Je, Kamati Ndogo ya Maadili Ina uwezo wa kumvua uanachama VP???

D

DeletedMember281674

Guest
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu.

Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi???

Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa kuwa PM.

Ingawa huyu PM wa Sasa is not matured enough kama watangulizi wake sitegemei Sana kama atakuwa na positive impact hata huyu Minister of Sports na yeye bado is not matured enough katika kuhakikisha analeta chachu ya maendeleo yeye yupo zaidi kuleta vibes zaidi katika kuyakejeli Maisha ya watanzania ambao wengi wao ni masikini wanaona fedha zao zinatumiwa vibaya wakati Maisha yao yanazidi kuwa magumu Kila kukicha.

Nawasilisha
 
gentleman,
this is very useless and completely nonsense article of the day politically speaking.

I'm sorry for saying that light truth 🐒
 
Never happened , but pia nashangaa kamati kuu kukaa kumuita vp wakati hamna kosa

Hamna kosa katika kudai katiba
 
this is useless and completely nonsense article of the day gentleman,

I'm sorry for saying that light truth 🐒
JF is an open platform where everyone is free to express their thoughts and opinions. I was expecting you to come here and share your own thoughts or views as well. Thank you.
 
Akivuliwa uanachama... effectively atakuwa amevuliwa na uVP. Sio rahisi kihivyo
 
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu.

Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi???

Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa kuwa PM.

Ingawa huyu PM wa Sasa is not matured enough kama watangulizi wake sitegemei Sana kama atakuwa na positive impact hata huyu Minister of Sports na yeye bado is not matured enough katika kuhakikisha analeta chachu ya maendeleo yeye yupo zaidi kuleta vibes zaidi katika kuyakejeli Maisha ya watanzania ambao wengi wao ni masikini wanaona fedha zao zinatumiwa vibaya wakati Maisha yao yanazidi kuwa magumu Kila kukicha.

Nawasilisha
Watamuua mwenzao
 
Pascal Mayalla
 
JF is an open platform where everyone is free to express their thoughts and opinions. I was expecting you to come here and share your own thoughts or views as well. Thank you.
that's very positive perception of yours gentleman concerning the platform nature on freedom of expressions.

My free thoughts remain as it is that, the narrative within the article is useless and completely nonsense 🐒
 
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu.

Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi???

Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa kuwa PM.

Ingawa huyu PM wa Sasa is not matured enough kama watangulizi wake sitegemei Sana kama atakuwa na positive impact hata huyu Minister of Sports na yeye bado is not matured enough katika kuhakikisha analeta chachu ya maendeleo yeye yupo zaidi kuleta vibes zaidi katika kuyakejeli Maisha ya watanzania ambao wengi wao ni masikini wanaona fedha zao zinatumiwa vibaya wakati Maisha yao yanazidi kuwa magumu Kila kukicha.

Nawasilisha

Mimi napenda CCM

Zidumu Fikra za Mwenyekiti wetu wa Chama

CCM OYEEEEEEEE
 
Naona utabiri wako umetimia Mkuu.

Time Traveller siyo
 
gentleman,
this is very useless and completely nonsense article of the day politically speaking.

I'm sorry for saying that light truth 🐒
We mama huwa ni mpumbavu kila siku halafu we ni chawa usiyejua chochote kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom