Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mwenzio anasema mna chuk na mwakasege ,Mbona umecheka
Kumbe ukweli mchungu kwao ni chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio anasema mna chuk na mwakasege ,Mbona umecheka
Tatizo hawataki kufikiria nje ya box hzo semina ndo anakopigia hela mana ni mradi wake bado cjui vtabu, hawa wahuduma zisizo za kitaasisi ni wapigaji tu kwa kutumia neno la Mungu. Hafu sikuhizi wako wengi na ndo matatizo ya watu wanazidi, wafundishe neno la Mungu sio kusisitiza sadaka na miujiza miujiza.Mwenzio anasema mna chuk na mwakasege ,
Kumbe ukweli mchungu kwao ni chuki
Ww jamaa ni mbwabwaja maneno tu. Huna lolote zaidi ya huo mdomo unaoongelea. Ngoja nikuache maana unaongea kilichopo akilini mwakoUnataka fact gani wewe inaonesha ni mfata mkumbo,
Fact nimekupa tena short and clear,
Unasema kkkt hawaruhusu kula haramu, wewe unapingana na KKKT?
Tofauti ya wanaojiita watumishi wa sasa ambao wanajisifu, topic zao kubwa ni kuponya watu na kuwaombea watu watajirike. Na wengine maarufu imefikia mahali wanatajirika na sadaka za waumini huku waumini wakiwa hawapati chochote.Nipe tofaut yake na wengine
Kwanza naomba nisaidie je anafata maagizo ya Yesu ? Kuhubiri injili na kuwabatiza ? Tuanzie hapo
Wana mstari wao pendwa MALAKI 3:8-11Tatizo hawataki kufikiria nje ya box hzo semina ndo anakopigia hela mana ni mradi wake bado cjui vtabu, hawa wahuduma zisizo za kitaasisi ni wapigaji tu kwa kutumia neno la Mungu. Hafu sikuhizi wako wengi na ndo matatizo ya watu wanazidi, wafundishe neno la Mungu sio kusisitiza sadaka na miujiza miujiza.
Hapana wewe naona umeliona neno shagalabagala ni dhambi usiyosamehewa.Hapana mkuu tujadiliane tu, ujue haya mambo ni kuwekana sawa,
Bora wewe umemuelezea vzrTofauti ya wanaojiita watumishi wa sasa ambao wanajisifu, topic zao kubwa ni kuponya watu na kuwaombea watu watajirike. Na wengine maarufu imefikia mahali wanatajirika na sadaka za waumini huku waumini wakiwa hawapati chochote.
Mwakasege ni mwalimu. Mwalimu kivip? Anafafanua neno la bwana, ili watu wapate kulielewa. Yeye hajitambi, hana kanisa, sadaka za kawaida sana maana ana kazi yake mbali na huduma.
Pia badala ya kuonyesha utajir na majivuno amekuwa mtu wa kawaida sana. Yeye hufanya ni mtiikwa serikali. Si mropokaji..
Ukihudhuria semina yake.unatoka na kitu kichwani.
Ni muumini wa KKKT , ni mlutheri anayehubiri kwenye semina/mikutano mbalimbali ya kiinjiliNi nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Nasikia ni Mhubiri,
je kanisa lake liko wapi?
Hiv unaweza kuniambia hizi lugha tunazoambiwa WANANENA KWA lugha ,uliwahi kuziona kwenye biblia?Hapana wewe naona umeliona neno shagalabagala ni dhambi usiyosamehewa.
Na Mwakasege ni mkamilifu hakupaswa kuitenda hiyo dhambi.
Umekumbuka kuwa Yesu alikataza sama kutamka neno Shagalabagalaa.
Anakusanya sadaka hakusanyi?Ni muumini wa KKKT , ni mlutheri anayehubiri kwenye semina/mikutano mbalimbali ya kiinjili
Mkuu mwakasege ana kanisa ndani ya KKKT ni kanjanja Hilo halina ubishi anawapigaTumeambiwa tuzipime hizo roho,Siku hizi Roma wana michango kuliko kanisa lolote,na usipo changa wanakwambia ukifa hawakuziki wala kukuombea maana wana amini ukiombea maiti inakwenda Mbinguni
Kwahiyo neno shagalabagalala ndio kunena kwa Lugha ?Hiv unaweza kuniambia hizi lugha tunazoambiwa WANANENA KWA lugha ,uliwahi kuziona kwenye biblia?
Kumbuka hizo lugha manabii wote tz wanazizungumza ,
Kumbuka Ulokole umeanzia kwenye jiji la kansas city marekani mji ambao Ndipo ulipoanzia Mziki wa rap(kufokafoka) .
Basi niambie zile lugha tunazoambiwa ni kunena kwa lugha , Wanazitoa wapi kina mwakasege?Kwahiyo neno shagalabagalala ndio kunena kwa Lugha ?
Inamaana hapo mimi nimenena kwa Lugha ?
Umesoma Lugha kidogo ukaelewa maana ya neno " kihisishi "
Ngoja nikusaidie kidogo.
Vihisishi ni aina ya maneno yenye nia ya kuonesha hisia ya mtu kwa sauti.
Maneno, Hureee...! Woyoo...! Haleluya...! Ohooo...! Dadadeki...!
Randashabalalalala...! nk.
Ni Vihisishi.
Katika kila tukio kuna aina yake ya vihisishi hutamkwa ili kuonesha kunogewa na jambo husika.
Hayo maneno unayoyasikia ni mojawapo ya vihisishi vya lugha na vinakubaliwa kisarufi.
Wewe aliyekuambia kihisishi ni kunena kwa lugha ni nani ?
Mwakasege hana tofauti na kina mzee wa Upako, kakobe, gwajima, ila yeye Katumia another TRICKTofauti ya wanaojiita watumishi wa sasa ambao wanajisifu, topic zao kubwa ni kuponya watu na kuwaombea watu watajirike. Na wengine maarufu imefikia mahali wanatajirika na sadaka za waumini huku waumini wakiwa hawapati chochote.
Mwakasege ni mwalimu. Mwalimu kivip? Anafafanua neno la bwana, ili watu wapate kulielewa. Yeye hajitambi, hana kanisa, sadaka za kawaida sana maana ana kazi yake mbali na huduma.
Pia badala ya kuonyesha utajir na majivuno amekuwa mtu wa kawaida sana. Yeye hufanya ni mtiikwa serikali. Si mropokaji..
Ukihudhuria semina yake.unatoka na kitu kichwani.
Unaweza kubishana na vitoto hapa havimjui hata Moses Kulola wala Reinhard Bonnke.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna sehemu alisema Haiti walipata maafa sababu ya uchawi wewe ni mke wake unayelalanaye kitandanikila siku?Hujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.
Hata hivyo jarib kuhudhuria semina zake utagundua huyu nintofauti na watumiahi wengine.
Bila kusahau Sadaka kama zote...Mwakasege ana kanisa lake ila yeye kawa mjanja zaidi akaita huduma ili kuvuta wote na kuepusha kuita ili asilete mgongano na makanisa makubwa. Huduma zake ndo kanisa lake. Siku hizi watumishi wamrkuwa wajanja hawaazishi kanisa ila huipa huduma yao jina huku ikifanya kazi ka za kanisa.
Kabisa yani lohBila kusahau Sadaka kama zote...