professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Sio kwetu tu yani hata Yesu anatamani hiyo pombe ya hukoKwani kwako malipo ni ngono na kilevi tu? [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwetu tu yani hata Yesu anatamani hiyo pombe ya hukoKwani kwako malipo ni ngono na kilevi tu? [emoji24][emoji24][emoji24]
ntalipwa vingi,ngono na kilevi ni machache katika hayo mengiKwani kwako malipo ni ngono na kilevi tu? [emoji24][emoji24][emoji24]
Majini si yameumbwa kwa miali ya Moto na Wanadamu kwa Udongo.Kwanza utuambie umbo la majini ni lipi!!!
Alafu naona umeandika maneno mengi alafu swali ni moja tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aya gani au hadithi gani inayoelezea hivyo?QUR-AN 43:70
"Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo."
WANAUME WATAINGIA PEPONI NA WAKE ZAO WAKIWA NA WAO NI WEMA KAMA WAUME ZAO...WAKATI HUO HUO ALLAAH ATAWAKIRIMU WANAUME NA WANAWAKE WAPYA WA PEPONI.
WALE AMBAO HAWAJAWAHI KUOLEWA DUNIANI...WATAPEWA FURSA YA KUCHAGUA MWANAUME AMTAKAYE.
KIMAUMBILE MWANAUME HAWAFANANI NA MWANAMKE...MWANAUME ATAPEWA WANAWAKE WENGI...ILA MWANAMKE HAWEZI KUWA NA WANAUME WENGI...ATAPEWA MMOJA TU NA ATARIDHIKA NAE...SIO KAMA MAKAHABA YA DUNIANI YASIYORIDHIKA NA MWANAUME MMOJA...PEPONI WANAWAKE HAWAPO HIVYO...
QUR-AN 43:70

Kama ngono ni dhambi huku duniani kwanini huko akhera iruhusiwe tena ufanye na wanawake 72?Bikra za kudumu,ukimaliza kazi inarecover upya.
Raha za kila aina zitakuwepo, Vyakula,Kutembea , mavazi, na burdani tusizo wahi kuzisikia wala kuziona.
Hakuna kulala wala kufa, wala kuumwa wala kwenda haja.
Hawa Mapadiri wa kikatoliki na walokole wanajizuia kuoa huku duniani,
halafu kesho Akhera wabakie na mipoyoyo yao hivyo hivyo.
Wacha mashekh tulambe kote kote, Dunuiani 4 na Akhera 72. nyinyi bakini na Upoyoyo wenu.
Kwa hali hii. Huko peponi itageuka kuwa danguro. Hakuna shughuli zingine za kufanya zaidi ya ngono?QUR-AN 43:70
"Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo."
WANAUME WATAINGIA PEPONI NA WAKE ZAO WAKIWA NA WAO NI WEMA KAMA WAUME ZAO...WAKATI HUO HUO ALLAAH ATAWAKIRIMU WANAUME NA WANAWAKE WAPYA WA PEPONI.
WALE AMBAO HAWAJAWAHI KUOLEWA DUNIANI...WATAPEWA FURSA YA KUCHAGUA MWANAUME AMTAKAYE.
KIMAUMBILE MWANAUME HAWAFANANI NA MWANAMKE...MWANAUME ATAPEWA WANAWAKE WENGI...ILA MWANAMKE HAWEZI KUWA NA WANAUME WENGI...ATAPEWA MMOJA TU NA ATARIDHIKA NAE...SIO KAMA MAKAHABA YA DUNIANI YASIYORIDHIKA NA MWANAUME MMOJA...PEPONI WANAWAKE HAWAPO HIVYO...
Ndio maana nikakuuliza umbo la jinn Kwanza unitajie!!!Majini si yameumbwa kwa miali ya Moto na Wanadamu kwa Udongo.
Imeandikwa mkiifikia pepo maumbo yenu yata boreshwa ili yawe bora zaidi ya sasa.
Ndio nauliza kuwa wote Binadamu na Majini mtakuwa na umbo moja au tofauti ?
Sababu ya kuuliza ni kuwa wale Bikra 72 watakuwa hawajaguswa na Binadamu au Jini kama ilivyo andikwa.
Hapo inaonesha hao Bikra wanaweza
Kuliwa na Jini au Binadamu. Ndio maana nikajiuliza hilo swali Shehe wangu.[emoji848]
Kwani umelazimishwa ndugu usisahau pia tutapata na vinywaji mfano pombeKwa hali hii. Huko peponi itageuka kuwa danguro. Hakuna shughuli zingine za kufanya zaidi ya ngono?
Hii dini ni ya mchongo kabisa. Wanawake 72 wote wa nini? Hao wanawake 72 watakuwa makahaba yaliyokubuhu.
Huwa najiuliza kwanini hii dini ina mahakama, wanauana, hakuna kuhoji na ipo kwenye lugha moja tu? Imeficha mengi sana.
Niende peponi kwa kigezo cha kupewa mabikra 72? Hapana aisee. Ngono siyo kipaumbele kwenye maisha yangu.
Kweni Mwanamke ni Binadamu?mwanamke ni sehemu ya kipande cha binadamu na hana haki nyingi tu hata kama analazimishaAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Km hapa dunia sinywi pombe huko nitaweza? Hapo utakuta kuna pombe tu hata maji ya kunywa hakunaKwani umelazimishwa ndugu usisahau pia tutapata na vinywaji mfano pombe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tutavikwa miili mipya, Hakuna kuoa wala kuolewa,ni kusifu na kumuabudu MUNGU yyAllah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Shehe nae anafafanua hapa
Sio kama kile"kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe"halafu kuna mwamba alitundikwa msalabani kwa mizigo ya wengineNdio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Swali lako ni jepesi mnoooAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Akili zako haziwezi kufikiria wala kujua kma cha mchana au cha asubuhi utakula nini ila Mungu anajua kwaio usimpangie Mungu mambo ambayo huna Elimu nayoAti kwamba mwanaume mmoja atapewa wanawake 70? Kwa nguvu zipi mlizokuwa nazo?. Au Mungu hajui mnayoyapitia huku duniani?
Mimi hapa ndo nawauzia mkongo kijiko 7800 ati hawa ndo wanategemewa kupewa wanawake 70? nyieeee!!!
Nani kakuambia maji hakuna je umeuliza hizo sifa za pombe za hukoKm hapa dunia sinywi pombe huko nitaweza? Hapo utakuta kuna pombe tu hata maji ya kunywa hakuna
Dini ni michongo ya watu.
Kisha utapata nini?Tutavikwa miili mipya, Hakuna kuoa wala kuolewa,ni kusifu na kumuabudu MUNGU yy
kuslim tu nitaslim kaka, siwez kupishana na mbususu kisa kuslimUmesilimu kwanza au teyar muislamu
Usijipe matumaini kama sio muislamu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kufuata taratibu za Dini ili uyapate hayo maishakuslim tu nitaslim kaka, siwez kupishana na mbususu kisa kuslim