Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Nani anakudanganya mbinguni watu wa naenda kufanya ngono? Iyo ni anticipated mbingu ya waislamu. Mashek bhana wanapenda kujipendelea 😂😂
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
hiyo mbingu ya uzinzi siihitaji. mood mwongo sana.
 
Muanzisha uzi naomba nikujibu kwa kifupi sana naamini utaelewa.
Ni hivi,kwanza lazima uelewe kwamba Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza then kutokana na huy hyo mawanaume ndo mwanamke akafuatia.

Lakini baada ya uumbaji huo mwanaume ndyo mtu pekee aliyesimikwa uongozi/ukubwa ili kumuongoza/kumtawala mwanamke,sasa basi hapa Duniani wewe mwanaume umeoa mwanamke na mmeishi maisha ya hapa Duniani kwa kufuata sheria za Mungu na kufanya ibada vzr mpk Mwenyezi Mungu akawaridhia muwe katika watu wa peponi.

Sasa kule peponi kwa vile wewe mwanaume unastahili wanawake wengi(Hawa 72 ni idadi ya mfanya ibada wa kiwango cha chini sana) wanawke ambao atawamiliki kwenye eneo utakalopewa ndani ya pepo ambalo ni kama nchi yako ya pekeako na makasri/majumba mengi yaliyobeba hao wanawake pamoja na WAFANYAKAZI wafanyakazi ambao ni vijana wadogo na ni maalum kwa ajili ya kukutumikia wewe katika maisha ya huko peponi.
Ukumbuke kwamba maisha ya peponi ni jambo la milele na hii ni sababu nyingne kwann unapewa wake wengi ili usichoke na usikinahi....lakini pia kule peponi wewe hutakuwa wa kawaida,Mungu atakuumba upya na huyu mke wako ataumbwa upya isipokuwa sasa huyu mwanamke kwa vile alipitia mapambano ya ibada basi Mungu kwa uwezo wake atamfanya kuwa mwanamke MZURI ZAIDI ya wale wanawake mahur'layn na hao mahur'lain ni wanawake WAZURI kiasi ambacho kwa hapa Duniani hakuna cha kufananisha,sasa huyu mwanamke aliyetoka Duniani anapewa ubora huo wa UZURI, UTUKUFU na CHAGUO MAALUM kwasababu yeye kuna kazi ya ibada aliifanya kule Duniani na sasa huku anapewa tunu maalum kma tusema UMALKIA hv japo idadi hyo pamoja na ya wanawake wale wengine itakuwa chini yako wewe mfalme uwamiliki.

Kule peponi Kuna NGUVU maalum Mungu atakupatia wewe mwanaume ili uweze kuwatosheleza idadi yote ya wanawake utakayopewa na kila mwanamke unakaemiliki kule Mungu muumbaji atawatoharisha/Atawasafisha kwa maana hawatapata ile period zao za kila mwezi na hawatapata ujauzito,hawaendi haja ndogo wala kubwa na kubwa zaidi Mungu atawatoa watu wote CHUKI,FITNA,WIVU na UHASIDI katika nyoyo za watu wote watakaoingia peponi ikiwemo hao wanawake jambo ambalo pia
hawa wanawake watakaokuwa katika milki yako pia watakuwa WANAPENDANA SANA WAO KWA WAO na WATAKUWA WANAENJOY SANA KUKUHUDUMIA WEWE...Mungu atawaumba upya.

Sasa wale mnaosema kwamba pepo itakuwa uwanja wa ufuska...Ni hv ndg zangu,Mwanaume yeyote aliyekamilika Starehe yake kubwa ya kwanza ni Ngono tena ngono si kwa mwanamke mmoja,yan mwanaume aliyekamilika huwa anapenda pia kuwabadili badili hao wanawake,na hii ni NATURE,hata hapa Duniani hakuna Mwanaume anaridhika na mwabamke mmoja huo ndo ukweli,sasa kama wewe ni mwabaume afu unakasirika kuwa na wanawake wengi basi kaa ukijua utakuwa unashida kidogo ya kimaumbile japo ukienda peponi Mungu atakuumba upya(usijali)
Sasa kwa vile Mungu muumbaji anatujua vema ndo akaamua kutuumbia idadi kubwa ya wanawake wakiwa wanatofautiana UZURI NA UREMBO huko peponi.

Lakini pia mbali na hilo la ngono,Huko peponi Mungu ameandaa mito ya maji,mito ya maziwa,mito ya POMBE kwa watakaopenda kuinywa lakini pombe hyo huwezi kutoka akili ukaongea upuuzi kwa sababu peponi hakuna upuuzi,lakini pia kuna matunda, nyama za ndege na starehe mbali mbali zisizokatika.

