Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

Bana pale hamna chuo tunao huku mtaani wakowako tu
Wewe f.la kweli mtu mmoja mmja unamfananisha na college??

Basi hata India hakuna chuo kule...India hata ukienda kusoma tuition ukirudi...mwamba
 
Back
Top Bottom