Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Kwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
Hao wanawake uzinzi wanafanya wenyewe?
Kwahiyo pepo ya Allah Ni ya wanaume pekee?
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain,
Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao..

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Aya inayosema hivyo ipo wapi?
 
Soma vizuri uelewe mkuu
Umeulizwa swali kwanini wanawake hawajapewa ahadi umesema kwakuwa Wana Wana dhambi(umezitaja) je wanaume hawana dhambi?

Hakuna wanawake wacha Mungu waislamu? Wao watape a nini peponi?
 
Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?

Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?

Yaani tukomae na swala tano, swaumu, tule kwa macho pisi Kali afu peponi pia tukaswali na kufunga?

Kwetu sie waislam peponi(Allah atujaalie tuingie pepo yake) ni kustarehe babu kujinyima duniani...na mwanaume yeyote tukisema starehe alafu amtoe mwanamke kwenye starehe basi huyo binafsi nitamuona kuna shida sehemu.....bora ya starehe ni Mke mwema mtiifu(yaani mwanamke).

Tena hao 72 unakuwa energetic kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili kuwatosheleza.

Kuhusu wake zetu, akiwa ni katika watu wa peponi na Mme akiwa ni wa peponi basi mtumi(saw) kama si aya asema ingieni peponi na mnawaopenda(it means wana ndoa watakuwa pamoja if and only if watakuwa ni waliotenda mema).

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mtaingia peponi na wake zenu mnaowapenda halafu Mungu atawatunuku mabikira 72 muwachakate huku wake zenu wakishuhudia?

Wake zenu watazawadiwa nini?
 
Umeulizwa swali kwanini wanawake hawajapewa ahadi umesema kwakuwa Wana Wana dhambi(umezitaja) je wanaume hawana dhambi?

Hakuna wanawake wacha Mungu waislamu? Wao watape a nini peponi?
Jibu ni hili hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

43:70 quran
Enter Paradise, you and your wives, with happiness.

Jengine hili hapa 33:35 quran
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.







Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
MAMBO YA KURUDIA RUDIA MASWALI YALE YALE, RUDIA NYUMA KTK UZI HUU UTAPATA MAJIBU
 
Kwamba alie weza kukufanya uwe bikra ashindwe kukuweka tena bikra , hii ndio kali kuliko

Kati ya kuunda (create) na kukarabati (maintenance /repair) ipi kazi ngumu?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi sijabisha. Nimewaza tu..sasa bikra ikirudi nakuwa mpya kabisa sina kumbukumbu ya minyanduano niliyofanya hapa duniani ama inakuaje?
Iwe tu tight then what?
 
Mimi sijabisha. Nimewaza tu..sasa bikra ikirudi nakuwa mpya kabisa sina kumbukumbu ya minyanduano niliyofanya hapa duniani ama inakuaje?
Iwe tu tight then what?
Uzuri maumivu yanaishia duniani kule ni full kutaiti na raha kwa pande zote mbili mume na mke

Yani ikiangia tamu ikitoka tamu ni hivyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujasilimu karibu na kama ni muislamu jitahidi kumuabudu Mungu ili baadaye minyanduo isikupite.

Thanks

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Endeleeni na dini zenu.
Mungu ninaye mwamini hana sheria zenu za ajabu ajabu.
Nyie waislam na wakristu hamna tofauti.

Mungu yupo ila sio kwa hivyo mnavyomdhania. Nitabaki na imani yangu inatosha.
 
Back
Top Bottom