Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Kwanza kabisa hoja yako ni potofu, natural selection haina hoja ya kwamba yenyewe haina upendeleo, haina ubaya, it is just a natural process. Natural process haijali kuhusu ubaya na uzuri.

Mto ukijaza bwawa la maji lililo mlimani, bwawa likafurika, maji yatashuka kilima tu, maji hayatasema "haaa, hapa chini ya mlima kuna kijiji kina watu, ngoja nikwepe kijiji nisiue watu". Maji yanafuata gravity tu, hayajali habari zenu za uzuri na ubaya.

Natural processes do not have consciousness to care about good and bad, you are just projecting your human bias into natural processes. This is anthropic bias.

Lakini, ngoja nikupige "immanent critique". Nikuoneshe udhaifu wa hoja yako, kwa kuanza kama nataka kukukubalia hoja yako. Naanza kukukubalia hoja yako, halafu naonesha kwamba hata nikikukubalia hoja yako, bado hoja ya Mungu kuwapo ina matatizo.

Kwa hoja yako hii kwamba kinachoweka upendeleo kati ya watu, kinachowezesha ubaya kati ya watu, kati ya wanyama na watu ni fraud, hata nikikubali kwamba natural selection ni fraud, kwa mantiki yako, bado Mungu wako naye anakuwa fraud.

Tuseme nakukubalia natural selection ni fraud, for argument's sake.

Halafu tukasema ulimwengu umeumbwa na Mungu, halafu tukaona ulimwengu huu huu tunaosema uliumbwa na Mungu bado Mungu karuhusu uwe na upendeleo kati ya watu, uwe na ubaya kati ya watu, uwe na ubaya kati ya watu na wanyama, utakubali kwamba tukitumia mantiki yako ile ile ya kuita natural selection fraud, kwa sababu imeruhusu ubaya, hata huyo Mungu naye atakuwa fraud tu, kwa sababu na yeye karuhusu ubaya?

Unaelewa kwamba hoja yako inamuita Mungu fraud?
 
Kama wanawake nd wakosaji zaidi elezea kwann namba ya wanaume ni kubwa jela kuliko wanawake
 
Huyu Mwamba nikiwa na msikiza na cheka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiufupi hujajibu swali la mleta uzi.
 
Sasa ndo hapo ukweli unapopatikana Sayansi haiwez kujibu hilo swali kwanini kuna utofauti ila bible inajibu. Kwa mfano binadamu kuasi nd kunasababisha huo mkanganyiko na solution imetolewa kuwa dhambi itabidi iondolewe kwa kuchomwa moto na kila kitu kitarudi mahala pake kama Eden. Nipe majibu ya sayansi kwanini natural selection haijielewi?
 
Mim nakuuliza wewe,
Upande wenu wakiristo mukifufuliwa na kwenda Mbinguni mutapewa nini?
Nini Zawadi ya unyenyekevu wenu ili iwe tofauti na wale waliomuasi Mugu?
Uzima wa milele maisha yenye furaha na kumtukuza Mungu kwa kusifu na kuabudu hyo nd zawadi. Kutokuwa na magonjwa wala vifo wala maumivu kuwa na umoja kati yetu. Kuuishwa kwa miili ya duniani ilyomuasi Mungu. Pia Mungu anataka afute dhambi kwa kuiondoa kabisa.
 
Kujibu si hoja.

Hata kichaa anaweza kujibu swali.

Hoja ni, je, jibu ni sahihi?

Bible ina contradictions nyingi sana. Inajipa utakatifu wa kuwa na jibu la kila kitu, wakati imeshindwa kujibu mengi, hapo ndipo udhaifu wake.

Sayansi kwa upande wa pili, inakubali kwamba haina majibu ya kila kitu, sayansi ni mchakato wa kutafuta majibu, kwa hivyo, hata ikikosa majibu, hakuna cha kushangaza. Haikuwahi kudai kwamba ina majibu ya kila kitu.

Natural selection haina cognitive tools za kuipa consciousness, hivyo, haina consciousness.
 
Mwenye contradiction ni mtu na siyo bible sababu bible imejikita na mambo ya rohoni ambaye nd kiongozi wa mwili wa mtu. Halafu majibu yapo mengi sana kama ulivosema kwamba hata kichaa anaweza kujibu lakini kuna jibu limestand out sababu logic yake ina uhalisia mkubwa nd bible hyo sasa. Science inatabiri mambo mangap yanafail ila bible inayoyatabiri yanatokea kweli tangu zama za kale. Lakini pia kuna vithibitisho vya wazi kuwa bible nd kitabu cha kwanza kuandikwa duniani je hio haitoshi kuaminisha watu kuwa yaliyoandikwa ni kweli?
 
Sasa kama haina consciousness inawezaje kumuumba mtu mwenye consciousness. Lakini bible inasema Mungu katuumbwa kwa mfano wake so mwanadamu alivo ni exact reflection ya Mungu mwenyewe. Sasa hapo kipi kinaweza kuwa kweli?
 
Sasa kama haina consciousness inawezaje kumuumba mtu mwenye consciousness. Lakini bible inasema Mungu katuumbwa kwa mfano wake so mwanadamu alivo ni exact reflection ya Mungu mwenyewe. Sasa hapo kipi kinaweza kuwa kweli?
Huyo Mungu mpaka sasa hujathibitisha kwamba yupo.

Unapiga hadithi tu kwamba yupo.
 
Sijui nani aliwadanganya hawa watu na kuwapa hii imani ya ajabu kabisa!
Huenda kuna mbingu nyingine lakini sio hii ya Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
 
Sijui nani aliwadanganya hawa watu na kuwapa hii imani ya ajabu kabisa!
Huenda kuna mbingu nyingine lakini sio hii ya Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Mungu huyu ni wa Ibrahi, Isaka, Jakobo Yesu na Ishmail , Muhammad na wengineo akina Daudi, Noa na Yona .
Mungu mmoja asiyebadilika ,Muumba wa Mbingu na Nchi.
Atawapa waja wake wema mahali pema pa starehe siku ya Kiama , na Kuwaingiza kwenye Adhabu waja waOvu ndani ya Moto wa Jahannam.
Uzima wa Milele humo peponi na starehe za kila aina, wakiwemo mabinti warembo na vyakula vyakutamanisha na nyama za ndege na matunda na Vinywaji kama Maziwa, Asali ,Mvinyo na shrubati anuwai.

Umekwama wapi Ndugu yangu katika Kuelewa?
 
Tatizo tunafikiri tutakuwa na fikira hizihizi huko peponi. Pepo ni spiritual realm, tukifa tunaingiacp dimension nyingine.
 
Huyu Allah aliyetoa ahadi wa mabikira 72 sidhani kama ni Mwenyezi Mungu!
Mwenyezi Mungu hawezi kutoa ahadi ya aibi kama hi!
 
Da! kweli kuna aya zimegushiwa ktk hicho kitabu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…