Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Mwenzio anasema mna chuk na mwakasege ,

Kumbe ukweli mchungu kwao ni chuki
Tatizo hawataki kufikiria nje ya box hzo semina ndo anakopigia hela mana ni mradi wake bado cjui vtabu, hawa wahuduma zisizo za kitaasisi ni wapigaji tu kwa kutumia neno la Mungu. Hafu sikuhizi wako wengi na ndo matatizo ya watu wanazidi, wafundishe neno la Mungu sio kusisitiza sadaka na miujiza miujiza.
 
Unataka fact gani wewe inaonesha ni mfata mkumbo,

Fact nimekupa tena short and clear,

Unasema kkkt hawaruhusu kula haramu, wewe unapingana na KKKT?
Ww jamaa ni mbwabwaja maneno tu. Huna lolote zaidi ya huo mdomo unaoongelea. Ngoja nikuache maana unaongea kilichopo akilini mwako
 
Nipe tofaut yake na wengine

Kwanza naomba nisaidie je anafata maagizo ya Yesu ? Kuhubiri injili na kuwabatiza ? Tuanzie hapo
Tofauti ya wanaojiita watumishi wa sasa ambao wanajisifu, topic zao kubwa ni kuponya watu na kuwaombea watu watajirike. Na wengine maarufu imefikia mahali wanatajirika na sadaka za waumini huku waumini wakiwa hawapati chochote.

Mwakasege ni mwalimu. Mwalimu kivip? Anafafanua neno la bwana, ili watu wapate kulielewa. Yeye hajitambi, hana kanisa, sadaka za kawaida sana maana ana kazi yake mbali na huduma.
Pia badala ya kuonyesha utajir na majivuno amekuwa mtu wa kawaida sana. Yeye hufanya ni mtiikwa serikali. Si mropokaji..

Ukihudhuria semina yake.unatoka na kitu kichwani.
 
Wana mstari wao pendwa MALAKI 3:8-11

NAWAAMBIA HIZO SEMINA NDIO KICHAKA CHAKE CHA KUPATIA SADAKA NA MICHANGO, wanasema ohoo ni mnyenyekevu , ni mtu wa watu, sasa walitaka awe mkali ,atapataje hela
 
Hapana mkuu tujadiliane tu, ujue haya mambo ni kuwekana sawa,
Hapana wewe naona umeliona neno shagalabagala ni dhambi usiyosamehewa.
Na Mwakasege ni mkamilifu hakupaswa kuitenda hiyo dhambi.
Umekumbuka kuwa Yesu alikataza sama kutamka neno Shagalabagalaa.
 
Bora wewe umemuelezea vzr

Ila tunarudi pale pale , lengo la hizo semina pia na kupata sadaka full stop
 
Hapana wewe naona umeliona neno shagalabagala ni dhambi usiyosamehewa.
Na Mwakasege ni mkamilifu hakupaswa kuitenda hiyo dhambi.
Umekumbuka kuwa Yesu alikataza sama kutamka neno Shagalabagalaa.
Hiv unaweza kuniambia hizi lugha tunazoambiwa WANANENA KWA lugha ,uliwahi kuziona kwenye biblia?

Kumbuka hizo lugha manabii wote tz wanazizungumza ,

Kumbuka Ulokole umeanzia kwenye jiji la kansas city marekani mji ambao Ndipo ulipoanzia Mziki wa rap(kufokafoka) .
 
Tumeambiwa tuzipime hizo roho,Siku hizi Roma wana michango kuliko kanisa lolote,na usipo changa wanakwambia ukifa hawakuziki wala kukuombea maana wana amini ukiombea maiti inakwenda Mbinguni
Mkuu mwakasege ana kanisa ndani ya KKKT ni kanjanja Hilo halina ubishi anawapiga
 
Kwahiyo neno shagalabagalala ndio kunena kwa Lugha ?
Inamaana hapo mimi nimenena kwa Lugha ?
Umesoma Lugha kidogo ukaelewa maana ya neno " kihisishi "
Ngoja nikusaidie kidogo.
Vihisishi ni aina ya maneno yenye nia ya kuonesha hisia ya mtu kwa sauti.
Maneno, Hureee...! Woyoo...! Haleluya...! Ohooo...! Dadadeki...!
Randashabalalalala...! nk.
Ni Vihisishi.
Katika kila tukio kuna aina yake ya vihisishi hutamkwa ili kuonesha kunogewa na jambo husika.
Hayo maneno unayoyasikia ni mojawapo ya vihisishi vya lugha na vinakubaliwa kisarufi.
Wewe aliyekuambia kihisishi ni kunena kwa lugha ni nani ?
 
Basi niambie zile lugha tunazoambiwa ni kunena kwa lugha , Wanazitoa wapi kina mwakasege?
 
Mwakasege hana tofauti na kina mzee wa Upako, kakobe, gwajima, ila yeye Katumia anther TRICK

Analo "dhehebu" la kijanjajanja...ana akili sana. Sadaka anakusanya, mafungu ya kumi anakusanya, utasemaje kuwa hana dhehebu lake binafsi? Semina zake ndio ibada zake, amecheza na akili tu ili asigombane na Lutheran lakini analo kanisa lake linaitwa Mana Ministry!
 
Mwakasege hana tofauti na kina mzee wa Upako, kakobe, gwajima, ila yeye Katumia another TRICK

Analo "dhehebu" la kijanjajanja...ana akili sana. Sadaka anakusanya, mafungu ya kumi anakusanya, utasemaje kuwa hana dhehebu lake binafsi? Semina zake ndio ibada zake, amecheza na akili tu ili asigombane na Lutheran lakini analo kanisa lake linaitwa Mana Ministry!
 
Naona kuna swali halijajibiwa hapa, kanisa Lake ni lipi na lipo wapi hapa tz? [emoji190]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaweza kubishana na vitoto hapa havimjui hata Moses Kulola wala Reinhard Bonnke.
 
Hujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.
Hata hivyo jarib kuhudhuria semina zake utagundua huyu nintofauti na watumiahi wengine.
Hakuna sehemu alisema Haiti walipata maafa sababu ya uchawi wewe ni mke wake unayelalanaye kitandanikila siku?

Hata huyo mke wake hajui maneno yote anayosema mmewe.

Wewe ni mpambe wa ian gani mpaka ujue hilo?

Unajua kufikiri wewe?
 
Bila kusahau Sadaka kama zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…