Wanaosema peponi kwa ajili ya kuimba imba.....jamani hivi kma peponi ndo kuimba imba tu kila siku sasa raha ya hiyo pepo ipo wapi?
Pepo ni ulimwengu Mungu ameandaa watu wema kwenda kustarehe,kule hakuna tena ibada,ibada unatakiwa ufanye hapa sasahv Duniani,hayo mambo ya kuimba kule hakuna msiwakatishe watu tamaa,kule Mungu ataki umuimbie kule anataka wewe ule bata haswa,uenjoy utukufu wake kwa vile alivyokuandalia...Yan ukae unaimba imba afu ukishamaliza kuimba...yan hakuna kula,hakuna kunywa yan ni kuimba tuuu....jaman huo sio mpango wa Mungu,hyo ni mipango ya watu kuwakatisha tamaa ili uhisi kwamba nikifanya wema inamaana naenda kulipwa KUIMBA? hii hapana.
Pepo ni ulimwengu wa starehe,wewe kama akili yako haitaki hulazimishwi,lile jambo la kiimani na ndomaana watakaotunukiwa hyo pepo NI WALE WALIOAMINI.

Fanya sana ibada hapa sasahv,piga swala 5,funga Ramadhani,nenda mecca kama una uwezo lakini pia acha madhambi yote uliyokatazwa na tenda mema yote uliyoamrishwa...UKIFA TU PEPONI,na kwa taarifa tu ni kwamba zile starehe za mwanzo huwa zinaanzia pale kaburini then kule peponi utakabidhiwa starehe iliyokamilika
Mkuu hizi story hujawahi hata kuwa na mashaka nazo hata chembe??

No even a cognitive dissonance?
Mbona kama ni hadithi tu za kujifariji.

Nlitegemea uanze kwa neno kuwa "unaamini "
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.


Shehe nae anafafanua hapa


Dah wake 72 😲😲😲 sii mchezo aisee sasa sii full burudani huko peponi
 
Adamu alivyokuwa peponi alipewa mke, sasa nyie mnataka tukae peponi tusiwe na wake?

Kama unataka kuwa khanithi peponi shauri yako, sisi tunataka kuchakata mbususu milele!

Hapa duniani kwenyewe kila demu mkali anayepita nageuza shingo, sasa kwa nini nisikamatie vitu vikali huko peponi?
Kuna hatari hii mbingu dhambi ikaanza upya na ikawa kama duniani.
 
haha umefikiria nini mkuu?.kwanza kabisa wakwanza kuumbwa ni mwanaume, baadaye mwanamke akaumbwa kutokana na ubavu wa mwanaume.hii inaleta picha kwamba kwa vile mwanamke aliumbwa kwa ubavu wa mwanaume!? ule ubavu wa mwanaume ulochomolewa kuumba mwanamke uta ludishwa mahali pake yani kwa mwanaume .hivyo mwanaume atabaki kama alivyo umbwa awali akiwa pekee na mkamilifu,ni mtazamoo tu.
 
Watarudishiwa bikra zao, na hao ndiyo mwanamme wa kiislam atapewa, hakuna mwanamke mwingine atayeumbwa Muraa,

Lakini sisi Wakristo hatuamini katika mambo ya ngono, mbingu yetu haina uchafu huo, kwetu hakuna ngono bali tutaishi kama malaika tukisifu ukuu wa Mungu, fully stop.
Mungu hakuumba viungo vichafu. Kila kimoja kina kazi yake.

Kama viungo vyetu tutaendelea kuwa navyo huko peponi, basi hata huko tutavitumia pia.

Nyie kama hamtaki kuchakata, basi tulieni itabidi mkae pembeni vyombo vyote vikali watajitwalie waislamu waenjoy.

Mimi nikiwa peponi nataka mademu wakali, sasa wewe utaniambiaje eti nikiwa huko nikae hivihivi?
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Hamia kwa mwamposa huko hakuna ubaguzi,hoja yako inaonyesha qur,an imewabagua
 
Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.

Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Wewe unawazidi elimu wanawake wa kisaudia kimisiri kuweiti omani,tukubali wewe umesoma hiyo elimu yako imekusaidia wewe pamoja na jamii inayo kuzunguka?haya unawazidi mali wanawake wa kiarabu wewe unawazidi maisha,chuki mbaya sana jamani
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Pengine!!?
Yaani unajaribu kuongeza aya kwa mafikirio yako ili kuwafariji wanawake?
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
Wewe hapo ulipo bila ngono usinge kuwepo,hata chumo lako lote linaishia kwa dada powa
 
Back
Top Bottom