Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Sema kimeumanaaa...hii tamuuu
 
Tutakua michepuko tu amini nakwambia hao wanawake watakaopewa huko hawatakua watamu kama sisiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nyie watamu ila wachoyo...wa huko watamu alafu sio wachoyo kama nyie
 

Unapaswa kuishi maisha ya mbingu(usafi wa moyo) hapa juu ya nchi wewe na mumeo au mkeo, kwani ndilo kusudi la aliyetuumba kuishi nasi juu ya nchi.

Majira zote zilizopita fahamu nyingi, dini zote, huduma mbalimbali na dhehebu mbalimbali tulifundishwa kwenda akhera na peponi ila kiuhalisia pepo yako ni hapahapa juu ya nchi ukiishi usafi wa moyo.
 
Kwahiyo Bi Faiza unataka kusemaje jamani πŸ˜‚πŸ˜‚

Bi faiza kavurugwa hadi verse za quran na hadith zao anazikataa kisa yeye mwanamke hajapewa shababi peponi huku mumewe anapewa mabikra 72
 
Mtapewa wanaume wapya wenye pua ndefu na ile kitu kubwa mkate kiu kabisa hasa walioteswa na vibamia mtafutwa machozi milele🀣🀣🀣🀣
National Anthem
Satoh Hirosh yule mtu vipi?
 
Wafuasi wa Mwamposa mnakuwa mazezeta. Hiyo kwa mujibu wa maandiko gani inayosema mbinguni hakuna kula?
Soma biblia mwanzo mwisho ndiyo uje kuandika pumba mlizofundishwa sunday schools.
Mmewekewa hadi movie ya Brian Deacon lakini mmeshindwa kuelewa. Angalia kwenye movie ya Brian Deacon pale walipokuwa wanapiga mkate na vyombo usikilize maneno ya Brian Deacon anakwambia anakwenda kugonga vyombo kwa baba yake.

Mathayo 26:29 BHN​

Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
 
Mmmhh hapa ni mwendo wa kufarijiana tuu unawezaje kuingia kwenye mji mtakatifu ikiwa dunian ulikuwa mtenda maovu na ni mbingu gani inaruhusu ngono na pombe jamaniiiiii huko tutavikwa mwili mpya usiuwazie huo mwili wako uliochoka na maovu ya ulimwengu!!
 
Ndio mjue hakuna kuturingia ........nyie tupeni connection Tu hapa duniani .....tuwaweke majando yetu..........maana hata kwenye Pepo hamtakiwi......... Umepewa ki njia kidogo ........wewe unajiweka tango unategemea nini ?? Ndio maana kule mmekataliwa hakuna size zenu.........Kira siku kusema sema Tu vibamia
 
Mmeshaliwa kiboga hapo 🀣🀣
 
Kama hakushindwa kuumba kwa pamoja kwanini hakufanya hivyo? Kwanini ajipe kazi ya kuumba kisha kuumba tena mwingine ambaye hakutokana na udongo ( mwanamke)?
Alitaka kuonyesha kuwa mwanaume ndio mtawala, kisha kutokana na changamoto ya upweke akaleta mwanamke afanye kazi ya kumpa furaha mwanaume
 
K

Kutombaner mwisho duniani halijui hili🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… baba yao ..... ndio kawajaza upepo.. kama Yesu alivyo wajibu wale jamaa kuwa baba yenu ibilisi 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…