mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kipozeo alisisitiza sanaaa ,kua kweli kutakua na kugidaaaTutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipozeo alisisitiza sanaaa ,kua kweli kutakua na kugidaaaTutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Hiyo Biblia si huwa mnasema imechakachuliwa na hamuiamini? Sasa mbona leo mnaitumia tena kujibu hoja?Yesu tutakunywa nae huyu hapa
Mathayo 26:29
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mada imetuchanganya ime wachanganya kwani nani kakataa humu kupata mazuri ya peponi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo Biblia si huwa mnasema imechakachuliwa na hamuiamini? Sasa mbona leo mnaitumia tena kujibu hoja?
Kweli mada imewachanganya..
Kuna tofauti kubwa kati ya taratibu zinazowekwa na uislam na mila za kiarabu/kiafghani etc. Uislam umeweka emphasis kubwa sana kwenye elimu kwa wanawake na betterment ya social welfare yao in general. It's only in Islam kwanza kuwa mwanamke akiolewa, every need of hers becomes the responsibility ya mume.Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.
Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
"Kitabu kilichoandikwa na wahuni" hakiwezi kuwa as perfect na without contradicting statements kwa namna Quran ilivyo. Hicho hakiwezi kuwa refuted hata iweje. Na hata baadhi ya vitu kwenye Quran vimekuja kuonekana kuwa viko exactly kama vilivyoandikwa just in recent years. Hao "wahuni" wangejuaje back then? Tena juu ya knowledge tunayoifahamu sasa hivi, whicj was nonexistent wakati ule?Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.
Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
usirukie mambo usiyoyajua ndugu.Naziona hatari kama tatu hivi kwenye hii ahadi.
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
1. Hao Houris wawili ndio wanawake wa aina gani, haijulikani.
2. Mnaambiwa wanawake 70 ni viumbe vya Motoni "seventy of his inheritance of the female dwellers of hell" inamaana mtaozeshwa Mashetani.
3. Uume utasimama muda wote. Inamaana ni kulalana na kunywa pombe tu huko
4. "he will have an ever-erect penis.”
uume hauta poa, utasimama masaa
yote. Inamaana ni kunywa pombe na kulalana tu na Mashetani.
Hiyo Mbingu gani kama sio Kuzimu ?
Mmeingizwa chaka zito sana.
Poleni sana.
TENA SANA NDUGU hawajui tuMBONA MUNAOGOPA SASA.
\TWENDENI PEPONI TUKAFAIDI, MAMBO YA KWENDA KUIMBA PEPONI NA KUFANYA IBADA KAMA MALAIKA NI SHUGHULI NZITO.
mmeshaaminishwa mbinguni ni dangulo mkuu, kwaiyo na iyo mito ya pombe ni vp kulewa tu. utakuta baba wa familia yake amekaa kwenye dimbwi la mawazo kumbe anaziwaza mbususu izo 72.Wewe mwehu Mungu unampangia afanye nini kwani mbinguni hakuna viumbe vingine hata sasa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuta lewa na Yesu kiongozi wewe hutaki?[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]mmeshaaminishwa mbinguni ni dangulo mkuu, kwaiyo na iyo mito ya pombe ni vp kulewa tu. utakuta baba wa familia yake amekaa kwenye dimbwi la mawazo kumbe anaziwaza mbususu izo 72.
kwaiyo mahanithi uko shaft zao zitaponeshwa na kupewa power kubwa ya kuwahandle wote per day mkuu.Tuta lewa na Yesu kiongozi wewe hutaki?[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Eh umehama aya huko peponi ni sehemu ya kula raha tu hapati mtu mimbakwaiyo mahanithi uko shaft zao zitaponeshwa na kupewa power kubwa ya kuwahandle wote per day mkuu.
hao wanawake watakuwa wanapata mimba au tunatoa upepo tu badala ya shahawa
Kwa hiyo dini inayosema kuwa tunaenda mbinguni Kugida pombe ma kut*mber wanawake 72 ndio inaonekana inatoka kwa Mungu na ile inayosema kuwa Tunaenda Kumuabudu Mungu milele inatoka kwa shetani?Dini inayo toa zawadi baada ya watu walio jitahidi duniani kumuabudu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pombe tutaenda kunywa na Yesu usitugasi bhana [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Kwa hiyo dini inayosema kuwa tunaenda mbinguni Kugida pombe ma kut*mber wanawake 72 ndio inaonekana inatoka kwa Mungu na ile inayosema kuwa Tunaenda Kumuabudu Mungu milele inatoka kwa shetani?
Peponi TUTAGIDA [emoji1787][emoji1787]Pombe tutaenda kunywa na Yesu usitugasi bhana [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio mudi tu hata Yesu tutakua nae huko alafu we jitoe nishakwambia kama unataka silimu kwanzaPeponi TUTAGIDA [emoji1787][emoji1787]
Mudi muhuni sana... alijua kuwapatia kinoma
Dah kwakweli ashukuliwe mwenyezi Mungu kwa kutuandalia zawadu hii nono, mimi nitachagua wenye matrakko makubwa 40, wazungu 10, wembamba sana 10, weusi tii 10, sigala kali wa2, apo nitakuwa nimekamilisha idadi ya 72, Asante Mungu kwa baraka hii, nakuahidi Allah sitokuangusha nitakuwa nawapelekea moto wote kila siku.Eh umehama aya huko peponi ni sehemu ya kula raha tu hapati mtu mimba
Mahanith huko watapona kama kawaida kiongozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umesilimu kwanza au teyar muislamuDah kwakweli ashukuliwe mwenyezi Mungu kwa kutuandalia zawadu hii nono, mimi nitachagua wenye matrakko makubwa 40, wazungu 10, wembamba sana 10, weusi tii 10, sigala kali wa2, apo nitakuwa nimekamilisha idadi ya 72, Asante Mungu kwa baraka hii, nakuahidi Allah sitokuangusha nitakuwa nawapelekea moto wote kila siku.
AMEN.!