Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Kwani wewe unaye mfuata Ellen G. White ni Mungu ?
Mbona vitabu vyake mnavisoma na kuvigawa kuliko Biblia ?
Uliza maswal yenye akili, mimi simfat Egw, Hata yeye alilikataa hilo, hakuna sehemu kasema tumfate, hata Musa,eliya siwafati ila naamini ujumbe waliopewa ,na unaupima kwa kutumia BIBLIA

HUYU MWAKASEGE tunampima kwa biblia anapwaya,
 
Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapi

Ila twajua ni wajasiriamali
Andiko lako halina mantiki, sentensi ya ujumla, "wote" "sote" haina mashiko kisarufi.
Inamaana hata wachungaji wa Kisabato wanaoishi Mbeya na Daresalaam ni wajasiliamali tu nao ?
Sema badhi yao.
 
Uliza maswal yenye akili, mimi simfat Egw, Hata yeye alilikataa hilo, hakuna sehemu kasema tumfate, hata Musa,eliya siwafati ila naamini ujumbe waliopewa ,na unaupima kwa kutumia BIBLIA

HUYU MWAKASEGE tunampima kwa biblia anapwaya,
Mlete hapa Mtumishi wako unayemwona yupo sahihi tumlinganishe na Mwalimu Mwakasege.
Unapoyaja kitu dhaifu tuoneshe kilicho sahihi.
 
Andiko lako halina mantiki, sentensi ya ujumla, "wote" "sote" haina mashiko kisarufi.
Inamaana hata wachungaji wa Kisabato wanaoishi Mbeya na Daresalaam ni wajasiliamali tu nao ?
Sema badhi yao.
Mimi sina shida na wachungaji ndio maana unaona sijawataja, tena huwa najadiliana nao sana, maana mchungaji huwa kwanza ni tofaut na hawa waliojianzishia hizi logde ili wapige hela

Mfano mzee wa upako yule sio mchungaji, ni mjanja mjanja tu

Tuelewane hapo
 
Ila wewe jamaa unanifurahisha ujue, hivi kuhoji uhalali wa hawa watu wanaofanya mambo kwa kivuli cha watumish wa Mungu ,ni kukwazwa?

Sijahoji ukamilifu wake maana hata manabii wa kale kina musa,eliya hawakuwa wakamilifu ila huduma zao zilikuwa za kweli ,

Huyu mwakasege nimehoji uhalali wa huduma yake, je anafanya kwa kutumwa na kuwasaidia watu wamuone YESU au anafanya kwa maslahi yake?

Maana mimi nahoji ,sio mwakasege tu, hata kanisan kwangu nahoji na nishakosana sana na wachungaji,
Tatizo lako unahoji vibaya,
Unahoji kwa kukosoa bila kusema tatizo lake.
Sema Mwakasege anakosea hapa na pale.
Hajaji yako ni ya akili ndogo.
 
Mlete hapa Mtumishi wako unayemwona yupo sahihi tumlinganishe na Mwalimu Mwakasege.
Unapoyaja kitu dhaifu tuoneshe kilicho sahihi.
Ukisema nimlete aliye sahihi nakuletea Nabii Isaya huyu alitumwa na MUNGU haya twende kazi

Nabii isaya Alikuwa hali Nguruwe , na akasema Siku ya Mwisho Mungu atakuja KUTOA KIPIGO KWA WALA NGURUWE

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

LAKINI HUYU MWAKASEGE NI MLA NGURYWE MZURI SANA, JE ANAHUBIRI INJILI YA MUNGU GANI ?

MAANA MUNGU MWENYEWE AMESEMA OLE OLE KWA WALA KITIMOTO...

TENA AMESEMA .....NI SIKU YA KIYAMA...
 
Mimi sina shida na wachungaji ndio maana unaona sijawataja, tena huwa najadiliana nao sana, maana mchungaji huwa kwanza ni tofaut na hawa waliojianzishia hizi logde ili wapige hela

Mfano mzee wa upako yule sio mchungaji, ni mjanja mjanja tu

Tuelewane hapo
Mada inamjadili Mwalimu Mwakasege wewe Mzee wa Upako unamtoa wapi ?
Wewe sio mhojaji ni mpotoshaji mada.
Anzisha mada ya Mzee wa upako au huyo mwingine unaye mtaja, unaonekana una nia mbaya.
 
