Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Hatari sana. Mimi hapa kufanya ngono na wanawake 2 siwezi. Je, hao 72 nitawaweza? Kama mm ngono ni sehemu ndogo sana ya maisha yangu. Ukisema nifanye ngono au kwenda mbuga za wanyama. Nitachagua kwenda kwenye mbuga za wanyama. Dini ni michongo ya watu
 
Hakuna kitu kama hicho, Muddy aliwaingiza chaka. Soma biblia kuna nini kiko huko utajua. Mpenda mademu ndio akuongoze unategemea nini. Hakuna tofauti na huyu mpenda madaraka aliesema ataenda kuwa kiongozi wa malaika, sijui kapewa huo uongozi.
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain,
Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao..

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Wapi wameandika au maelezo hayo umeyatoa wapi ?
 
Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Nakazia, hivo viungo Mungu aliviweka duniani kwa ajili ya kuongeza viumbe. Akaweka na kakitu unaweza ita kichochez/utam flan hivi. Huko viungo vya uzazi havitakuwa na kazi,
 
Hizi habari za bikra ni stori za Mtume Mudi (Mo). Mbinguni/ahera zinaenda roho sio miili.

Mudi alitaka kuteka hisia za watu tu hapa.
 
Umeuliza swali rahisi sana,soma humu uone atakacho lipwa mwanamke.

9:72, 33:35, 48:5, 57:12, 3:195, 32:17, 43:71.

Allah mambo mengi hajatutajia kuhusu hii Dunia na huko peponi. Kwahiyo jitahidini kufanya mema mtalipwa mengi mazuri.
 
Umesahau kuuliza kuhusu yule mnayesema Ni MUNGU alipokuwa anapigwa makofi pale msalabani,

Iweje MUNGU apigwe makofi?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Huo ni Ulaghai.
 
Kwamba Allah kazi yake itakuwa kukagua kama shughuri inaenda kama alivyopanga! Ni pombe na mabikira.
Ila hapa mtu anapaswa kushtuka!
Pombe na mabikira na abdala kichwa wazi aliyesimama muda wote.
Kwenye ushenzi wa pombe na wanawake si buguruni Mboka ?
 
Kama hamjatajwa basi uko mbinguni hapawahusu nyie ni wa motoni tu
 

Sawa Mkuu nimekupata ,ngoja niperuzi kuhusu Evolution - Natural Selection.
 
Kwa mtu mwenye kiasi wanawake 72 ni wengi sana,ngono ni sehem ndogo sana kwenye maisha....kuna mambo mengi sana ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…