Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Wanawake wengi wanakosea Sana.

Wanakuwa wabishi na kutufanya wanaume tufanye vby hapa..Ina vifo vingi Sana kutokana na mfadhaiko wa mwanaume. Kukujibu ni kwamba wanawake wengi Sana waraushia jehanam. Tuombe Dua Allah aepushe hali hiyo

Mwanamke mtiifu Kwa mumewe hakika ataiona pepo na atakuwa ni katika hururain
 
Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.

Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Unajindanganya,mwanamke amepewa heshima kuliko kwingine kokote.
Katika uislamu,mtoto akimkosea mamake(ambaye ni mwanamke),peponi hangii.
Ufunguo wa pepo katika uislamu uko chini ya nyao ya mama(mwanamke).Sio kwenye chini ya unyao wa baba(mwanamme).
 
Unajindanganya,mwanamke amepewa heshima kuliko kwingine kokote.
Katika uislamu,mtoto akimkosea mamake(ambaye ni mwanamke),peponi hangii.
Ufunguo wa pepo katika uislamu uko chini ya nyao ya mama(mwanamke).Sio kwenye chini ya unyao wa baba(mwanamme).
Hivi akimkosea babaake aliyemsaliti mama aake. Hukumu ikoje...kwamba baba kamfanyia vitukbwi mkewe na watoto eakapata chuki na babaa yao
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Huko peponi mwanamme haiingii mpaka Mama(ambaye ni mwanamke,awe radhi na huyo mwanawe).
Kwa hiyo mama(mwanamke ndio mshika password ya mlango wa pepo). ,atakayoingia mwanamme.
 
Tutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Hakuna mwanamme atakaye India peponi bila mama(mwanamke kuwa radhi,mwanaye huyo,ambaye ni mwanamme,kuingia peponi).
Kwa hiyo mama(mwanamke ni bora zaidi kuliko huyo mwanamme katika uislamu.
 
Ha ha ha kwa hiyo peponi wanawake hawakanyagi. Ndio maana Allah hajawapa ahadi ya kuwapa mashababi handsome. Kama wanaume wanavyopewa mabikra
Hakuna atakaye ingia peponi,bila ruhusa ya mama yake mzazi,ambaye ni mwanamke.
Mwanamme hata awe vipi,pepo hawezi kuingia bila mama mzazi,ambaye ni mwanamke kukubali.
 
Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.

Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Ukweli ni kuwa hakuna atakaye kanyaga pepo bila mama mzazi(ambaye ni mwanamke),kukubali mwanawe,hata kama ni mwanaume kuingia peponi.
Ufunguo(password)wa kuingia peponi,uko kwa mama,hakuna mtoto,awe hata mwanamme,ataingia bila ruhusa ya mama mzazi.Mwanamke amepewa heshima na hadhi kubwa katika uislamu.
 
Peponi ni unachokitamani unapata.
Hakuna atakaye ingia peponi,bila ruhusa ya mama yake mzazi,ambaye ni mwanamke.
Mwanamme hata awe vipi,pepo hawezi kuingia bila mama mzazi,ambaye ni mwanamke kukubali.

Swali lipo kwa wanawake ? Wao peponi wanaingia ama hawaingii ?

Na je wao watapewa nini wakiingia peponi kulinganisha na wanaume wakipewa Mabikra ?

Ama wanawake wao hawataki starehe hawana nyegezzz? Ama na wao watapewa mabikra wa kiume?
 
Muanzisha uzi naomba nikujibu kwa kifupi sana naamini utaelewa.
Ni hivi,kwanza lazima uelewe kwamba Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza then kutokana na huy hyo mawanaume ndo mwanamke akafuatia.

Lakini baada ya uumbaji huo mwanaume ndyo mtu pekee aliyesimikwa uongozi/ukubwa ili kumuongoza/kumtawala mwanamke,sasa basi hapa Duniani wewe mwanaume umeoa mwanamke na mmeishi maisha ya hapa Duniani kwa kufuata sheria za Mungu na kufanya ibada vzr mpk Mwenyezi Mungu akawaridhia muwe katika watu wa peponi.

