Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkuu nasi tulia kwanza ukiwa na mood utarudi usije ukaharibu mambo.Nipo off mood.
SOMA DANIEL 7:22.
Kama Mungu Ndiye anayehukumiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nasi tulia kwanza ukiwa na mood utarudi usije ukaharibu mambo.Nipo off mood.
SOMA DANIEL 7:22.
Kama Mungu Ndiye anayehukumiwa.
Ni vigumu kujadili na watu wasio wakristo mambo ya Kristo.
Wasabato bado ni watu wa Agano la Kale hawamwelewi Kristo na ukombozi alioleta. Yesu alikuja kuwakomboa watu kutoka ukandamizi wa sheria.
Kiini cha Ukristo wetu sasa ni Amri Mpya ya Upendo aliyotupa Yesu na sio tena mambo ya kale ikiwa ni pamoja na mambo ya zaka! Yesu hakuwahi kuzungumzia zaka kwani yeye ndio kila kitu zaka, sadaka, sheria na wokovu.
Pia Wasabato acheni ulevi wenu na Ukatoliki na Papa! Acheni kuishi tafsiri potofu za Ufunuo! Yesu Kristo ndiye huo Ufunuo na Uzima wa Milele, hakuna mwingine!
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristoNGOJA NIKUJIBU KWA KITABU KIDOGO UNACHOKIAMINI.
Quran5. 47.
Quran 2:62.
Quran 62.3.
Aya zote HIZI zinasisitiza kuwa walioamini Mitume WA zamani ni WA KRISTO.
N:B YESU ALILETA UKOMBOZI ALITUMWA KUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU. HAKULETA MASUALA YA DINI.
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo
Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa
1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji
Unachekesha sana Yani mkristo unataka Quran iharalishe ukristo wako
Swali langu nikwamba Yesu haitambui dini ya ukristo
Kama unalo andiko katika Injili au Quran kuwa Yesu anaitambua dini ya ukristo na yeye ndio aliyeaianzisha ukristo na yeye alikuwa mkristo kama wewe weka hapa hayo maandiko tuyaone
Ilituamini kuwa ukristo na usabato sio zao la mnyama 666
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo
Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa
1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji
Unachekesha sana Yani mkristo unataka Quran iharalishe ukristo wako
Swali langu nikwamba Yesu haitambui dini ya ukristo
Kama unalo andiko katika Injili au Quran kuwa Yesu anaitambua dini ya ukristo na yeye ndio aliyeaianzisha ukristo na yeye alikuwa mkristo kama wewe weka hapa hayo maandiko tuyaone
Ilituamini kuwa ukristo na usabato sio zao la mnyama 666
Tuwe waangalifu na kudonoa mistari ya biblia hovyo. Naweza kujustify pombe kwa kutumia hizo rejea. Kama wewe ni msabato jitahidi uwe Mkristo angali ukiwa hai. Tokeni kwenye mambo ya Agano la kale na mapokeo yake, Yesu Kristo ndiye Njia, Ukweli na Uzima.
Watu hawaelewi hilo andiko wanafikiri Yesu alikuja kuendeleza mambo ya kale, hapana, Yesu alileta upya wa mambo. …amri mpya nawapa pendaneni… Kuna visheria vingi sana vya Agano la Kale ambavyo Yesu hakuziishi wala hakufundisha watu waziishi. Yesu hakufundisha zaka wala hakutoa zaka. Yapo mengi.Mathayo 5:17
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabi; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil.
Kwa taarifa yako Yesu alivyokuja hakuna amri hata 1 aliyoibadili zaidi yeye ndo alikuja kuzifafanua na kupiga kwenye mshono
"Dini zote ni uzushi mtupu hazimfanyi mtu kwenda mbingun maana Muumba wa kweli hana dini wala dhehebu, hata hayo maandiko yenu ya uongo mnayotumia kukalilishana hayatambui maana yametungwa kwa maslahi ya wachache".Unawatukana wakatoric wakat wao ndio waanzilishi wa ukristo.
