40.Wataingia motoni wakaidi, Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio khitariwa(WALIOAMINI na kunyenyekea wao wataingia peponi) .
40
41. Hao ndio watakao pata riziki maalumu(Humo peponi),
41 yakiwemo
42. Matunda, nao watahishimiwa.
42
43. Katika Bustani za neema.
43( wakiwa wamestarehe)
44. Wako juu ya viti wamekabiliana. (uso kwa uso)
44 huku
45. Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchem.(Kafuri na Pombe ya peponi)
45
46. Kinywaji cheupe, kitamu kwa wanywao.
46
47. Hakina madhara, wala hakiwaleweshi.
47
48. Na watakuwa
nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.(macho ya nyege)
48
49. Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika.(lainii ngozi zao)
49
50. Waingie kuulizana wenyewe kwa wenyewe.
50
51. Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki.(Kule duniani)
51
52. Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki.(Kuamini habari hii ya Pepo na Mahurul ain)
52
53. Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa?
53
54. Atasema: Je! Nyie mnawaona? (Yaani wale marafiki waovu)
54
55. Basi atachungulia amwone katikati ya Jahannamu.
55
56. Atasema
🙁amwambie aliyekuwa rafiki yake) Wallahi! Ulikaribia kunipoteza.
56
Nadhani hii ni tahadhari kwa waislamu wenzangu, Hawa marafiki zetu wapinzani humu wanataka kutupoteza njia,lakini matokeo yao yatakuwa kama hapo juu