Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

Je kati ya MUST(Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Je huyo mdogo wako,Ana moyo wa
  1. Kusoma
  2. Kujifunza nje ya mda wa masomo
  3. Kuvumilia upwiru
  4. Kukaa mbali na starehe
Usidanganyike na wanaosema facilities, Bongo vyuoni vitini Kwa sana kuliko practical.
Cha kwanza ni utayari wa mdogo wako.
 
Nina mdogo wangu alipita Arusha Tech, baadae MUST , mwingine alipiga Arusha Tech diploma baadae akapiga DIT hawa hawakukaa mtaani ajira ziliwafuata tena mmoja akaenda algeria huko kwenye refinaries za mafuta Kwa kugombaniwa kama dhahabu, to me hivyo vyuo naona wako deep sana
Mmmh mkuu sawa yawezekana madogo walipata kazi lakini sio kwa kugombaniwa aseeee acha kuzidisha chumvi
 
Back
Top Bottom