Sasa kule peponi kwa vile wewe mwanaume unastahili wanawake wengi(Hawa 72 ni idadi ya mfanya ibada wa kiwango cha chini sana) wanawke ambao atawamiliki kwenye eneo utakalopewa ndani ya pepo ambalo ni kama nchi yako ya pekeako na makasri/majumba mengi yaliyobeba hao wanawake pamoja na WAFANYAKAZI wafanyakazi ambao ni vijana wadogo na ni maalum kwa ajili ya kukutumikia wewe katika maisha ya huko peponi.
Ukumbuke kwamba maisha ya peponi ni jambo la milele na hii ni sababu nyingne kwann unapewa wake wengi ili usichoke na usikinahi....lakini pia kule peponi wewe hutakuwa wa kawaida,Mungu atakuumba upya na huyu mke wako ataumbwa upya isipokuwa sasa huyu mwanamke kwa vile alipitia mapambano ya ibada basi Mungu kwa uwezo wake atamfanya kuwa mwanamke MZURI ZAIDI ya wale wanawake mahur'layn na hao mahur'lain ni wanawake WAZURI kiasi ambacho kwa hapa Duniani hakuna cha kufananisha,sasa huyu mwanamke aliyetoka Duniani anapewa ubora huo wa UZURI, UTUKUFU na CHAGUO MAALUM kwasababu yeye kuna kazi ya ibada aliifanya kule Duniani na sasa huku anapewa tunu maalum kma tusema UMALKIA hv japo idadi hyo pamoja na ya wanawake wale wengine itakuwa chini yako wewe mfalme uwamiliki.

Kule peponi Kuna NGUVU maalum Mungu atakupatia wewe mwanaume ili uweze kuwatosheleza idadi yote ya wanawake utakayopewa na kila mwanamke unakaemiliki kule Mungu muumbaji atawatoharisha/Atawasafisha kwa maana hawatapata ile period zao za kila mwezi na hawatapata ujauzito,hawaendi haja ndogo wala kubwa na kubwa zaidi Mungu atawatoa watu wote CHUKI,FITNA,WIVU na UHASIDI katika nyoyo za watu wote watakaoingia peponi ikiwemo hao wanawake jambo ambalo pia
hawa wanawake watakaokuwa katika milki yako pia watakuwa WANAPENDANA SANA WAO KWA WAO na WATAKUWA WANAENJOY SANA KUKUHUDUMIA WEWE...Mungu atawaumba upya.

Sasa wale mnaosema kwamba pepo itakuwa uwanja wa ufuska...Ni hv ndg zangu,Mwanaume yeyote aliyekamilika Starehe yake kubwa ya kwanza ni Ngono tena ngono si kwa mwanamke mmoja,yan mwanaume aliyekamilika huwa anapenda pia kuwabadili badili hao wanawake,na hii ni NATURE,hata hapa Duniani hakuna Mwanaume anaridhika na mwabamke mmoja huo ndo ukweli,sasa kama wewe ni mwabaume afu unakasirika kuwa na wanawake wengi basi kaa ukijua utakuwa unashida kidogo ya kimaumbile japo ukienda peponi Mungu atakuumba upya(usijali)
Sasa kwa vile Mungu muumbaji anatujua vema ndo akaamua kutuumbia idadi kubwa ya wanawake wakiwa wanatofautiana UZURI NA UREMBO huko peponi.

Lakini pia mbali na hilo la ngono,Huko peponi Mungu ameandaa mito ya maji,mito ya maziwa,mito ya POMBE kwa watakaopenda kuinywa lakini pombe hyo huwezi kutoka akili ukaongea upuuzi kwa sababu peponi hakuna upuuzi,lakini pia kuna matunda, nyama za ndege na starehe mbali mbali zisizokatika.

