Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mungu mwenyewe alianza kuumba mwanaume, au anafikiri Mungu alishindwa kuwaumba kwa pamoja?
Kama hakushindwa kuumba kwa pamoja kwanini hakufanya hivyo? Kwanini ajipe kazi ya kuumba kisha kuumba tena mwingine ambaye hakutokana na udongo ( mwanamke)?
 
Uongo mtupu. Huko peponi hakuna kuoa wala kuolewa, sote tutakuwa kama malaika. "Asomaye na Afahamu".
 

Imeandikwa wapi?
 
Hao makitu ni majinga sana. Yan yanatumia hiyo kudanganyana yakajilipue ili yawahi hao mabikra 72
 
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI KUWA
 
Huyo aliyetunga hicho kitabu alimbagua na kumkandamiza Sana mwanamke, lakini kwa maneno utadikia wanasema ," wanamheshimisha mwanamke" usishangae yanayowapata wanawake wa kule Afghanistan chini ya Taliban ineandikwa hivyo.
 
Sasa hao wanawake 72 watakuwa wanawanyanduliwa vipi? Au kutakuwa na kuchapiana (michepuko) maana sipati picha mwanaume mmoja anyandue wanawake bikra 72 na kuishi nao siku zote??
 
Nao wakifa watakamuliwa MAVI waingie peponi wasafi?
 
FaizaFoxy mchango wako unahitajika hapa kuhusu hili swala.
 
Kwahiyo mwanamke naye atapewa wanaume marijali 72 na mito ya pombe kama mwanaume alivyoahidiwa??
Au labda nao watapata ndoa ntobo kama wale wanawake wa kule Musoma ambao huoa kama wanaume😄😄😄😄
 
Wakati Biblia inasema mbinguni hakuna kula Wala kunywa,, kuoa Wala kuolewa kazi kuu kule ni KUIMBA NA KUMSIFU MUNGU.

Kuna kitabu kingine kinafindisha kuwa mbinguni Kuna tendo la ndoa tena kwa wanawake 72 , na kunywa pombe?

Embu fikiri mbinguni kulivyo na utakatifu , Mungu awe anapunga upepo kwa kutembelea bustani zake Kila kichaka anakutana na ndude Ina midevu ya kufa mtu inaendelea kuvunja amri ya sita😄😄😄

Huwa nafuatilia mawaidha na hadithi za dini hiyo , nyingi zimejaa hypothetical za kitoto na zinahimiza saana mahusiano kuliko mafundisho mengine.

Ukifuatilia mafundisho ya Kipoozeo unaweza kumchukulia kama comedian lakini yupo serious na ni kwa mujibu wa kitabu hicho. Mbaya zaidi wakati wanashusha nondo hizo kwenye ibada na watoto wadogo wamo humo humo maana hawana ibada kutokana na rika kama AL KITAB wafanyafyo. Hivyo unakuta katoto kadogo kanajua mambo mazito kumbe ni mawaidha ya ndoa na mahusiano
 
Kwahiyo hapo mke wa huyo jamaa alikua chuku chuku? Maana si huwa hamruhusiwi kuvaa chupi mkienda huko?
 
duh, humpendi mkeo, mimi naomba Inshallah nipate kuingia na mume wangu peponi yani tusiishie duniani
Thubutuuu, uende na nani peponi yan tangu asubuhi tunaparangana kuwaambia hamuendi wewe unakazana tu eti uende na mme wako? Nyinyi mtabaki na majamaa yaliyo shindikana hapa hapa duniani ma kina El chapo, Pablo ndio mtapambana nayo.
 
Mbona Quran inasema watu wataingia peooni na wake zao

Quran 36:54
Basi leo nafsi yoyote haitadhulumiwa kitu, wala hamtalipwa ila yale mliyo kuwa mkiyatenda.


55
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.


56
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.

57
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
 
Hizo zinaitwa primitive mythologies za kiarabu, jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…