Je, Kanisa Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?

Mkuu Tangu mimi nimezaliwa mpaka leo sijasikia Papa ameua mtu hizo habari unazitoa wapi?
Nimesema UPAPA ,au mfumo wa Upapa,

Ufunuo 17:6 “amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu…”


ni kanisa Katoliki lenyewe. Je historia inathibitisha kuwa kanisa Katoliki liliwahi kumwaga damu ya watakatifu na mashahidi wa Yesu?

“Kwa sababu ya kufundisha imani kinyume na mafundisho ya Roma, historia inaonyesha vifo vya wafia dini zaidi ya milioni 100” –Brief Bible Readings, p 16.

Kanisa Katoliki linasema…


"katoliki ana baadhi ya sababu kwa upande wake wakati anapotoa adhabu kwa waasi wa kidini, kwa maana anajidaia jina la Ukristo kwake mwenyewe kwa kuzuia, na anajidai kufundisha kwamba uwepo wa Roho wa Mungu kamwe hautaondoka kwake…Siyo kosa zaidi kumuua mtu kwa sababu ya uasi wa kidini, kuliko kwa sababu ya uuaji,…[na] katika mambo mengi mateso kwa maoni ya kidini siyo tu kwamba yanaruhusiwa, lakini ni ya busara na ya lazima.”

–The Lawfulnees of Persecution” in the Rambler, 4, June, 1849, pp 119, 126. (“The Rambler” lilikuwa ni gazeti la kila siku la Romani Katoliki lililochapishwa kuanzia mwaka 1848 hadi 1862).
 
Yes na tena bila hao wakatoliki na papa na nguvu alivyopewa ya Mbinguni na duniani pengine Ukristo usingekuwapo leo hii. Sijui kwanini watu wanamwona papa ni mpinga Kristo wakati yeye ndiye anatetea na kusinamia Imani Takatifu ya Kristo?!
BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KANISA HILI KATILI

Note:mwanamke katika unabii humaanisha kanisa ,hapa Mungu analielezea kanisa KATOLIKI na watoto wake [makanisa yote yanayopinga amri za Mungu] kwa kutumia mwanamke kahaba na binti zake ,kama kuna mahali hutaelewa uliza

Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi - Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. - Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.Ufunuo wa Yohana 17 : 1-6

Mungu anajua mateso yanayosababishwa na kanisa KATOLIKI kwa watu wake ,hukumu yake inaafaliwa

Wakatoliki waaminifu wafanye nini ?

Mungu anasema

Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.- Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.Ufunuo wa Yohana 18 : 4-5
 
Kwenye huu mstari wapi wameandika upapa au Papa?
Yaani unataka Biblia iseme Upapa?

Kitabu Cha UFUNUO na Daniel vimeandikwa kwa mafumbo , na sifa zote za KAHABA MKUU zinamuhusu Roman Catholic ,hakuna yeyote anayekidhi sifa za KAHABA mkuu ,Pembe ndogo , mstari kwa mstari ,Aya kwa Aya isipokuwa ROMAN CATHOLIC


Someni Biblia jamani , acheni kusomewa na Mapadri ,



PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHA

Papa Francis awaomba radhi Waprotestanti ,BBC WANARIPOTI

26 Januari 2016

Katika hatua ya kujumuisha umoja wa kikristo, Papa Francis amewaomba radhi waumini wa Kiprotestanti kutokana na unyanyasaji walioupata kutoka kanisa Katoliki miaka ya nyuma.

Papa Francis amewataka waumini wa kanisa Katoliki pia kuwasamehe wale ambao waliwakosea ili wasiruhusu makosa yaliyotendeka nyuma kuwa sumu ya mahusiano ya sasa. Kufuatia tamko hilo msemaji wa Vatcan ametangaza kuwa Papa Francis atazuru mji wa Lund uliopo Swedish eneo ambalo jumuiya ya Kilutheri ilianzishwa na kuanzisha thehebu la Kilutheri karne tano zilizopita.


