Ukiona mtu anaanza kupingana au kubishana kwa mambo ya imani ujuie huyo mtu hana akili kabsaaa. Mambo ya imani ni ktu cha mtu binafsi haina haja ya kwanza kulimbana kla mtu awe na imani anayoiamin na afuate anachokitaka.Arsenal imeingiaje hapa? Hebu mtetee huyo mwakasege hapa,
Sis tunamjua ni kanjanja
Ohooo ushabadili gia angani,Wew unaabudu wapi mkuu
Vitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,Ukiona mtu anaanza kupingana au kubishana kwa mambo ya imani ujuie huyo mtu hana akili kabsaaa. Mambo ya imani ni ktu cha mtu binafsi haina haja ya kwanza kulimbana kla mtu awe na imani anayoiamin na afuate anachokitaka.
Swali la kawaida tu hilo tunajaribu kudadavua kama na wew unaweza kuwa nyumbu unae wacheka nyumbu wenzio.Ohooo ushabadili gia angani,
Hebu tuendelee na mjadala wa huyu tapel mwakasege
Nakushangaaa umebadil gia angani, huu uzi sio wakuulizan naabudu wapi, sijawahi kuona haya , kwa ninachokiamini,ila sitaki unitoe nje ya mada husikaSwali la kawaida tu hilo tunajaribu kudadavua kama na wew unaweza kuwa nyumbu unae wacheka nyumbu wenzio.
WEWE UNA ABUDU WAPI. kama unaona haya hata kuitangaza imani yako nadhani huu ndio unyumbu kuliko myumbu mwenyewe
kajitenga KKKT?Jenga hoja acha kupanik kisa huyo jamaa ,si bora mzee wa upako, anayekusanya hela hadharan,
Hizo semina ndio magenge yao ya kupiga hela, kwann anajitenga na KKKT, hizo semina anapata wafadhil kutoka ulaya, hata kina lowassa wamemfadhili sana, ndio ajira yake anawapiga porojo
Kama unataka majadiliano chukua kitabu chako cha imani yako Soma ulimaliza ingia kwenye maombi au swala ongea na Mungu wako atakupa majibu yote syo mnaanza kubishana sjui Nani tapeli au nani mzuri. Anayemjua binaadamu alivyo Ni Mungu pekee hakuna mwanadamu anayejua moyo wa mwanadamu mwingineVitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,
Achana naye huyo kuna watu uwezo wao wa kufikiri unatia shaka wapo kama kuna kitu wamekalia. Hajui kama hata ibada ya kuaga mwili wa mwanaye juzi hapo imefanyika KKKT mbezi beach. Huwa sio wafuatiliaji bali ni hodari kwenye kuropokakajitenga KKKT?
baki na udaku wako,yupo kanisani nj msharika wa Mbezi beach.
Amezaliwa huko na kanisa halikuwa na uamsho,kauleta,kaanza crusade na semina,kafundïsha kunena kwa lugha na roho mtakatifu,kwanini nyie wafia dini hamkuanzisha mkabaki na liturujia?
Mkuu usione haya swali rahisi tuNakushangaaa umebadil gia angani, huu uzi sio wakuulizan naabudu wapi, sijawahi kuona haya , kwa ninachokiamini,ila sitaki unitoe nje ya mada husika
Naendelea wewe ni nyumbu wa mwakasege
Eti kafundisha kunena kwa lugha? Hivi unakujua kunena kwa lugha wewe? Hizo takataka za shikandoroborababashika kakaaaremenesonirlabsbhabsbbsbsbsbkajitenga KKKT?
baki na udaku wako,yupo kanisani nj msharika wa Mbezi beach.
Amezaliwa huko na kanisa halikuwa na uamsho,kauleta,kaanza crusade na semina,kafundïsha kunena kwa lugha na roho mtakatifu,kwanini nyie wafia dini hamkuanzisha mkabaki na liturujia?
I agree with you bora makanisa yanayoeleweka watu wanaangalia masilahiNi mjanja mjanja tu wa hapa mjini ana taasisi yake nje ya kanisa lake kwa ajiri ya kupiga hela
Kama Ni suala la majadiliano Ni kwa maneno mazuri syo sjui utapeli ,Mara mwingine anaitwa nyumbu . Mungu hataki majadiliano ya kudharauliana Wala kukebeiana anataka mjadili kuhusu yeye .Vitabu hivyo vya imani vinaruhusu majadiliano, kwahiyo usiwanyime watu fursa ya kuchunguza ,
Hahahaa sio mada husika, anzisha uzi uliza kuhusu kuabudu mimi utajibiwa,Mkuu usione haya swali rahisi tu
UNA ABUDU WAPI?
Ndiyo maana nilimuuliza yeye anaabudu wapi penginr anakoabudu wanaamini hvyoKama Ni suala la majadiliano Ni kwa maneno mazuri syo sjui utapeli ,Mara mwingine anaitwa nyumbu . Mungu hataki majadiliano ya kudharauliana Wala kukebeiana anataka mjadili kuhusu yeye .
Hata kipindi cha Yesu shetani walikuwepo siwezi kukushangaa ndugu.Kwahiyo mwakasege mjanja mjanja ni Mungu? Hiv nani kawaroga nyie
Umeelewa lakin au mnakurupuka? Kwann amejianzishia semina nje ya KKKT?Achana naye huyo kuna watu uwezo wao wa kufikiri unatia shaka wapo kama kuna kitu wamekalia. Hajui kama hata ibada ya kuaga mwili wa mwanaye juzi hapo imefanyika KKKT mbezi beach. Huwa sio wafuatiliaji bali ni hodari kwenye kuropoka
Naweza nikashawishika kujiunga nawe huko ambako hakuna kanjanjaHahahaa sio mada husika, anzisha uzi uliza kuhusu kuabudu mimi utajibiwa,
Uzi hapa ni kuhusu kanjanja mwakasege
Wewe kuna miungu mingi,,, ndio maana kuna manabii wengi hapa dar wengine mtaa mmoja lkn wanapingana mafundishoHalafu nawakumbusha tu mambo ya Mungu haiitaji ushabiki maana Mungu ni mmoja tu hvyo Ni suala la kuelimishana syo kushabikia