Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Ofcourse sisi tunakwamisha juhudi za dunia nzima katika kupambana na hili janga kwa sababu ya kiburi tu na ulevi wa madaraka!.

Kabla hata ya kushitakiwa tutakuwa blacklisted na Mataifa kwa kuhatarisha usalama wao.

Tulichokifanya TZ cha kuruhusu watalii kuingia nchini wakati dunia imechafuka na kisha kukataa kuchukua jitihada za kuzuia huu ugonjwa usisambae nchi nzima ni kitendo cha watu wanaoangalia pafupi sana.

Lakini let me tell you one thing, Corona hii haitoishia kwetu sisi tu akina baba Kabwela, Itapiga familia zao na wao wenyewe hapo ndo watajua how shortsighted they were!
Hivi kitendo cha kuficha takwimu za vifo na maambukizi mapya kinamnufaisha nani hasa?
 
Wengi sana waliopona

Hivi Usangi hawajui tiba ya kujifusha wala nyungu?
Wengi wangapi? Ndio mwisho wa akili zako huo? Bibie mie huwezi kunitoa kwenye hoja,never. Toeni takwimu kama mnajiamini, mnaficha za nini?? Kitu gani kimewafanya msitoe takwimu?? Simply cause hili hamliwezi tena liko beyond your control. Lete takwimu na hao vigagula wenzio
 
Basi kuna sababu muhimu sana yankuzikimbiq.

Bahati nzuri tuna Ikulu nyingi sana Tanzania ambako Rais anaweza kufanya kazi zake kiufanisi zaidi ya Dar na Dodoma kwa wakati huu.

Dar Sana anakuwepo kidiplomasi Kwa sasa. Dodoma anakuwepo kisiasa.

Sasa hivi hakuna mpango mikutano na watu diplomasia wala kisiasa.

Mwacheni Rais achape kazi zake anavyoona yeye siyo nyinyi.

Nyie nani mumpangie kazi zake?
Ukiona watu wana hoji ujue sio jambo la kawaida . Au sio utaratibu ambao umezoeleka au nitofauti na kipindi cha nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zipi tena unazotaka ambazo hauna?
Samia yuko wapi? Polepole yuko wapi? Mangula yuko wapi? Palamagamba yuko wapi? Ikulu iko wapi? Bushiru yuko wap? Chama cha mafisadi kiko wapi? Tupeni idadi ya wanaopuputika kulingana na ripoti ya Bashite!
 
Wengi wangapi? Ndio mwisho wa akili zako huo? Bibie mie huwezi kunitoa kwenye hoja,never. Toeni takwimu kama mnajiamini, mnaficha za nini?? Kitu gani kimewafanya msitoe takwimu?? Simply cause hili hamliwezi tena liko beyond your control. Lete takwimu na hao vigagula wenzio
Sasa wewe unataka data za kila anaejifusha uletewe hata kama kapona bila kufika hospitali? Zimo kweli?

Vipi Mbowe walikuwa wangapi kwenye nyumba zake?
 
Kwahio baada ya kujifukiza huko ndio mashetani yako yakakwambia kuwa takwimu ninazo sio! Hilo pepo la kijani limeongopa, kajifukize tena liambie hii nimeikataa.
Vipi Usangi mnajifukiza tu hamjuwi kujifusha?
 
Sasa wewe unataka data za kila anaejifusha uletewe hata kama kapona bila kufika hospitali? Zimo kweli?

Vipi Mbowe walikuwa wangapi kwenye nyumba zake?
Hahahahhhahahah umenifurahisha sana! Naona unajichanganya sasa! Haya ndio nazitaka hizo hizo na kama hazipo basi tufunge mahospitali tuhamie kwenye kujifukuza sio kujifukiza !!! Hata hueleweki, tunataka takwimu please Bibi! Achana na Mbowe kwanza ndio maana hata mimi nimekaa kimya sikuzungumzia ule utapeli wako kwenye vitendo saccoss
 
Vipi Usangi mnajifukiza tu hamjuwi kujifusha?
Hahahaha Dada tuendelee na takwimu kwanza, Usangi tuna akili ati, twajitambua sana! Ila kwa sasa tuendelee na issue iliyoko mezani hapa, tunataka takwimu please
 
Hahahaha Dada tuendelee na takwimu kwanza, Usangi tuna akili ati, twajitambua sana! Ila kwa sasa tuendelee na issue iliyoko mezani hapa, tunataka takwimu please
Takwimu mbona zipo automatic saa zote? 24/7 au hujuwi pakuzipata dada? Unataka za Kitaifa au za Kimataifa nikusaidie.
 
Back
Top Bottom