Je, kanisa linahitaji uwepo wa praise and worship team?

Kwani siku hizi kuna ibada..? ma pastor wanawatafuna, walimu wao wanawatafuna, hapo sijataja wapiga vyombo (musicians) na hili naongelea kwa uhakika
hili la wapiga vyombo wengi ni wazinzi, hawajaokoka, wana tamaa na ngono na hawafichi hisia zao. Kuna mmoja alijisifu na kuniambia wao wako romantic sana wanatamaniwa
 
Muache kutafunana sasa,
Kipindi nikiwa mdogo ...wanakwaya walikuwa na wamekuwa wakilana tu..( penye mkusanyiko lazma haya yawepo...wanafunzi walimu wafanyakazi viwandani nk)
Lakini kuhusu sisi kulana yanapoharibika mambo tunatangaza ndoa za haraka haraka ama tunabeba mizigo yetu tunakuja kubariki ndoa baadae...ila ninyi watu wazima wa makamo huko katika kwaya zenu mmekua mikiliana wake na wanaume na nafkiri hata mimba mwaziaharibu kwani uzinzi gani usio leta mimba
Mwisho ukimwi utawamaliza wazee
 
hili la wapiga vyombo wengi ni wazinzi, hawajaokoka, wana tamaa na ngono na hawafichi hisia zao. Kuna mmoja alijisifu na kuniambia wao wako romantic sana wanatamaniwa
Mimi nasema Ukweli Wanawake hupenda wanaume wenye kuonekana/umaarufu/vipaji sio kila mwanamuziki ni mzinzi kuna wakati unatambua kwamba sio kila anayekuomba ukaribu lazima ulale naye hapana...lakini sio makosa wao pia kuchanganyikiwa...
Wakati wote ambao nimekuwa nikilicharaza guitaa langu la solo wanawake waliwehuka..hata wakaacha kuwa rohoni...mimi nimebaki nikiheshimu talanta yangu na kujitunza mkuu
 
Mimi kama mpiga guitar mahiri na kijana wa kisasa niseme tu Wana Kwaya wa Jadi wakati wenu umepita ...tutawavumilia kama sehemu ya historia ya wapi kanisa limetoka ila kwa sasa Praise and Worship team ni uti wa Mgongo vinginevyo kanisani mtabakia wazee wenyewe...
Mtuache tufanye mambo kwa nyakati zetu.
mna mambo ya ajabu sana, jiheshimuni, msijifanye ni wa kisasa na kuona wazee wenu wamepitwa na wakati
 
Kipindi nikiwa mdogo ...wanakwaya walikuwa na wamekuwa wakilana tu..( penye mkusanyiko lazma haya yawepo...wanafunzi walimu wafanyakazi viwandani nk)
Lakini kuhusu sisi kulana yanapoharibika mambo tunatangaza ndoa za haraka haraka ama tunabeba mizigo yetu tunakuja kubariki ndoa baadae...ila ninyi watu wazima wa makamo huko katika kwaya zenu mmekua mikiliana wake na wanaume na nafkiri hata mimba mwaziaharibu kwani uzinzi gani usio leta mimba
Mwisho ukimwi utawamaliza wazee
ikigundulika kuna kulana kundi huvunjwa na wahusika hutengwa
 
mna mambo ya ajabu sana, jiheshimuni, msijifanye ni wa kisasa na kuona wazee wenu wamepitwa na wakati
Unajua mkuu...ni kawaida kizazi cha mbele kukikosoa kizazi kinachowafata...sikatai vijana tuna matatizo mengi..lakini pia wazee wanashindwa kuzungumza nasi kwa lugha ya upendo mnatukosoa na kukwazika nasi tunazidi kuwa kwaza hakuna mshindi...itabidi tukubaliane...
vijana wana vitu vyao ukiwanyima wataacha kuja utawapoteza....
Kwanini tu msitakase mambo tufanye muone namna Mungu atatukuzwa?
 
ikigundulika kuna kulana kundi huvunjwa na wahusika hutengwa
Tukiacha sasa ubishi ...hawa Wasanij wa sasa wa gospel unataka waimbe kama Barabara ya Kumi sjui na ngapi Buliyankhulu?
Hao wasanii sasa ndo matokeo ya praise and worship team
 
Mimi nasema Ukweli Wanawake hupenda wanaume wenye kuonekana/umaarufu/vipaji sio kila mwanamuziki ni mzinzi kuna wakati unatambua kwamba sio kila anayekuomba ukaribu lazima ulale naye hapana...lakini sio makosa wao pia kuchanganyikiwa...
Wakati wote ambao nimekuwa nikilicharaza guitaa langu la solo wanawake waliwehuka..hata wakaacha kuwa rohoni...mimi nimebaki nikiheshimu talanta yangu na kujitunza mkuu
Kijana usiwe mjanja sana, nimeanza kuimba kwaya late 90s, mabadiliko mengi ya kiuimbaji na kimaadili yameanza kubadilika kuanzia miaka ya 2010+

Sitaki kutaja majina ya kwaya ila kuna vijana nawajua maroho ya uzinzi na kunyanduana yamewavaa baada ya kujifunza kupiga mziki, wengine wapo hapa dar
 
Tukiacha sasa ubishi ...hawa Wasanij wa sasa wa gospel unataka waimbe kama Barabara ya Kumi sjui na ngapi Buliyankhulu?
Hao wasanii sasa ndo matokeo ya praise and worship team
tatizo ni uimbaji wao, matendo yao, mavazi yao, unyoaji na ujipambaji unachanganya waumini
 
Nafkiri namna tunaimba tenzi leo kwa huo mtindo wa zamani pia sio kama halisia walivyotunga kina Martin Luther ufundi wa muziki na mapokeo kila mara tutaongeza ladha mpya kulingana na roho anavyotuongoza
Ubunifu unatakiwa kudeviate kutoka katika dunia na sio kuikaribia dunia.
 
1. Umewahi kujua kuwa mtu mzuri ndio mbaya zaidi?
2. Umewahi kujua kuwa mtu mzuri ndio mbaya zaidi?
 
Unajua mkuu...ni kawaida kizazi cha mbele kukikosoa kizazi kinachowafata...sikatai vijana tuna matatizo mengi..lakini pia wazee wanashindwa kuzungumza nasi kwa lugha ya upendo mnatukosoa na kukwazika nasi tunazidi kuwa kwaza hakuna mshindi...itabidi tukubaliane...
vijana wana vitu vyao ukiwanyima wataacha kuja utawapoteza....
Kwanini tu msitakase mambo tufanye muone namna Mungu atatukuzwa?
tatizo mnaingiza mambo ya kigeni ambayo huko nyuma ilikuwa ni dhambi
 
Kijana usiwe mjanja sana, nimeanza kuimba kwaya late 90s, mabadiliko mengi ya kiuimbaji na kimaadili yameanza kubadilika kuanzia miaka ya 2010+

Sitaki kutaja majina ya kwaya ila kuna vijana nawajua maroho ya uzinzi na kunyanduana yamewavaa baada ya kujifunza kupiga mziki, wengine wapo hapa dar
Kweli mkuu hata mimi sikupingi Vijana tunachangamoto ya Uzinzi lakini sasa tufanyaje? Binafsi mimi nipo Kawaida nanyoa Afro navaa suruali ya kitambaa nina Mchumba mmoja...najua wananikosoa na kudhani mimi pia ni muhuni lakini si hivyo...kwa hiyo tuseme sio vijana wote ni wahuni. Japo wengi ni wahuni.
 
Back
Top Bottom