Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Endeleeni na dini zenu.
Mungu ninaye mwamini hana sheria zenu za ajabu ajabu.
Nyie waislam na wakristu hamna tofauti.

Mungu yupo ila sio kwa hivyo mnavyomdhania. Nitabaki na imani yangu inatosha.
Tofauti ipo. Ila hakikisha unadini yenye future. Nikutakie wakati mwema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke huyu huyu wa Kiislamu anaye fananishwa na Mbwa Mweusi na Punda.

Narrated Abu Dhar al-Ghifari (RA):

Allah's Messenger (ﷺ), "In case there is not before him (an object) like the back of a saddle, a Muslim's Salat (prayer) would be cut off by (the passing of) a woman, a donkey and a black dog." And it concludes: "the black dog is a devil." [Reported by Muslim].

Mwanamke anayezidiwa thamani hata na Mbwa Mweupe.
Dini ya Ajabu sana hii.

Nasubiri Taqqiya.
Sasa kwa akili yako unaona mbwa mweusi ni mbaya,wakati hapo mbwa mweui amepewa hadhi ya kuweza kukatisha swala.Ni.kuwa mbwa mweusi ana uwezo mkubwa wa kukatisha swala,kuliko mbwa wa rangi yoyote mwingine.
Kiumbe chenye kuweza kusimamisha shughuli yoyote,huyo ujuwe ana hadhi kubwa.
 
Uhuni mtupu Waarabu na wazungu wameidanganya na kuhadaa sana dunia sanaaaa. Wahuni Waarabu
 
Huko uliko kuna kupakatwa na Ibrahimu,mwenzako Lazaro tayari ameshapakatwa na Ibrahimu.Sasa chaguwa upate wanawake bikira,au ukapakatwe na na njemba Ibrahimu.
Huyo mtume alikuwa shabiki wa Sodoma na gomora
 
UUjira huo ambao wanawake watapewa nii upi? Maana haujatajwa katika hiyo aya.
Wanaume mabikra sabini,
Wanawake je watapewa Nini?
Naomba aya Kama ipo
Jibu ni hili hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

43:70 quran
Enter Paradise, you and your wives, with happiness.

Jengine hili hapa 33:35 quran
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.







Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aya inayosema hivyo ipo wapi?
Me sio muumini wa league kwenye mambo ya kidini..ila kama umesoma qur'aan na mafundisho yake,huwez uliza swali la kitoto kama hilo
 
Raha si kumuabudu Mungu..au wewe hujisikii raha kumuabudu Mungu?

Pepo yenu nyie ni kut*mbana na kunywa pombe milele.... Hii dini yenu aiseeee
Heshimu ngono kijana, bila jambo hilo hata kuandika hapa JF ingekuwa ndoto, sasa kuna ubaya gani tukiendelea na jambo jema kabisa la rahaa ya asili na tamu kabisa
 
Swali.
Katika pepo ya Waislamu maandishi yao yanasema kutakuwepo na Binadamu na Majini kama viumbe waliofuzu kuifikia hiyo pepo.

Na kuna maandiko yanasema hao wanawake 72 watakao pewa watakuwa Bikra kabisa, hawajaguswa na Binadamu wala Jini.

Je, huko peponi Binadamu na Majini watakuwa katika Umbo moja, yaani watakuwa wanafanana kimaumbile ?

Au Majini watabaki Majini na Binadamu watabaki Binadamu ?

Naomba majibu ya Andiko kamili na sio ufafanuzi.

Nipo nabrashi viatu vya wateja wangu hapa mgundini.
 
Kwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
Kwani wanazini peke yao? Hizi Akili mnazitoa wapi? Hata huko wanakopiga mawe watu,hatuoni wakiwaua wanaume, zaidi ya wanawake [emoji24][emoji24][emoji24], huko peponi zinaenda ROHO siyo mwili huu
 
Malaika ni kiumbe kinachomuabudu mungu wakati wote,Haina logic uabudu mungu duniani Kisha siku ya malipo Kwa wema na wabaya ukaabudu tena
Kwani kwako malipo ni ngono na kilevi tu? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?

Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?

Yaani tukomae na swala tano, swaumu, tule kwa macho pisi Kali afu peponi pia tukaswali na kufunga?

Kwetu sie waislam peponi(Allah atujaalie tuingie pepo yake) ni kustarehe babu kujinyima duniani...na mwanaume yeyote tukisema starehe alafu amtoe mwanamke kwenye starehe basi huyo binafsi nitamuona kuna shida sehemu.....bora ya starehe ni Mke mwema mtiifu(yaani mwanamke).

Tena hao 72 unakuwa energetic kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili kuwatosheleza.

Kuhusu wake zetu, akiwa ni katika watu wa peponi na Mme akiwa ni wa peponi basi mtumi(saw) kama si aya asema ingieni peponi na mnawaopenda(it means wana ndoa watakuwa pamoja if and only if watakuwa ni waliotenda mema).

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ngono ndiyo starehe kwako? When you get there,tamaa za mwili zitatoweka,no more hunger, thirsty,pain, hatrade, Hakuna kuchoka, Hakuna usiku ni maisha ya milele
 
QUR-AN 43:70
"Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo."

WANAUME WATAINGIA PEPONI NA WAKE ZAO WAKIWA NA WAO NI WEMA KAMA WAUME ZAO...WAKATI HUO HUO ALLAAH ATAWAKIRIMU WANAUME NA WANAWAKE WAPYA WA PEPONI.

WALE AMBAO HAWAJAWAHI KUOLEWA DUNIANI...WATAPEWA FURSA YA KUCHAGUA MWANAUME AMTAKAYE.

KIMAUMBILE MWANAUME HAWAFANANI NA MWANAMKE...MWANAUME ATAPEWA WANAWAKE WENGI...ILA MWANAMKE HAWEZI KUWA NA WANAUME WENGI...ATAPEWA MMOJA TU NA ATARIDHIKA NAE...SIO KAMA MAKAHABA YA DUNIANI YASIYORIDHIKA NA MWANAUME MMOJA...PEPONI WANAWAKE HAWAPO HIVYO...
 
Swali.
Katika pepo ya Waislamu maandishi yao yanasema kutakuwepo na Binadamu na Majini kama viumbe waliofuzu kuifikia hiyo pepo.

Na kuna maandiko yanasema hao wanawake 72 watakao pewa watakuwa Bikra kabisa, hawajaguswa na Binadamu wala Jini.

Je, huko peponi Binadamu na Majini watakuwa katika Umbo moja, yaani watakuwa wanafanana kimaumbile ?

Au Majini watabaki Majini na Binadamu watabaki Binadamu ?

Naomba majibu ya Andiko kamili na sio ufafanuzi.

Nipo nabrashi viatu vya wateja wangu hapa mgundini.

Kwanza utuambie umbo la majini ni lipi!!!

Alafu naona umeandika maneno mengi alafu swali ni moja tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom