Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Arsenal imeingiaje hapa? Hebu mtetee huyo mwakasege hapa,

Sis tunamjua ni kanjanja
Ukiona mtu anaanza kupingana au kubishana kwa mambo ya imani ujuie huyo mtu hana akili kabsaaa. Mambo ya imani ni ktu cha mtu binafsi haina haja ya kwanza kulimbana kla mtu awe na imani anayoiamin na afuate anachokitaka.
 
Vitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,
 
Ohooo ushabadili gia angani,

Hebu tuendelee na mjadala wa huyu tapel mwakasege
Swali la kawaida tu hilo tunajaribu kudadavua kama na wew unaweza kuwa nyumbu unae wacheka nyumbu wenzio.

WEWE UNA ABUDU WAPI. kama unaona haya hata kuitangaza imani yako nadhani huu ndio unyumbu kuliko myumbu mwenyewe
 
Nakushangaaa umebadil gia angani, huu uzi sio wakuulizan naabudu wapi, sijawahi kuona haya , kwa ninachokiamini,ila sitaki unitoe nje ya mada husika

Naendelea wewe ni nyumbu wa mwakasege
 
Jenga hoja acha kupanik kisa huyo jamaa ,si bora mzee wa upako, anayekusanya hela hadharan,

Hizo semina ndio magenge yao ya kupiga hela, kwann anajitenga na KKKT, hizo semina anapata wafadhil kutoka ulaya, hata kina lowassa wamemfadhili sana, ndio ajira yake anawapiga porojo
kajitenga KKKT?
baki na udaku wako,yupo kanisani nj msharika wa Mbezi beach.

Amezaliwa huko na kanisa halikuwa na uamsho,kauleta,kaanza crusade na semina,kafundïsha kunena kwa lugha na roho mtakatifu,kwanini nyie wafia dini hamkuanzisha mkabaki na liturujia?
 
Vitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,
Kama unataka majadiliano chukua kitabu chako cha imani yako Soma ulimaliza ingia kwenye maombi au swala ongea na Mungu wako atakupa majibu yote syo mnaanza kubishana sjui Nani tapeli au nani mzuri. Anayemjua binaadamu alivyo Ni Mungu pekee hakuna mwanadamu anayejua moyo wa mwanadamu mwingine
 
Mwakasege ana kanisa lake ila yeye kawa mjanja zaidi akaita huduma ili kuvuta wote na kuepusha kuita ili asilete mgongano na makanisa makubwa. Huduma zake ndo kanisa lake. Siku hizi watumishi wamrkuwa wajanja hawaazishi kanisa ila huipa huduma yao jina huku ikifanya kazi ka za kanisa.
 
kajitenga KKKT?
baki na udaku wako,yupo kanisani nj msharika wa Mbezi beach.

Amezaliwa huko na kanisa halikuwa na uamsho,kauleta,kaanza crusade na semina,kafundïsha kunena kwa lugha na roho mtakatifu,kwanini nyie wafia dini hamkuanzisha mkabaki na liturujia?
Achana naye huyo kuna watu uwezo wao wa kufikiri unatia shaka wapo kama kuna kitu wamekalia. Hajui kama hata ibada ya kuaga mwili wa mwanaye juzi hapo imefanyika KKKT mbezi beach. Huwa sio wafuatiliaji bali ni hodari kwenye kuropoka
 
Nakushangaaa umebadil gia angani, huu uzi sio wakuulizan naabudu wapi, sijawahi kuona haya , kwa ninachokiamini,ila sitaki unitoe nje ya mada husika

Naendelea wewe ni nyumbu wa mwakasege
Mkuu usione haya swali rahisi tu

UNA ABUDU WAPI?
 
kajitenga KKKT?
baki na udaku wako,yupo kanisani nj msharika wa Mbezi beach.

Amezaliwa huko na kanisa halikuwa na uamsho,kauleta,kaanza crusade na semina,kafundïsha kunena kwa lugha na roho mtakatifu,kwanini nyie wafia dini hamkuanzisha mkabaki na liturujia?
Eti kafundisha kunena kwa lugha? Hivi unakujua kunena kwa lugha wewe? Hizo takataka za shikandoroborababashika kakaaaremenesonirlabsbhabsbbsbsbsb

Ndio kawadanganya kunena kwa lugha? Tunajua ni mluther, ila why, Anajitia kuanzisha semina nje ya kkkt? Unajua mwenzio anafadhiliwa na kina nani?
 
Ni mjanja mjanja tu wa hapa mjini ana taasisi yake nje ya kanisa lake kwa ajiri ya kupiga hela
I agree with you bora makanisa yanayoeleweka watu wanaangalia masilahi
 
Vitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,
Kama Ni suala la majadiliano Ni kwa maneno mazuri syo sjui utapeli ,Mara mwingine anaitwa nyumbu . Mungu hataki majadiliano ya kudharauliana Wala kukebeiana anataka mjadili kuhusu yeye .
 
Ndiyo maana nilimuuliza yeye anaabudu wapi penginr anakoabudu wanaamini hvyo
 
Halafu nawakumbusha tu mambo ya Mungu haiitaji ushabiki maana Mungu ni mmoja tu hvyo Ni suala la kuelimishana syo kushabikia
 
Achana naye huyo kuna watu uwezo wao wa kufikiri unatia shaka wapo kama kuna kitu wamekalia. Hajui kama hata ibada ya kuaga mwili wa mwanaye juzi hapo imefanyika KKKT mbezi beach. Huwa sio wafuatiliaji bali ni hodari kwenye kuropoka
Umeelewa lakin au mnakurupuka? Kwann amejianzishia semina nje ya KKKT?
 
Halafu nawakumbusha tu mambo ya Mungu haiitaji ushabiki maana Mungu ni mmoja tu hvyo Ni suala la kuelimishana syo kushabikia
Wewe kuna miungu mingi,,, ndio maana kuna manabii wengi hapa dar wengine mtaa mmoja lkn wanapingana mafundisho
 
Back
Top Bottom