Ukristo haujawai kuwepo kabla ya ukatoric, wakatoric ndio wao waliunda kalenda na mifumo ya Kutambua nyakati zilizopita na miaka kwa kutumia Mfumo wa B.C(before Christ) na A.D(Age after christ) yaan kiufupi mifumo hii waliitunga miaka 1700 iliyopita kwa kumfanya Yeshua ama Yesu awe kama nguzo ya majira na nyakati za kisasa ama awe kama mfumo wa kuhesabu miaka kwa kutenganisha nyakati kabla yake(agano la kale ama B.C) na miaka baada yake(A.D ama agano jipya pia kizazi kipya).
Pia wakatoric hawa hawa ndio wao waliounda kalenda mnayoitumia leo hii dunia nzima mpka humo makanisan.
Hawa hawa wakatoric ni wao waliounda biblia kwa kukusanya nakala mbalimbali za stori za zaman, walitafsir kwa lugha watakazo na kuondoa baadhi ya vitabu walivyoona ni threats kwa jamii kujua kwa kuvificha na kuunda kitabu kimoja ambacho ndio biblia ya leo mnayoitumia kuwatukana.
Mkatoric ndie mkristo PURE maana anaabudu Uhalisia wa ukristo unavyotaka, kama ukristo ni sanamu basi hata wao lazma waziabudu sanamu.
Huwezi kusema mkatoric anaabudu ushetan ama ni symbol ya shetan wakat huo hata wew unaabudu kupitia mifumo aliyounda yeye mwenyewe.
Mpinga kristo si mkatoric na hawez kuwa mkatoric maana huyo kristo mwenyewe walimuunda wao wenyewe iweje wampinge?.
Dini nyingi tu zipo chini ya mkatoric hata ile dini ya wale wanaoabudu mwezi na kwenda kuhiji mahala fulan nao imani yao ilitungwa na mkatoric kiujanja ili kutawala jamii za waarabu[emoji23].
Madhehebu yote hayana ujanja kwa mkatoric ni suala la muda tu.
Ni mkatoric pekee anaabudu ktk uhalisia bila kufichaficha maana wanajua wanachokiabudu ndicho mnachokiabudu ninyi walokole na wasabato bila ninyi kukijua.
Fuatilia vizuri hutoona wakatoric wakiwazingua walokole wala makanisa yanayowatukana bali hawo walokole na jamii zao ndio humchokoza mkatoric.
[emoji117] Ukweli ni kwamba, Nabii wa uongo&mpinga kristo sjui mnaemuita hatotokea kanisani wala msikitini na wala hatokuja kuzipinga hizi dini na makanisa maana haya yote kayaanzisha yeye sasa kwanini ayapinge?
Mpinga kristo atakuja kukazia mafundisho ya dini kwa kuziunganisha dini zote(maana kiuhalisia zinamuabudu shetan bila watu kujua), hivyo basi Mpinga kristo vita yake si kuabudu ama kutokuabudu ktk Ukristo, bali kwenda kinyume na misingi ya dini mpya baada ya kuunganisha imani zote.
Kristo wa kweli hawezi kurudi leo wala kesho maana mpaka sasa hakuna amjuaye yuko vipi na muonekano wake uko vip, je akishuka sasa mtamtambua kwa lipi?.
Mambo ya kutukanana sababu ya utofauti wa kiimani ni Upumbavu, unamtukana mtu ilihali hata wew imani yako ina utatanishi,
Dini zote ni uzushi mtupu hazimfanyi mtu kwenda mbingun maana Muumba wa kweli hana dini wala dhehebu, hata hayo maandiko yenu ya uongo mnayotumia kukalilishana hayatambui maana yametungwa kwa maslahi ya wachache.
