Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Kwanza utuambie umbo la majini ni lipi!!!

Alafu naona umeandika maneno mengi alafu swali ni moja tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Majini si yameumbwa kwa miali ya Moto na Wanadamu kwa Udongo.

Imeandikwa mkiifikia pepo maumbo yenu yata boreshwa ili yawe bora zaidi ya sasa.

Ndio nauliza kuwa wote Binadamu na Majini mtakuwa na umbo moja au tofauti ?

Sababu ya kuuliza ni kuwa wale Bikra 72 watakuwa hawajaguswa na Binadamu au Jini kama ilivyo andikwa.
Hapo inaonesha hao Bikra wanaweza
Kuliwa na Jini au Binadamu. Ndio maana nikajiuliza hilo swali Shehe wangu.[emoji848]
 
Aya gani au hadithi gani inayoelezea hivyo?
 

Ufafanuzi huo umrtoa wapi?
 
Kama ngono ni dhambi huku duniani kwanini huko akhera iruhusiwe tena ufanye na wanawake 72?
 
Kwa hali hii. Huko peponi itageuka kuwa danguro. Hakuna shughuli zingine za kufanya zaidi ya ngono?
Hii dini ni ya mchongo kabisa. Wanawake 72 wote wa nini? Hao wanawake 72 watakuwa makahaba yaliyokubuhu.
Huwa najiuliza kwanini hii dini ina mahakama, wanauana, hakuna kuhoji na ipo kwenye lugha moja tu? Imeficha mengi sana.
Niende peponi kwa kigezo cha kupewa mabikra 72? Hapana aisee. Ngono siyo kipaumbele kwenye maisha yangu.
 
Ndio maana nikakuuliza umbo la jinn Kwanza unitajie!!!

Jinni ni neno la kiarabu lenye maana ya kujificha hivyo majini wameumbwa na Allah wakiwa wamepewa nguvu hizo za uwezo wa kujificha katika umbile lolote lile
Hii maana yake majini hawana umbile specfic ambalo wewe unaweza lijua Allah kathibitisha hilo alipo sema kwenye sura ya 7:27quran

Hivyo siku ya qiama Allah ataondoa nguvu za hao majini na kuwafanya waweze kuonekana na wanadamu wote

Na kua na uwezo sawa na wanadamu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani umelazimishwa ndugu usisahau pia tutapata na vinywaji mfano pombe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kweni Mwanamke ni Binadamu?mwanamke ni sehemu ya kipande cha binadamu na hana haki nyingi tu hata kama analazimisha
 
Tutavikwa miili mipya, Hakuna kuoa wala kuolewa,ni kusifu na kumuabudu MUNGU yy
 
Ati kwamba mwanaume mmoja atapewa wanawake 70? Kwa nguvu zipi mlizokuwa nazo?. Au Mungu hajui mnayoyapitia huku duniani?
Mimi hapa ndo nawauzia mkongo kijiko 7800 ati hawa ndo wanategemewa kupewa wanawake 70? nyieeee!!!
 
Swali lako ni jepesi mnooo

Soma aya hii hapa


( إِنَّ أَصْحَابَ الْجَنَّةِ الْيَوْمَ فِي شُغُلٍ فَاكِهُونَ )

يس (55) Yaseen

Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.



( هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ )

يس (56) Yaseen

Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.


Aya hii yatufahamisha kua wake wa duniani watakua pamoja na waume zao huko peponi
 
Ati kwamba mwanaume mmoja atapewa wanawake 70? Kwa nguvu zipi mlizokuwa nazo?. Au Mungu hajui mnayoyapitia huku duniani?
Mimi hapa ndo nawauzia mkongo kijiko 7800 ati hawa ndo wanategemewa kupewa wanawake 70? nyieeee!!!
Akili zako haziwezi kufikiria wala kujua kma cha mchana au cha asubuhi utakula nini ila Mungu anajua kwaio usimpangie Mungu mambo ambayo huna Elimu nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…