Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?


Tukumbuke kuwa alisema pia tuombe tukisema baba yetu uliyembinguni ufalme wako uje, na sasa umekuja juu ya nchi kama alivyosema katika ufunuo 21:3, mika 1:2-4
 
Bado hujaeleweka, unamaanisha wanawake nao watapata wanaume 70?
Katika pepo, hakuna haramu wala halali, vigezo vya hapa duniani havipo huko, hata mwanamke akitaka kuvaa vazi la kiume inawezekana pia, hata yeye akitamani awe mwanaume apate mahurulain anaweza pewa pia, akitaka marijal atawapata,kwani muumba aweza fanya lolote kuwa na likawa, haya mavazi ya kidunia ni ya mapito.

Vipi ujajiuliza walemavu, vipofu, viziwi na kadhalika. In summary vazi la kidunia la kimwili ni la hapa hapa tuu kukabiliana na haya majaribu ambayo bin Adam tunapaswa kuyashinda, roho hasa ya mwanadamu ndiyo itaishi na ndiyo identity yetu ambayo Mungu anataka tuitunze, nafsi na miili yetu ni vehicles tuu za kutuvusha katika hii portal (Earth life).
 
Nyie mtakuwa single mothers na nyegeless so hamtaumia lolote, nyie mtakuwa mnaenjoy tamthilia nzuri nzuri Toka kwenye Ile TV kuubwaa ya peponi
 
Kwani hapa duniani kuna nini zaidi ya kula kulala kunya na kufanya ngono?
Unatafuta Hela ili ufanye nini?
Uhai hakuna mwenye dhamana nao, kwa hiyo unajisogeza kusubiri Mauti,
Au kuna zaidi ya hilo?

sasa Peponi Hakuna Kufa tena,
Hakuna Kuzaa tena,
hakuna Kufanya kazi tena ili upate kula na kujenga.
hakuna shida za dunia kama kuumwa na kugombana.
Kubwa zaidi peponi hakuna kulala, hakuna usiku bali ni mchana wa kuendelea.
Mfumo wa kule ni tofauti na wa duniani
Hakuna kwenda chooni, hatujisaidii huko. tunakula tu.

HAPO UTAJUA KUWA MFUMO WA KUISHI PEPONI NI TOFAUTI KABISA NA HUU WA DUNIANI
 
mkiambiwa hicho kitabu kimejaa fallancy za uongo mnakasirika mnaanza kutukana
UONGO UKO WAPI HAPA. HABARI ZA PEPO NA MOTO NI SIRI IJAYO, NA IMANI NDIYO TULIYONAYO JUU YA HILO.
LAKINI
Suala la duniani liko wazi tunayoambiwa tunayaona.
Miujiza ya wazi kwa wenye akili.
 
UONGO UKO WAPI HAPA. HABARI ZA PEPO NA MOTO NI SIRI IJAYO, NA IMANI NDIYO TULIYONAYO JUU YA HILO.
LAKINI
Suala la duniani liko wazi tunayoambiwa tunayaona.
Miujiza ya wazi kwa wenye akili.
sijabisha suala la pepo....usikwepesha mada ya mabikira 70. mdau ameuliza ikiwa wanaume watapewa mabikira 70, wanawake watapewa wanaume 70?...jibu hoja hii
 
Rudi kwenye hiyo kur an sura ya 3 aya ya 13 halafu rudi nikupe nondo
 
Akhera ni nchi ya kufikirika, wote tunaozea tu humo humo arhdini
Utafufuliwa kama ulivyoumbwa.
Hukuwepo na utatoweka kisha utarudishwa kwa HESABU ya matendo yako
we jipe moyo wa kujipumbaza na ujana wako na pumzi zako.
siku pumzi zikikata utajuwa kila kitu.
 
ONLY JAH KNOW.
Qur-an 47:15
15. Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao
 
Wewe jifanye mjuwaji, usiamini na endelea Kufaidi mabikira wa duniani kwa kuzini mpaka siku utakapokata pumzi ndio ujuwa ukweli.

Lakini ujuwe yale yanayoyapendwa huku duniani na nafsi za wanaume, ndio kiburudisho cha peponi, tena kule itakuwa Halali. Kubadili wanawake wa kila aina ni kitu wanaume wanapenda Kuonja unja.
 
Hahaha mnachekesha kwa kweli, kwa hiyo kuna watu mnaamini mkifa kuna sehemu tena ingine mnaenda
Kama wewe huamini, zuia Kufa basi usife ,uishi milele kama unadhani una mamlaka ya kujiamualia upendavyo.

Na kwa ninavyokuona Kesho utapatwa na Homa wewe utaanza kutafutana na Madawa na Kumuita Mungu.

Wacha Ukafiri
 
Sasa hao bikra 72 ni WA kazi gani?
 
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI KUWA
Na walio kufuru wataongozwa kuendea Jahannamu kwa makundi.
39:56. Isije ikasema nafsi: Ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa Mwenyezi Mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…