Mungu akusameheNi mjanja mjanja tu wa hapa mjini ana taasisi yake nje ya kanisa lake kwa ajiri ya kupiga hela
Acha kunitisha ,wap Mungu amedhihakiwa?Mungu akusamehe
Amen.Mungu adhihakiwi
Unaonaje siku moja ukahudhuria semina zake? May be utauona uchawi na utapeli wake vizuri.Huyu si ndiye yule tapeli aliyesema Haiti wamepata maafa kwa sababu ya uchawi?
Na yeye tapeli mchawi tu.
Mi nimefikampaka Dharamsala, si wa low art.Unaonaje siku moja ukahudhuria semina zake? May be utauona uchawi na utapeli wake vizuri.
Sipambani na ww mkuu.Acha kunitisha ,wap Mungu amedhihakiwa?
Kwahiyo mwakasege mjanja mjanja ni Mungu? Hiv nani kawaroga nyieSipambani na ww mkuu.
Wala sikutishi,ila jua kuwa Mungu adhihakiwi.
Namalizia kwa kusema,bora kuwa na hekima
OVER
Hizo semina ni kichaka cha kupiga hela za sadaka na kupata ufadhili kutoka nje, hizo semina ndio ajira yake,Unaonaje siku moja ukahudhuria semina zake? May be utauona uchawi na utapeli wake vizuri.
Na mtaburuzwa sana ,maana mmeamua kuwa manyumbuSemeni yote..the guy is real
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mi nimefikampaka Dharamsala, si wa low art.
Na semina hizo nimeanza kwenda enzi za Moses Kulola mpaka Reinhard Bonnke.
Pengine kabla hujazaliwa wewe.
kajambe ukweniNi mjanja mjanja tu wa hapa mjini ana taasisi yake nje ya kanisa lake kwa ajiri ya kupiga hela
shabiki wa arsenal huyo anastress zakekajambe ukweni
Mwakasege kawa Mungu tena.....poor you! Mnaanza kuabudu watu. Nyie ndo siku mchungaji fulani akiwa hayupo church na nyie hamuendi..au mnamfuata km mkia popote anapoenda.Mungu akusamehe
Amen.Mungu adhihakiwi
Jenga hoja acha kupanik kisa huyo jamaa ,si bora mzee wa upako, anayekusanya hela hadharan,kajambe ukweni
Arsenal imeingiaje hapa? Hebu mtetee huyo mwakasege hapa,shabiki wa arsenal huyo anastress zake
Kati ya sisi au wew mmoja wetu ni nyumbu. Lakini nakukumbusha tu kwamba chizi hudhani yeye ni mzima alaf wengine wote ni machiziNa mtaburuzwa sana ,maana mmeamua kuwa manyumbu
Wewe ndio nyumbu nenda kapeleke sadaka kwa mwakasege aendelee kuendesha magari ,wewe endelea kutembea kwa miguuKati ya sisi au wew mmoja wetu ni nyumbu. Lakini nakukumbusha tu kwamba chizi hudhani yeye ni mzima alaf wengine wote ni machizi
Yaan hawa watu sijui huwa wanarogwa kwanza, hata waumini wa gwajima hivo hivo, wanamuona gwajima ni Mungu waoMwakasege kawa Mungu tena.....poor you! Mnaanza kuabudu watu. Nyie ndo siku mchungaji fulani akiwa hayupo church na nyie hamuendi..au mnamfuata km mkia popote anapoenda.
Wew unaabudu wapi mkuuYaan hawa watu sijui huwa wanarogwa kwanza, hata waumini wa gwajima hivo hivo, wanamuona gwajima ni Mungu wao