Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Najisumbuaje kuangalia kitu dhaifu ?
Linapofika swala la Dini huwaga mnajitoa fahamu zote.
Hamkumbuki hata mnalo ongea kabla.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo wao wamesema tofauti na nilivyo sema
Na kama ujisimbui kuangalia kitu dhaifu kwanini ulikileta hapa
Au una mkitabu wako hapo wa ajabu ajabu

Ukiitwa chizi oh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo wao wamesema tofauti na nilivyo sema

Au una mkitabu wako hapo wa ajabu ajabu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unasisitizaje kitu dhaifu ?
Baada ya mimi kuongea ukasema ni dhaifu.
Na Kuanza kutukana na vitisho tele na kejeri.

Mwisho ukakubali sio dhaifu na kutafuta ufafanuzi wake.

Mtu kama wewe utaaminikaje katika hoja za msingi ?

Yani uko tayari kuchinja mtu kisa kauliza swali.

Kama ufafanuzi ulikuwa nao hayo yote uliyatoa wapi.

Ni kwamba hueleweki
Zaidi ya kuwa Mjihadi wa kuipigania Dini kwa uwongo vitisho na kejeri.
 
Kifupi imepenya
Sasa Usiende mbali maneno mengi kama mwalimu wa insha
Onesha nilipo kubali kua sio dhaifu taja post namba niangalie mie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usiende mbali maneno mengi kama mwalimu wa insha
Onesha nilipo kubali kua sio dhaifu taja post namba niangalie mie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ni dhaifu ufafanuzi ni wa nini tena?
Simamia msimamo wako huo huo

Unateteaje kitu kisicho faa ?
Na matusi juu.

Tena nimevumilia sana kuongea na mtu anayeporomosha matusi mdomoni mwake kama mvua siku nzima.
 
Kama sio dhaifu ufafanuzi ni wa nini tena?
Simamia msimamo wako huo huo

Unateteaje kitu kisicho faa ?
Na matusi juu.

Tena nimevumilia tu kuongea na mtu anayeporomosha matusi mdomoni mwake kama mvua siku nzima.
Hahahaha sio kuvumilia tu ulale ukiwa na mawazo kesho uje na kitu unacho kielewa kabisa

Ufafanuzi sijatoa mie hadithi yenyewe. Na kwa nini unipangie

Alafu bado nasubiri post namba nilio sema hadithi sio dhaifu , Naona umeruka kutetea hoja yako hiyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unateteaje kitu dhaifu ?
Unatetea ili iwe nini ?

Ili iaminike tena, aiamini nani tena ?

Na matusi juu. Hivi unajisikiaje unapomtukana mtu usiye mjua wakati haja kuchokoza wewe binafsi ?
 
Unateteaje kitu dhaifu ?
Unatetea ili iwe nini ?

Ili iaminike tena ?

Na matusi juu. Hivi unajisikiaje unapomtukana mtu usiye mjua ?
Ona hayo maswali yako yalivyo jibu lake ni moja tu hadithi imejifafanua yenyewe.
Lakini utauliza tena Hayo hayo.
kama kuipiga ipige hadithi. Nimemaliza

Sijakutukana ila nilikuwa nakupa sifa ulizo nazo maana kitu hukijui wewe umetuma tu andiko ikaja post ukaelekezwa vizuri. Ukaanza kuleta ubishi au umesahau wakati bado hujaelewa ulikuwa unakurupuka oh hadithi yenu wenyewe mara hivi hayo maneno ni kwenye post za mwanzo kabisa


Sasa ili usipopolewe unapaswa kua muelewa na sio kujifanya mjuaji hii Dini ya kiislamu inahitaji watu wenye akili kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
 
Baada ya kuiweka hiyo hadithi ungesema tu ni kweli na kutoa ufafanuzi wake.

Si ingetosha.

Unajua maana ya Chizi ?
Ushawahi kumwona Chizi mahali ?
 
Tuende mbele turudi nyuma... Kwanza ukijitazama utaenda hiyo mbinguni? Maana maisha yanavuruga kweli yani unaweza ukajikuta unajadili kitu hakikuhusu
 
Baada ya kuiweka hiyo hadithi ungesema tu ni kweli na kutoa ufafanuzi wake.

Si ingetosha.

Unajua maana ya Chizi ?
Ushawahi kumwona Chizi mahali ?
Kifupi ni hivi tangu mwanzo uliwekewa maelezo timilifu na kwa bahati nzuri mpaka sasa hakuna sehemu nimeenda kinyume na maelezo yangu.

Na ingekuwa basi ungekubali kuelimika yangeisha mapema lakini kwa kua ulijifanya unajua wakati bado hujui imekughalimu hiyo

Ukijaribu kuangalia post zetu humu maneno yanajirudia rudia yale yale

Kwa sababu tu ulikuwa mbishi kwenye ukweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sijatukana bali nimesema kuna simulizi za kale zilizopitwa na wakati na huwezi kuzitetea katika kizazi hiki
 
Na kunywa pombe Tena unachota mtoni
 
Kwa hiyo ni ngono na pombe mwanzo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…