KUHUSU Mauji ya RWANDA

PAPA FRANCIS AMEKUBALI KUWA KANISA KATOLIKI LILIHUSIKA KATIKA MAUAJI HAYO AMBAPO WATU ZAIDI YA 800,00O WALIUAWA ,BBC WANARIPOTI

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.

Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
-----
haya ni machache yalifunuka hata tukayaona ,je kuna mangapi ambayo hatuyajuai ?

Je kanisa KATOLIKI limebadilika? ,LA HASHA ! hapana kanisa hili halitabadilika kamwe bali litabadili namna ya utendaji wake kulingana na wakati ,hii ni kwa sababu kanisa hili linapata nguvu KUTOKA kwa shetani mwenyewe soma,Ufunuo wa Yohana 13 : 2
 
Naomba unifafanulie hzo herufi na namba zake.... Kwanini V ni 5 na wala sio 16..???



Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Kwenye huu mstari wapi wameandika upapa au Papa?
Unataka uthibitisho Gani aisee?

Unajua UFUNUO na Daniel vimeandikwa kwa mafumbo ,hivo inahitaji hekima ya Mungu utambue ?

Na waliokuwa wanasoma hivo vitabu na kugundua ROMAN CATHOLIC linahusika walikuwa wanauwawa ,


Na ndio chanzo Cha kuanzishwa JESUIT ili kuzuia watu wasiendelee kusema haya ,


KUPITIA HISTORIA NA BIBLIA ,unabii huu unalihusu Kanisa la Roman Catholic pekee ,



Ufunuo 17:9 inasema,


“Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”

Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?
*
Kanisa Katoliki linasema…


“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.

“Je vilima saba vya Roma ni nini?
Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” – Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma


“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” – http://www.britannica.com/seo/s/seven-hills-of-rome/

Hivyo mnyama mwenye vichwa 7 ambavyo ni milima 7 ni ufalme wa Roma, na mwanamke aliyeketi juu ya mnyama huyo au juu ya ile milima 7 ni Kanisa Katoliki.

 
Akili za kuambiwa na Ellen G. White unachanganya na za kwako. Pole!
 
Kwenye huu mstari wapi wameandika upapa au Papa?

NGOJA TUKUONYESHE MZEE WA SIKU ANAYEPEWA HUKUMU.

9 Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9

13 Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13

22 hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22

MZEE WA SIKU NI PAPA.
 
Acha kudanganya watu Yesu hajawahi kuwa mkristo Wala dini ya ukristo haijui maana haikuwepo kipindi yupo hapa duniani

Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo

Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa

1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji

Na kama hayo yote Yesu hakufanya wewe unafanya Kwa kumfuta nani ? Jibu unamfuata mnyama 666
 
Bi mkubwa Hellen White alikuwa na hoja ila hoja potofu. Kimombo wanaita 'fallacy'

Zaidi ya miaka 150 na hakuna hata moja kati ya aliyoyatabiri lililotimia. It's totally fallacy
 
H
Hahaha Mkuu unatia aibu Mzee wa Siku ndiye mwnye Sufu safi? Anayetoa hukumu na mataifa wanamwabudu??

Soma Daniel 7:12-16.

Acheni uongo mzee wa Siku ni Mungu Baba anatoa hukumu kwa Falme za Dunia na ndiye Jiwe lisilofanyika kwa mikono Daniel 2: 34.

Mnasoma biblia mmezishika juu chini yaani Upside down. Na kukariri zile chuki mlizofundishwa na nabii Helen G. WHITE.
 


NGOJA NIKUJIBU KWA KITABU KIDOGO UNACHOKIAMINI.

Quran5. 47.
Quran 2:62.
Quran 62.3.

Aya zote HIZI zinasisitiza kuwa walioamini Mitume WA zamani ni WA KRISTO.

N:B YESU ALILETA UKOMBOZI ALITUMWA KUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU. HAKULETA MASUALA YA DINI.
 


Nipo off mood.

SOMA DANIEL 7:22.
Kama Mungu Ndiye anayehukumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…