Upo sawa kabisa na hilo andiko ila ulakini wangu huwa unakuja upi uhakika wa sabato hii ya jumamosi ya kalenda ya Gregory?Nitakupa mstari mmoja Tu kutoka agano jipya nadhani UTAELEWA Kila kitu.
, sitaki KUZUNGUMZIA masuala ya Sabato, usabato nk.
UFUNUO WA YOHANA 12. 17.
Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu;....
KEY....
JOKA MEANS SHETANI.
MWANAMKE NI KANISA.
WAZAO NDIO WAUMINI wa KWELI wazishikao AMRI za Mungu 10.
Na ushuhuda wa YESU KRISTO.
Endelea Kudharau amli za Mungu.
N:B. AMRI NI SHERIA, TABIA, YA MUNGU HAIBADILIKI.
Yah hapa mkuu umekwenda sahihi kabisa na tafsiri yakeAsante sana Kwa swali zuri mkuu.
HAYA ndio Maswali ninayo yapenda.
UZURI WA BIBLIA HUWA INAJITETEA YENYEWE HAIITAKI MSAADA.
KWA KIFUPI SHETANI ALISHUSHWA KUTOKA MBINGUNI NA MALAIKA WAASI (MAJINI, MAPEPO NK) KWA SABABU ZIFUATAZO...
EZEKIEL 28...
14 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto.
Ezekieli 28:14
15 Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
Ezekieli 28:15
17 Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.
Ezekieli 28:17
Shetani aliasi na akafukuzwa kutoka mbinguni. "Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
!" (Isaya 14:12). Yesu alisema, "Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme" (Luka 10:18), na katika kitabu cha Ufunuo Shetani inaonekana kama "nyota iliyoanguka kutoka mbinguni hadi duniani" (Ufunuo 9: 1).
Pia tunaambiwa kuwa theluthi moja "na majeshi ya malaika elfu nyingi," (Waebrania 12:22) alichagua kumtukana naye. Yohana aliona ajabu hii mbinguni, "... joka kubwa jekundu, … na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi… joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote"(Ufunuo 12: 3-9).
Kwa kuwa Shetani anajulikana kama nyota iliyoanguka au kutupwa huku duniani, na Ufunuo 12: 4 inasema theluthi ya nyota zilifukuzwa nje naye, basi hitimisho ni kwamba nyota katika Ufunuo 12 zinarejelea malaika walioanguka, kikamilifu theluthi moja ya jeshi la mbinguni. Ikiwa idadi ya theluthi ni sahihi, huo ni uhakika gani! Theluthi mbili ya malaika bado wako upande wa Mungu, na kwa wafuasi wa Kristo, wao pia wako upande wetu.
Unafikiri lengo la Yesu ni kutufanya tukopi kila maisha na matendo aliyotenda? Yesu alitolewa hekaluni akiwa mtoto na njiwa wakitokewa dhabihu. Lakini sio lengo la Yesu kwamba wafuasi wake waige utamaduni huo.Acha kudanganya watu Yesu hajawahi kuwa mkristo Wala dini ya ukristo haijui maana haikuwepo kipindi yupo hapa duniani
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo
Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa
1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji
Na kama hayo yote Yesu hakufanya wewe unafanya Kwa kumfuta nani ? Jibu unamfuata mnyama 666
Wapi imeandikwa mwanamke aketiye juu ya maji ni Kanisa Katoliki? Ni tafsiri potofu kama za Kibwetere wa Uganda na McKenzie wa Kenya. Hayo ndio makanisa nje ya Kanisa la Mitume mnaloliita Katoliki.BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KANISA HILI KATILI
Note:mwanamke katika unabii humaanisha kanisa ,hapa Mungu analielezea kanisa KATOLIKI na watoto wake [makanisa yote yanayopinga amri za Mungu] kwa kutumia mwanamke kahaba na binti zake ,kama kuna mahali hutaelewa uliza
Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi - Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. - Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.Ufunuo wa Yohana 17 : 1-6
Mungu anajua mateso yanayosababishwa na kanisa KATOLIKI kwa watu wake ,hukumu yake inaafaliwa
Wakatoliki waaminifu wafanye nini ?
