Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Mi nimefikampaka Dharamsala, si wa low art.

Na semina hizo nimeanza kwenda enzi za Moses Kulola mpaka Reinhard Bonnke.

Pengine kabla hujazaliwa wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kajambe ukweni
Jenga hoja acha kupanik kisa huyo jamaa ,si bora mzee wa upako, anayekusanya hela hadharan,

Hizo semina ndio magenge yao ya kupiga hela, kwann anajitenga na KKKT, hizo semina anapata wafadhil kutoka ulaya, hata kina lowassa wamemfadhili sana, ndio ajira yake anawapiga porojo
 
Kati ya sisi au wew mmoja wetu ni nyumbu. Lakini nakukumbusha tu kwamba chizi hudhani yeye ni mzima alaf wengine wote ni machizi
Wewe ndio nyumbu nenda kapeleke sadaka kwa mwakasege aendelee kuendesha magari ,wewe endelea kutembea kwa miguu
 
Mwakasege kawa Mungu tena.....poor you! Mnaanza kuabudu watu. Nyie ndo siku mchungaji fulani akiwa hayupo church na nyie hamuendi..au mnamfuata km mkia popote anapoenda.
Yaan hawa watu sijui huwa wanarogwa kwanza, hata waumini wa gwajima hivo hivo, wanamuona gwajima ni Mungu wao
 
Back
Top Bottom