Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Kama ni waziri wa ulinzi linawahusu vyombo vyote km ni waziri wa mambo ya ndani tu nasi ni polisi na wagambo tu.Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.
Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.
Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.
Kaa kimya ule ugali wako!
Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
.... ana kiasi sio kama domo kaya mpenda masifa chembaIla Simbachawene huwa ametulia sana. Ana characters zooote za kiongozi mzuri sana.
Kwahiyo bado hata huoni tuchembechembe twatufaraja?Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.
Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.
Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.
Kaa kimya ule ugali wako!
Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Hivi ninyi ni nani huwadanganya hivi?Kuna mipaka ya kimamlaka boss. Waziri wa ulinzi ana mamlaka tu kwa wizara anayoishughulikia! Hana amri za kimamlaka juu ya wizara nyingine Wala juu ya vyombo vingine vya ulinzi kama polisi na mashirika ya kijasusi!Kama ni waziri wa ulinzi linawahusu vyombo vyote km ni waziri wa mambo ya ndani tu nasi ni polisi na wagambo tu.
Wanatuletea FUTUHI hawa ,wanaoteka watu ni makundi haya:-Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.
Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.
Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.
Kaa kimya ule ugali wako!
Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Wizara ya ulinzi inahusisha vyombo 3 tu.Hivi ninyi ni nani huwadanganya hivi?Kuna mipaka ya kimamlaka boss. Waziri wa ulinzi ana mamlaka tu kwa wizara anayoishughulikia! Hana amri za kimamlaka juu ya wizara nyingine Wala juu ya vyombo vingine vya ulinzi kama polisi na mashirika ya kijasusi!
Kilichopo ni kwamba kiitifaki waziri wa ulinzi yupo juu ya wengine wa vyombo vya ulinzi
Hizi operesheni za kuteka watu ni za TISS huwa wanawatumia maRCO kufanikisha mambo yao. Hii mbinu ya kuteka watu na kuwaua nadhani ndo jambo baya sana katika utawala huu. Wala haina utetezi wa kusema tunamuua fulani kwa sababu anahatarisha usalama wa taifa. Taifa la watu gani ambao wanauawa na vyombo vya usalama kuliko hata civil war za nchi kama kongo.Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.