Mungu anasema
Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.- Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.Ufunuo wa Yohana 18 : 4-5
Yesu Kristo mwenyewe alionesha kuwa Sabato sio jambo muhimu na hakuna popote katika Maandiko panaonesha kwamba Yesu alikuwa ana utaratibu wa kusali siku ya Sabato. Wala Yesu hakufundisha watu kuishika Sabato!JE NANI ALIIBADILISHA SABATO?
Katika Danieli 7:25, Mungu anaonyesha wazi kwamba kuna mamlaka itakayokuja kubadili sheria zake.
“Naye (mnyama) atanena maneno kinyume chake aliye juu…Naye ataadhimu kubadili majira na sheria…” Danieli 7:25
Je ni nani hapa duniani mwenye uwezo wa kubadili majira na sheria? Nani hudai kuwa anauwezo wa kubadili majira na sheria?
“Papa ana uwezo wa kubadili majira, kubadili sheria, na kuachana na mambo yote, hata maagizo ya Kristo.”
“Papa ana mamlaka na maranyingi ameyatumia, kuachana na amri ya Kristo.”
–Decretal, de Tranlatic Episcop. Cop. (The Pope can modify divine law.) Ferraris’ Ecclesiastical Dictionary.
Wapi imeandikwa mwanamke aketiye juu ya maji ni Kanisa Katoliki? Ni tafsiri potofu kama za Kibwetere wa Uganda na McKenzie wa Kenya. Hayo ndio makanisa nje ya Kanisa la Mitume mnaloliita Katoliki.
Mamlaka ya kitume yametiririka tangu mtume Petro, wakati wa Yesu hadi Francis leo hii. Haijalishi ni wanadamu wakosefu kwani hata Petro na wengine kama Yuda walichaguliwa na Yesu mwenyewe lakini walikuwa wana damu na ukosefu wao. Huwezi kumwita papa mpinga Kristo mtu anayemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi! Sijui kwanini mnalazimisha upotofu huu?!Umedanganywa na Nani ?
Upapa (Papacy system) ndio wameharibu Imani ya Ukristo
Ndio wameua maelfu ya wakristo
Hizi ndiyo mind zinazo dig deep hata mimi naamini almost wengi tunaabudu tusichokijua hilo 666 ni mfumo ulioharibu kabisa Imani ya kweli.Acha kudanganya watu Yesu hajawahi kuwa mkristo Wala dini ya ukristo haijui maana haikuwepo kipindi yupo hapa duniani
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo
Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa
1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji
Na kama hayo yote Yesu hakufanya wewe unafanya Kwa kumfuta nani ? Jibu unamfuata mnyama 666
Hayo mambo ya kula hiki na kuacha kile wala Yesu hakusisitiza. Alisema sio kimwingiacho mtu kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Inashangaza kwamba wasabato bado wameng’ ng’ana na Agano la Kale la mambo ya kimwili.Wakristo ndio hawa wanaoabudu masanamu na kula nguruwe?
Mbona nyie mnaojiita wakristo mpo tofauti na Yesu alivyoagiza?
Mmejaa upagani mtupu
21 Watoto wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.
1 Yohana 5:21.
Basi kama unataka Biblia ikuambie hivyo hizo nakara zingepotezwa.
Hivi VITABU VYA kinabii vimeandikwa kwa mtindo huo Ili namna Mbaya yoyote isifanyike.
Remember.
JINSI Rumi ilivyolitesa kanisa.
Kuanzia KUMUUA YESU.
KUMUUA Stefano.
Mateso makali ya wanafunzi wa Yesu.
Kumsurubisha Petro.
Kumkaanga YOHANA kwa Mafuta nk..
Kama Hadi Leo hujui JINSI Rumi alivyolitesa kanisa la Mungu unapaswa kusoma sana.
MUNGU atakufunulia yote