Wanaosema peponi kwa ajili ya kuimba imba.....jamani hivi kma peponi ndo kuimba imba tu kila siku sasa raha ya hiyo pepo ipo wapi?
Pepo ni ulimwengu Mungu ameandaa watu wema kwenda kustarehe,kule hakuna tena ibada,ibada unatakiwa ufanye hapa sasahv Duniani,hayo mambo ya kuimba kule hakuna msiwakatishe watu tamaa,kule Mungu ataki umuimbie kule anataka wewe ule bata haswa,uenjoy utukufu wake kwa vile alivyokuandalia...Yan ukae unaimba imba afu ukishamaliza kuimba...yan hakuna kula,hakuna kunywa yan ni kuimba tuuu....jaman huo sio mpango wa Mungu,hyo ni mipango ya watu kuwakatisha tamaa ili uhisi kwamba nikifanya wema inamaana naenda kulipwa KUIMBA? hii hapana.
Pepo ni ulimwengu wa starehe,wewe kama akili yako haitaki hulazimishwi,lile jambo la kiimani na ndomaana watakaotunukiwa hyo pepo NI WALE WALIOAMINI.

Fanya sana ibada hapa sasahv,piga swala 5,funga Ramadhani,nenda mecca kama una uwezo lakini pia acha madhambi yote uliyokatazwa na tenda mema yote uliyoamrishwa...UKIFA TU PEPONI,na kwa taarifa tu ni kwamba zile starehe za mwanzo huwa zinaanzia pale kaburini then kule peponi utakabidhiwa starehe iliyokamilika
Mambo ya kufikirika haya! Yaani upewe wanawake na vijana wadogo wa kukutumikia umekuwa nani ww? Kwani hao wafanyakazi wao Mungu hatawapa hiyo raha mpaka wao wabaki kuwa watumishi wako? 😁
 
Mbona Quran inasema watu wataingia peooni na wake zao

Quran 36:54
Basi leo nafsi yoyote haitadhulumiwa kitu, wala hamtalipwa ila yale mliyo kuwa mkiyatenda.


55
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.


56
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.

57
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
Huyooo hilooo linajitetea huku likiwa na maumivu. NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU
 
Nyinyi mtakuwa wasaidizi wa kazi za ndani... Wakati tunanyanduana na mademu zetu huko majuu nyinyi mtakuwa nje mkifua na kufagia bustani
Kwanza ujuwe hakuna ambaye ataingia peponi bila mama mzazi(ambaye ni mwanamke),kuruhusu mtoto aingie peponi.
Password,ya mtoto,awe mwanamme,awe yoyote haingii peponi,mpaka apewe password na mama (ambaye ni mwanamke).
Kwa hiyo katika uislamu,mwanamke ni bora zaidi kuliko mwanamme.
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
Sio kweli,wewe ndio muhuni,usiyelewa.
Hakuna mwanamme,ataingia peponi,bila password ,kutoka kwa mama(ambaye ni mwanamke).
Soma,acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji na kudanganyana.
 
Qur-an 40;8 inakupatia mwangaza
Waislamu tutaingia na wake zetu peponi,ikiwa hawo wanawake watakuwa wema.
Lakini Hao wake zetu watakuwa Malkia, na Hao mahurl Ain ni kama wasaidizi wa malkia.
Jumla ni 70.
Huko ni kula na kupiga Rungu ndiyo mfano rahisi wa maisha ya Peponi.

Kwani hapa duniani tunahangaika kufanya kazi ili tupate nini?
si niKula,
Starehe,
Na kupiga rungu?
kuna jengine katika starehe unazozijua wewe hapa duniani?

Basi peponi kuna Suprize, Hakuna aliye wahi hata ku imagine.
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI KUWA NA KAMWE SITAKI KUWA.

BORA KUWA KAFIRI KULIKO MUISLAMU.

NAMSHUKURU MUNGU WA KWELI KUNIJALIA MIMI SIYO MUISLAMU.
 
Back
Top Bottom