Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Watu tunajifusha na majisibyq limao na tangawizi Kwa wingi, bila kusahau kusali sana na dua kwa wingi kwa muumba wetu, kama kawaida.
Ndio uchawi wenyewe huu ninaousemea sasa, wewe ni kigagula wa kutupwa tena koma kuhusisha dua na mambo ya kipuuzi.

Kasome Hadithi ya mtume baada ya yule MTU kumuacha ngamia wake bila kumfunga, kasome majibu ya mtume.

Kwahio Taifa lihamie kwenye kujifukiza na dua? Ndio maana hamtaki kuweka takwimu wazi??
 
Ndio uchawi wenyewe huu ninaousemea sasa, wewe ni kigagula wa kutupwa tena koma kuhusisha dua na mambo ya kipuuzi. Kasome Hadithi ya mtume baada ya yule MTU kumuacha ngamia wake bila kumfunga, kasome majibu ya mtume.

Kwahio Taifa lihamie kwenye kujifukiza na dua? Ndio maana hamtaki kuweka takwimu wazi??
Kujifukiza au kujifusha ni mapendwkwzo yako. Ukiona yanakufaa fanya au ukiona hayakufai Usifanye, ulilazimishwa?

Hivi kwenu wapi wewe wasioijuwa tiba ya asili ya kujifusha, ugweno?
 
Wasio na maono likija boksi la kura wanawachakaza vibaya sana.

Vipi Lowasa hagombei tena huko?
Hahahaha huwezi kunitoa kwenye mada, Lowasa tutamjadili kwenye Uzi mwingine na wizi wenu wa kura, kwa sasa tujadili corona na takwimu! Toeni takwimu tuone vile ambavyo tumepona kwa kujifukiza na dua.

Mecca na Italy wamefuata maagizo ya kisayansi, nyie wachawi mnakuja na ujinga wa dua na Maombi. Nyie ni wachawi na wauwaji
 
Takwimu za nini tena, kura hazitoshi kwenye boksi?

Kila uchaguzi muibiwe nyinyi tu, mapoyoyo nasi?

Una maana mlipopata wabunge na madiwani waliiba eeh?

Tupe takwimu za hao waliofata sayansi tuone matokeo.
 
Kujifukiza au kujifusha ni mapendwkwzo yako. Ukiona yanakufaa fanya au ukiona hayakufai Usifanye, ulilazimishwa?

Hivi kwenu wapi wewe wasioijuwa tiba ya asili ya kujifusha, ugweno?
Kwa hio Taifa tuache kufuata maagizo ya wataalam ambao tumewasomesja kama nchi tukajifukize?? Poor you dear!

Kwetu ni Usangi ila hio sio mada kwa sasa, mada yetu iko wazi, toeni takwimu hadharani tuone wangapi wamepona kwa kujifukiza??
 
Hiyo ni fact. Kuna nchi ambayo haipo kwenye kuchezea kichapo cha corona sasa hivi Kwa namna moja au nyingine?

Hata Ufipa corona kishatinga, kuna wachawi zaidi ya Ufipa?
Inasikitisha kama wewe ni mtu mzima na Mama wa familia mwenye mawazo ya namna hii Mungu akuokoe usije ukaacha kizazi cha mawazo kama yako itakuwa hasara kwa taifa na familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu za nini tena, kura hwditoehi kwenye boksi?

Kila uchaguzi muibiwe nyinyi tu, mapoyoyo nasi?

Una maana mlipopata wabunge na madiwani waliiba eeh?

Tupe takwimu za hao waliofata sayansi tuone matokeo.
Hapana, nazungumzia takwimu za Wagonjwa wa Covid-19 sizungumzii kura!! Kama kwa umri huo hujui umuhimu wa takwimu basi kuna mambo hayako vizuri kichwani mwako. Endelea kujitoa ufahamu
 
Kwa hio Taiga tuache kufuata maagizo ya wataalam ambao tumewasomesja kama nchi tukajifukize?? Poor you dear!

Kwetu ni Usangi ila hio sio mada kwa sasa, mada yetu iko wazi, toeni takwimu hadharani tuone wangapi wamepona kwa kujifukiza??
Nani alikwambia usimfate mtaalamu wako umpendae?

Hivi ukoo wa Mbowe waliokuwa hawafati wataalam janga lilipowakumba? Mkuu wa mkoa wa Dar akaja kutuwekea wazi?

Kujifusha na majuisi ya malimao na tangawizi tuwachie sisi. Wewe fata mtaalam umjuaye. Ulizuiliwa?

Unataka takwimu za nini?
 
Back
Top Bottom