Je, Kanisa Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?

Jamaa amejitahidi kuweka rejea, nafikiri ungeweka zaa kwako moja baada ya nyingine ungeeleweka, hoja hujibiwa kwa hoja na rejea hujibiwa kwa rejea kiongozi.
 
Jamaa amejitahidi kuweka rejea, nafikiri ungeweka zaa kwako moja baada ya nyingine ungeeleweka, hoja hujibiwa kwa hoja na rejea hujibiwa kwa rejea kiongozi.
Tuwe waangalifu na kudonoa mistari ya biblia hovyo. Naweza kujustify pombe kwa kutumia hizo rejea. Kama wewe ni msabato jitahidi uwe Mkristo angali ukiwa hai. Tokeni kwenye mambo ya Agano la kale na mapokeo yake, Yesu Kristo ndiye Njia, Ukweli na Uzima.
 
Wala mimi sio Msabato ila bandiko lake limenifanya nianze kuzitafuta hizo rejea na kusoma, kuna vitu nimevipata na natamani watu wasipite huko wanaweza kupoteza sehemu ya imani yao.
 
Mithali 18:1-2
 
Yes na tena bila hao wakatoliki na papa na nguvu alivyopewa ya Mbinguni na duniani pengine Ukristo usingekuwapo leo hii. Sijui kwanini watu wanamwona papa ni mpinga Kristo wakati yeye ndiye anatetea na kusinamia Imani Takatifu ya Kristo?!
 
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema.

2 Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.
Nadhani umenielewa vyema mkuu!
 
Nadhani umenielewa vyema mkuu!
Mimi nakuelewa sana mkuu, ila hiki ni kipindi ambacho maarifa yamekuwa mengi, yaliyokuwa siri yamefunuliwa sana, dini zetu hizi zitapata changamoto sana kwa kipindi cha muda mfupi sana ujao.
 
Mimi nakuelewa sana mkuu, ila hiki ni kipindi ambacho maarifa yamekuwa mengi, yaliyokuwa siri yamefunuliwa sana, dini zetu hizi zitapata changamoto sana kwa kipindi cha muda mfupi sana ujao.
Cha msingi Ni wewe Kama wewe kuyaishi maisha aliyoagiza Bwana wetu Yesu Kristo
 
Kanisa letu PENDWA.

1. Limebadiri AMRI za Mungu.

2. Limeleta Rozali.

3 limeleta sanamu na KUMUABUDU bikra maria.

4. Limeleta DINI ya UISLAMU.

5. wanasupport Ushoga kwa NGUVU zote. MAPADRI wanaona.
WATOTO wanalawitiwa. Kesi kibao VATCAN za ulawiti.

6. Agenda Yao Leo ni kuunganisha DINI zote Dunia nzima na kusali jumapili. Ibada Moja.
 
Pope wako under Jesuit Order ( Secret society).
Roman Catholic ni state n not a church as we think.
Kama walikataa mafundisho ya Yesu ili kuokoa biashara zao kupitia makuhani waliochaguliwa na serikali,
je kanisa halikuweza kuchagua makuhani hao.?
Na ilikuwaje makuhani washikwe na Hofu juu ya serikali ya Roma ktk kuondokewa na waumin walioamua kufuata Yesu ?

Serikali hiyo ilikuwa ikiratibu kila kita ktk mfano wa kanisa ilikuwa kinyume na mahubiri ya Yeshua itakuwa kinyume na itaendelea kuwa kinyume. Mana Dini ilianzishwa ktk lengo la biashara na kuwatawala watu wakiwa mitaji halisi inayohesabika.
 
Wakristo ndio hawa wanaoabudu masanamu na kula nguruwe?

Mbona nyie mnaojiita wakristo mpo tofauti na Yesu alivyoagiza?

Mmejaa upagani mtupu
 
Unawashutumu wasabato Ni agano la kale ,hivi mna akili nyie?

Kwahiyo Amri kumi hamzitaki kisa zipo agano la kale ?

Kwenye zaka na sadaka mnatumia agano la kale kutapelia watu
 
Yes na tena bila hao wakatoliki na papa na nguvu alivyopewa ya Mbinguni na duniani pengine Ukristo usingekuwapo leo hii. Sijui kwanini watu wanamwona papa ni mpinga Kristo wakati yeye ndiye anatetea na kusinamia Imani Takatifu ya Kristo?!
Umedanganywa na Nani ?

Upapa (Papacy system) ndio wameharibu Imani ya Ukristo

Ndio wameua maelfu ya wakristo
 
Yes na tena bila hao wakatoliki na papa na nguvu alivyopewa ya Mbinguni na duniani pengine Ukristo usingekuwapo leo hii. Sijui kwanini watu wanamwona papa ni mpinga Kristo wakati yeye ndiye anatetea na kusinamia Imani Takatifu ya Kristo?!
JE NANI ALIIBADILISHA SABATO?

Katika Danieli 7:25, Mungu anaonyesha wazi kwamba kuna mamlaka itakayokuja kubadili sheria zake.

“Naye (mnyama) atanena maneno kinyume chake aliye juu…Naye ataadhimu kubadili majira na sheria…” Danieli 7:25

Je ni nani hapa duniani mwenye uwezo wa kubadili majira na sheria? Nani hudai kuwa anauwezo wa kubadili majira na sheria?

“Papa ana uwezo wa kubadili majira, kubadili sheria, na kuachana na mambo yote, hata maagizo ya Kristo.”
“Papa ana mamlaka na maranyingi ameyatumia, kuachana na amri ya Kristo.”

–Decretal, de Tranlatic Episcop. Cop. (The Pope can modify divine law.) Ferraris’ Ecclesiastical Dictionary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…