FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wengi sana walioponaKwa hio Taiga tuache kufuata maagizo ya wataalam ambao tumewasomesja kama nchi tukajifukize?? Poor you dear!
Kwetu ni Usangi ila hio sio mada kwa sasa, mada yetu iko wazi, toeni takwimu hadharani tuone wangapi wamepona kwa kujifukiza??
Hivi Usangi hawajui tiba ya kujifusha wala nyungu?