Tatizo lako unahoji vibaya,
Unahoji kwa kukosoa bila kusema tatizo lake.
Sema Mwakasege anakosea hapa na pale.
Hajaji yako ni ya akili ndogo.
Hebu tulia tujadili taratibu tuliza mihemko

Mimi nimehoji

Mwakasege tunaambiwa anatangaza injiri, OK je anafanya kama Yesu alivyoagiza ,? Wakipewa injili wakaamini wabatizwe ,je anawabatiza kama agizo la YESU? nimeambiwa sio mchungaji,ok anawapeleka wapi wanaoamini UKWELI NA KUACHANA NA DHAMBI?

LASIVYO HIZO SEMINA NI KICHAKA CHAKE KAMA KINA MZEE WA UPAKO,NABII MWINGIRA
 
Mada inamjadili Mwalimu Mwakasege wewe Mzee wa Upako unamtoa wapi ?
Wewe sio mhojaji ni mpotoshaji mada.
Anzisha mada ya Mzee wa upako au huyo mwingine unaye mtaja, unaonekana una nia mbaya.
Kuwa muelewa sitoki nje ya mada, hao nawataja kama mifano tu,nimekwambia tuliza jazba

Mimi nipo hapa tujadiliane
 
Ukisema nimlete aliye sahihi nakuletea Nabii Isaya huyu alitumwa na MUNGU haya twende kazi

Nabii isaya Alikuwa hali Nguruwe , na akasema Siku ya Mwisho Mungu atakuja KUTOA KIPIGO KWA WALA NGURUWE

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

LAKINI HUYU MWAKASEGE NI MLA NGURYWE MZURI SANA, JE ANAHUBIRI INJILI YA MUNGU GANI ?

MAANA MUNGU MWENYEWE AMESEMA OLE OLE KWA WALA KITIMOTO...

TENA AMESEMA .....NI SIKU YA KIYAMA...
Mkuu ww umemkuta wapi akila nguruwe? Tupe na evidence kabisa
 
Kuwa muelewa sitoki nje ya mada, hao nawataja kama mifano tu,nimekwambia tuliza jazba

Mimi nipo hapa tujadiliane
Sisi tunamjadili Mwalimu Mwakasege.
Hao wengine ni wako wewe.
Mwalimu Mwakasege hatolewi mfano na mtu yeyote mwingine, Mwakasege ni Mwakasege.
 
Mkuu ww umemkuta wapi akila nguruwe? Tupe na evidence kabisa
Ohoo kwahiyo unataka kusema hali?

Huyu ni muumini wa KKKT mbez, na kkkt inaruhusu kula nguruwe, panya,mbwa ,kenge, na haramu wote,

Sasa niambie yeye hali?
 
Sisi tunamjadili Mwalimu Mwakasege.
Hao wengine ni wako wewe.
Mwalimu Mwakasege hatolewi mfano na mtu yeyote mwingine, Mwakasege ni Mwakasege.
Namtolea mfano na hao maana hana tofauti, kama kunena zile lugha za

shagarabagalasomenenekalumekenge

Hata manabii waliojaa dar ,na mzee wa upako wanazinena,

Naweza kukwambia toa tofauti zao usipate hata 1

Kwahiyo usinizuie kutoa mfano
 
Sawa endelea kutoa mchango wako unavyojisikia.
 
Ohoo kwahiyo unataka kusema hali?

Huyu ni muumini wa KKKT mbez, na kkkt inaruhusu kula nguruwe, panya,mbwa ,kenge, na haramu wote,

Sasa niambie yeye hali?
Nimekuuliza swali umeongea maneno mengine, hilo unalosema kkt inaruhusu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato umelitoa wapi. Acha kubwabwaja maneno.. Ongea kwa evidence. Nipe evidence ya Mwakasege kula ngurue na unipe evidence ya kkt kuhubiria watu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato.. Narudia tena, usibwabwaje maneno, ongea kwa fact ndio ntaweza kuongea na ww
 
Unataka fact gani wewe inaonesha ni mfata mkumbo,

Fact nimekupa tena short and clear,

Unasema kkkt hawaruhusu kula haramu, wewe unapingana na KKKT?
 
Back
Top Bottom