Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Jifunze kujibu hoja kama huyo mwenzako wa hapo juu.Hamna kitu mule nisha mpopoa jana na hoja kaihama mwenyewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mweupe Wakati ushapopolewaJifunze kujibu hoja kama huyo mwenzako wa hapo juu.
Wewe kichwani ni mweupe kabisa.
Hao wanawake uzinzi wanafanya wenyewe?Kwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
Soma vizuri uelewe mkuuHao wanawake uzinzi wanafanya wenyewe?
Kwahiyo pepo ya Allah Ni ya wanaume pekee?
Aya inayosema hivyo ipo wapi?Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain,
Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao..
Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Wanaume waislamu ni watakatifu hawana dhambi ndio maana meahidiwa mabikra?Ndio mfano mwanaume akitaka kuongeza mke wa pili inatokea husda hutaki mwenzio wamnusuru.
Umeulizwa swali kwanini wanawake hawajapewa ahadi umesema kwakuwa Wana Wana dhambi(umezitaja) je wanaume hawana dhambi?Soma vizuri uelewe mkuu
Kwahiyo mtaingia peponi na wake zenu mnaowapenda halafu Mungu atawatunuku mabikira 72 muwachakate huku wake zenu wakishuhudia?Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?
Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?
Yaani tukomae na swala tano, swaumu, tule kwa macho pisi Kali afu peponi pia tukaswali na kufunga?
Kwetu sie waislam peponi(Allah atujaalie tuingie pepo yake) ni kustarehe babu kujinyima duniani...na mwanaume yeyote tukisema starehe alafu amtoe mwanamke kwenye starehe basi huyo binafsi nitamuona kuna shida sehemu.....bora ya starehe ni Mke mwema mtiifu(yaani mwanamke).
Tena hao 72 unakuwa energetic kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili kuwatosheleza.
Kuhusu wake zetu, akiwa ni katika watu wa peponi na Mme akiwa ni wa peponi basi mtumi(saw) kama si aya asema ingieni peponi na mnawaopenda(it means wana ndoa watakuwa pamoja if and only if watakuwa ni waliotenda mema).
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Jibu ni hili hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Umeulizwa swali kwanini wanawake hawajapewa ahadi umesema kwakuwa Wana Wana dhambi(umezitaja) je wanaume hawana dhambi?
Hakuna wanawake wacha Mungu waislamu? Wao watape a nini peponi?
Ni hivi hao wanawake 72 miongoni mwao ni wake zetu hao haoKwahiyo mtaingia peponi na wake zenu mnaowapenda halafu Mungu atawatunuku mabikira 72 muwachakate huku wake zenu wakishuhudia?
Wake zenu watazawadiwa nini?
We majibu yako yalikuwa ni ya ubaishaji tu.Mweupe Wakati ushapopolewa
Unataka ubembelezwe ili?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha hayo majibu uliyo jibiwa na huyo kiongozi yameenda tofauti na nilivyo semaWe majibu yako yalikuwa ni ya ubaishaji tu.
Niliamua nikuache sababu ya matusi toka mdomoni mwako.
Kwamba watarudishiwa ubikra wao? Ha haaa hii kali kulikoNi hivi hao wanawake 72 miongoni mwao ni wake zetu hao hao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwamba alie weza kukufanya uwe bikra ashindwe kukuweka tena bikra , hii ndio kali kulikoKwamba watarudishiwa ubikra wao? Ha haaa hii kali kuliko
Mimi sijabisha. Nimewaza tu..sasa bikra ikirudi nakuwa mpya kabisa sina kumbukumbu ya minyanduano niliyofanya hapa duniani ama inakuaje?Kwamba alie weza kukufanya uwe bikra ashindwe kukuweka tena bikra , hii ndio kali kuliko
Kati ya kuunda (create) na kukarabati (maintenance /repair) ipi kazi ngumu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uzuri maumivu yanaishia duniani kule ni full kutaiti na raha kwa pande zote mbili mume na mkeMimi sijabisha. Nimewaza tu..sasa bikra ikirudi nakuwa mpya kabisa sina kumbukumbu ya minyanduano niliyofanya hapa duniani ama inakuaje?
Iwe tu tight then what?
Aisee 🤣🤣🤣🤣Uzuri maumivu yanaishia duniani kule ni full kutaiti na raha kwa pande zote mbili mume na mke
Yani ikiangia tamu ikitoka tamu ni hivyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama hujasilimu karibu na kama ni muislamu jitahidi kumuabudu Mungu ili baadaye minyanduo isikupite.Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endeleeni na dini zenu.Kama hujasilimu karibu na kama ni muislamu jitahidi kumuabudu Mungu ili baadaye minyanduo isikupite.
Thanks
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app