Good Luci
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 494
- 641
Wafuasi wa Mwamposa mnakuwa mazezeta. Hiyo kwa mujibu wa maandiko gani inayosema mbinguni hakuna kula?
Soma biblia mwanzo mwisho ndiyo uje kuandika pumba mlizofundishwa sunday schools.
Mmewekewa hadi movie ya Brian Deacon lakini mmeshindwa kuelewa. Angalia kwenye movie ya Brian Deacon pale walipokuwa wanapiga mkate na vyombo usikilize maneno ya Brian Deacon anakwambia anakwenda kugonga vyombo kwa baba yake.
Mathayo 26:29 BHN
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Tukumbuke kuwa alisema pia tuombe tukisema baba yetu uliyembinguni ufalme wako uje, na sasa umekuja juu ya nchi kama alivyosema katika ufunuo 21:3, mika 1:2-4