Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

Je kati ya MUST(Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Je huyo mdogo wako,Ana moyo wa
  1. Kusoma
  2. Kujifunza nje ya mda wa masomo
  3. Kuvumilia upwiru
  4. Kukaa mbali na starehe
Usidanganyike na wanaosema facilities, Bongo vyuoni vitini Kwa sana kuliko practical.
Cha kwanza ni utayari wa mdogo wako.
 
Mmmh mkuu sawa yawezekana madogo walipata kazi lakini sio kwa kugombaniwa aseeee acha kuzidisha chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…