimu basi kama mnajiamini. Wachawi wakubwa nyie
Dada wakati mwingine busara zikuongoze acha kuwa mnafikiIkulu ya wapi aliyoikimbia?
Tanzania kuna Ikulu ngapi?
Kujifukiza au kujifusha ni mapendwkwzo yako. Ukiona yanakufaa fanya au ukiona hayakufai Usifanye, ulilazimishwa?Ndio uchawi wenyewe huu ninaousemea sasa, wewe ni kigagula wa kutupwa tena koma kuhusisha dua na mambo ya kipuuzi. Kasome Hadithi ya mtume baada ya yule MTU kumuacha ngamia wake bila kumfunga, kasome majibu ya mtume.
Kwahio Taifa lihamie kwenye kujifukiza na dua? Ndio maana hamtaki kuweka takwimu wazi??
Hahahaha huwezi kunitoa kwenye mada, Lowasa tutamjadili kwenye Uzi mwingine na wizi wenu wa kura, kwa sasa tujadili corona na takwimu! Toeni takwimu tuone vile ambavyo tumepona kwa kujifukiza na dua.Wasio na maono likija boksi la kura wanawachakaza vibaya sana.
Vipi Lowasa hagombei tena huko?
Unafiki tena? Umeacha hoja unanivaa mimi utaweza dada?
Takwimu za nini tena, kura hazitoshi kwenye boksi?Hahahaha huwezi kunitoa kwenye mada, Lowasa tutamjadili kwenye Uzi mwingine na wizi wenu wa kura, kwa sasa tujadili corona na takwimu! Toeni takwimu tuone vile ambavyo tumepona kwa kujifukiza na dua.
Mecca na Italy wamefuata maagizo ya kisayansi, nyie wachawi mnakuja na ujinga wa dua na Maombi. Nyie ni wachawi na wauwaji
Siasa zimevuruga mentality yako.Kila mkoa tuna Ikulu na mikoa mingine zaidi ya Ikulu moja.
Ikulu maana yake ni "anapoikala Mkuu" siyo "particular location".
Vipi Mbowe yupo Ufipa?
Kwa hio Taifa tuache kufuata maagizo ya wataalam ambao tumewasomesja kama nchi tukajifukize?? Poor you dear!Kujifukiza au kujifusha ni mapendwkwzo yako. Ukiona yanakufaa fanya au ukiona hayakufai Usifanye, ulilazimishwa?
Hivi kwenu wapi wewe wasioijuwa tiba ya asili ya kujifusha, ugweno?
Inasikitisha kama wewe ni mtu mzima na Mama wa familia mwenye mawazo ya namna hii Mungu akuokoe usije ukaacha kizazi cha mawazo kama yako itakuwa hasara kwa taifa na familia.Hiyo ni fact. Kuna nchi ambayo haipo kwenye kuchezea kichapo cha corona sasa hivi Kwa namna moja au nyingine?
Hata Ufipa corona kishatinga, kuna wachawi zaidi ya Ufipa?
Hapana, nazungumzia takwimu za Wagonjwa wa Covid-19 sizungumzii kura!! Kama kwa umri huo hujui umuhimu wa takwimu basi kuna mambo hayako vizuri kichwani mwako. Endelea kujitoa ufahamuTakwimu za nini tena, kura hwditoehi kwenye boksi?
Kila uchaguzi muibiwe nyinyi tu, mapoyoyo nasi?
Una maana mlipopata wabunge na madiwani waliiba eeh?
Tupe takwimu za hao waliofata sayansi tuone matokeo.
Nani alikwambia usimfate mtaalamu wako umpendae?Kwa hio Taiga tuache kufuata maagizo ya wataalam ambao tumewasomesja kama nchi tukajifukize?? Poor you dear!
Kwetu ni Usangi ila hio sio mada kwa sasa, mada yetu iko wazi, toeni takwimu hadharani tuone wangapi wamepona kwa kujifukiza??
Kwa unafiki wako labda hizo Dua unapeleka kwa maji marefuWatu tunajifusha na majisibyq limao na tangawizi Kwa wingi, bila kusahau kusali sana na dua kwa wingi kwa muumba wetu, kama kawaida.
Endelea kutoa ngebe tu.... Sisi tunawacheki tuTakwimu zipi tena unazotaka ambazo hauna?
Uwe na heshima mimi siyo Dada acha dharauUnafiki tena? Umeacha hoja unanivaa mimi utaweza dada?
Huyu niachieni MimiInasikitisha kama wewe ni mtu mzima na Mama wa familia mwenye mawazo ya namna hii Mungu akuokoe usije ukaacha kizazi cha mawazo kama yako itakuwa hasara kwa taifa na familia.
Sent using Jamii Forums mobile app