Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio uchawi wenyewe huu ninaousemea sasa, wewe ni kigagula wa kutupwa tena koma kuhusisha dua na mambo ya kipuuzi.Watu tunajifusha na majisibyq limao na tangawizi Kwa wingi, bila kusahau kusali sana na dua kwa wingi kwa muumba wetu, kama kawaida.
Kasome Hadithi ya mtume baada ya yule MTU kumuacha ngamia wake bila kumfunga, kasome majibu ya mtume.
Kwahio Taifa lihamie kwenye kujifukiza na dua? Ndio maana hamtaki kuweka takwimu wazi??