naomba kuuliza swali, ni nani alishahudhuria semina akalazimishwa kutoa sadaka? na je hizo spika na umemeo jumlisha viti mnavyokalia mnategemea vinalipiwa kwa pesa kutoka wapiBora wewe umemuelezea vzr
Ila tunarudi pale pale , lengo la hizo semina pia na kupata sadaka full stop
Ni mnyenyekevu ili awapate vzuri hafu yaye mahubiri yake mengi ni kutoa fungu la kumi, panda mbegu, na hzo sadaka watu wanazitoa si mchezo. Watu wanatumia dini kujitajirisha hafu sijawahi ona hzo sadaka wakisaidia yatima na wenye uhitajiWana mstari wao pendwa MALAKI 3:8-11
NAWAAMBIA HIZO SEMINA NDIO KICHAKA CHAKE CHA KUPATIA SADAKA NA MICHANGO, wanasema ohoo ni mnyenyekevu , ni mtu wa watu, sasa walitaka awe mkali ,atapataje hela
Hakuna sehemu alisema Haiti walipata maafa sababu ya uchawi wewe ni mke wake unayelalanaye kitandanikila siku?
Hata huyo mke wake hajui maneno yote anayosema mmewe.
Wewe ni mpambe wa ian gani mpaka ujue hilo?
Unajua kufikiri wewe?
Wapi nimekutukana na nimekutukana kivipi?Kiranga tafadhali tuheshimiane. Usianze kunotukana mm. Kama unapinga pinga hoja yangu kw akutumia hoja. Masuala ya kunitukana si mazuri.. tuheshimiane
Wapi nimekutukana na nimekutukana kivipi?
Mimi kukuambiaukweli ninaouona ni heshima kubwa kwako.
Ningekudharau ningekuambia uongo tofauti na ninavyofikiria,huku nakudharau, hilo lingekuwa tusi kubwa sana kwako, ambalo hata usingelijua kwamba nakutukana.
Basi utakuwa umejitukana mwenyewe kwa kumsemeamwanamme mwenzako kama mwanamke wake.Umenitukana sababu kwanza mm si mwanamke. Ni mtu mwanaume na maisha yangu safi tu. Sina uhusiano wowote ule na mwakasege.
So unapoishi kuniita mke wake wkt hata jinsia yangu huifahamu ..utakuwa unakosea sana. Sijakutukuna ww kwa njia yoyote and yes kwangu mm nimechukulia kama tusi.
narudia tena tuheshimiane. Ungeattack hoja yangu si kunishambulia mm
Basi nifatilie ktk nyuz zangu utaelewa,ila hapa nimejikita kuhusu huyu mwakasege,
Huyu mwakasege,kakobe, na manabii wote hapa tz ni wezi ,sipepes maneno
Huyo jamaa anakichaa na chuki zimemjaa tangu lini Mwakasege kawa nabii!! Muache "anafrastuesheni"Mwizi? Kivip
Dah!Basi utakuwa umejitukana mwenyewe kwa kumsemeamwanamme mwenzako kama mwanamke wake.
Mimi nimekuonesha tu kwamba umemsemea mwanamme mwenzako kama vile wewe ni mke wake.
Kiumeni tabia hiyo haifai.
Nimekufundisha kamajando.
Sijakutukana.
Ulitakiwa kunishukuru. Nilitakiwa kukuchaji fee.
Ulitakiwa kuomba tupige picha nami ukawaoneshe watu "Huyu Kiranga Mwalimu wangu alinifundisha kuandika kama mwanamme, na si kuandika mambo kama mke wa Mwakasege"
Khaaa, kuhimiza watu kwenda kuhiji Israel kwako ndo makwazo? Kuitembelea ardhi alikozaliwa Kristo Yesu kwako ni makwazo? Wewe utakuwa Shahidi wa Jehova, wanaokwenda Israel hawalazimishwi, ndo maana hata wewe umeishia tu kukwazika lkn hujafuatwa na mtu kukutaka uende!Mwalimu Mwakasege yuko juu sana huwezi kumlinganisha na watumishi wengi kwasababu moja kubwa,hafungwi na minyororo ya madhehebu.Nimewahi kuhudhuria semina nyingi za Bwana Mwakasege sikuwahi kumsikia hata siku moja akiwaelekeza watu waende kwenye dhehebu fulani fulani.
Kuna kasoro moja kubwa ambayo nimeiona kwa Bwana Mwakasege siku za karibuni amejikita sana kuwahimiza watu kwenda Israel.Amefikia hatua ya kuandaa safari za kwenda Israel kwa wanandoa as if uponyaji unapatikana unapokwenda Israel.Bwana mwakasege ndiye aliyemshauri E Ngoyai Elowassa kwenda Israel mara baada ya kuitia hasara kubwa nchi yetu na mkataba wa RICHMOND badala ya kumshauri aombe radhi watanzania kwa uzembe anamshauri aende Israel.
Mjasiriamali kama wengine, tofauti kila mtu anakuja na staili yakeView attachment 914902
Kwanini ?Ningeshangaa kama usinge coment
Sasa na wewe si ufanye huo ujasiriamali kama anaofanya Mwakasege maana kijiba cha roho kimekukaba kwelikweli kwenye koo, punguza wivu dada.Mjasiriamali kama wengine, tofauti kila mtu anakuja na staili yakeView attachment 914902
Dada tuliza mshono, mbona unapanikiSasa na wewe si ufanye huo ujasiriamali kama anaofanya Mwakasege maana kijiba cha roho kimekukaba kwelikweli kwenye koo, punguza wivu dada.