Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kuwa mpole uelekezwe ,hasira za nnKuibiwa tuibiwe sisi wewe unawashwa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mpole uelekezwe ,hasira za nnKuibiwa tuibiwe sisi wewe unawashwa nini
Safi kabsaaa mkuu waache hao went akili ndogo waendelee kudanganya . Ndo maana nkasema ukiona mtu anasema yeye Ni Bora kulko wengine katika mambo ya Mungu ujue hapo Kuna shda sanaMtumishi halisi wa Mungu huwa hajitapi, hajisifu, wala kusema wengine vibaya.
Mtumishi halisi wa Mungu ni mnyenyekevu siku zote.
Mwalimu Mwakasege ni mtumishi halisi wa Mungu kwa wakati huu.
Hujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.Huyu si ndiye yule tapeli aliyesema Haiti wamepata maafa kwa sababu ya uchawi?
Na yeye tapeli mchawi tu.
Wapi nimesema nikitaka wawe maskini, hiv unaelewa lkn ninachozungumza ?Ndo maana nkakuambia unaakili ndogo Sana kwa hyo wewe ulitaka mtumishi awe masikini ndo uamini ni mtumishi wa Mungu?
Acha kuita watu matapeli je wewe ni msafi kumzidi Mwakasege? Ndugu bora kukaaa kimya kuliko kuropoka, usiusemee moyo wa mtu please kaa kimya kama humjui Mwakasege VizuriOhooo ushabadili gia angani,
Hebu tuendelee na mjadala wa huyu tapel mwakasege
Umeshapotea hivo huwez kujua kuwa umepotea, hakuna Mungu anayemuhubiri mwakasege,Na pia mm hakuna mtu anweza nidanganya maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu
Unavyosema wajasiriamli unamaanisha Nini? Naona hujui hata unachosemaWapi nimesema nikitaka wawe maskini, hiv unaelewa lkn ninachozungumza ?
Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapiMtumishi halisi wa Mungu huwa hajitapi, hajisifu, wala kusema wengine vibaya.
Mtumishi halisi wa Mungu ni mnyenyekevu siku zote.
Mwalimu Mwakasege ni mtumishi halisi wa Mungu kwa wakati huu.
Ndo maana nkakuambia ulitaka wawe masikini maana wewe umesema ni wajasiriamali. Je unajua nini maana ya ujasiria Mali au umeandika tu kwakuwa ni neno unalolisikiagaUnavyosema wajasiriamli unamaanisha Nini? Naona hujui hata unachosema
Nipe tofaut yake na wengineHujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.
Hata hivyo jarib kuhudhuria semina zake utagundua huyu nintofauti na watumiahi wengine.
sijuhNi nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Nasikia ni Mhubiri,
je kanisa lake liko wapi?
Ujasiriamali wao ,ni kutumia kivuli cha diniNdo maana nkakuambia ulitaka wawe masikini maana wewe umesema ni wajasiriamali. Je unajua nini maana ya ujasiria Mali au umeandika tu kwakuwa ni neno unalolisikiaga
Dah Kuna watu Ni viazi Tena macherema kabsaaa yaani nakuelekeza hata huelewi unabaki kubishana tu. Nimekuambia mm sipotezwi na mtu maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu . Bado hujanielewa tuUmeshapotea hivo huwez kujua kuwa umepotea, hakuna Mungu anayemuhubiri mwakasege,
Ndio maana hamuwez kutofautisha Mungu wa kweli na huyo anayehubiriwa na kina mwingira,mzee wa upako, mwakasege
Mnaona wote sawa tu,
Mpaka hapo hujajua tu, inaonesha kiasi gan mnaburuzwaUnavyosema wajasiriamli unamaanisha Nini? Naona hujui hata unachosema
Yaani hujui hata unachosema nione hayo maji mwakasege anayouza 50000 maana unaona Kama nimjuaji wakati tunaojua tumetulia tuUjasiriamali wao ,ni kutumia kivuli cha dini
Ndio maana mnauziwa maji ya masafi ya 500 kwa 50000 mnaambiwa yana UPAKO
Umeshamkana mara hii mwakasege tena ? Kwahiyo humfati Mungu wa mwakasege?Dah Kuna watu Ni viazi Tena macherema kabsaaa yaani nakuelekeza hata huelewi unabaki kubishana tu. Nimekuambia mm sipotezwi na mtu maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu . Bado hujanielewa tu
Dah kweli wewe kwenye mambo ya imani Ni totally empty. Nyamaza maana hujui ktu kabsaaa halafu hujui Kama hujuiMpaka hapo hujajua tu, inaonesha kiasi gan mnaburuzwa
Ndio nyie mnaouziwa chumvi mnaambiwa ina UPAKO?
Nime generalize kwa wote, maana kila mmoja ana njia zake za kuwadaka apate HELA, nimekwambia mwakasege kama kweli ana hubir injili lazima turud kwenye BIBLE, je anafata kama yesu alivyoagiza?Yaani hujui hata unachosema nione hayo maji mwakasege anayouza 50000 maana unaona Kama nimjuaji wakati tunaojua tumetulia tu
Dah jamaa unaakili fupi wewe. Mungu ni mmoja na Ni was wote hakuna Mungu wa mtu mmoja labda miunguUmeshamkana mara hii mwakasege tena ? Kwahiyo humfati Mungu wa mwakasege?
Je hoja ,mimi nazijua imani nje ndan,Dah kweli wewe kwenye mambo ya imani Ni totally empty. Nyamaza maana hujui ktu kabsaaa halafu hujui Kama hujui