Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu.
Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na Rais wa ZANZIBAR.
Ikulu ya Tanzania kwa sasa ni dodoma ambapo ndio makao makuu ya shughuli zote za Jamuhuri ya muungano. Lakini pia tunayo ikulu kongwe ya dsm magogoni. Kiufupi ikulu zote ndio makaz ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿. Ikulu zote duniani ni commanding centre same zipo enhanced na security za hali ya juu kuzuwia Rais kidhuriwa au kutumia ikulu vibaya kwa masilah binafsi. Ikulu inalindwa kwa nguvu zote na kwa damu.
Katika siku zakaribuni kumekuwa na mazowea kiukweli napata shida nakwakuwa jukumu lakulinda katiba ni la kwetu sote natamani kujuwa haya
Hivi kwanini Rais amekuwa akipenda kutoa madokezo yakiwa na neno ikulu ndogo Tunguu badala ya ikulu Dodoma au Ikulu Magogoni?
Pili kwanini mh Rais amekuwa akipenda kufanya vikao vya baraza la mawaziri ikulu ndogo Tunguu na sio Ikulu ya Dodoma au Dsm?
Tatu kwanini amekuwa akipenda kwenda kuwaampishia mawaziri na viongozi wa jamuhuri ya Tanzania ikulu ndogo Tunguu?
Zanzibar ni nchi je anapoenda kule anaomba kibali kwa Rais wa Zanzibar au anaenda tu kama Rais wa Jamuhuri anahaki yakufanya kikao popote kwenye Jamuhuri ya Tanzania je haitoleta mkwamo wa kisiasa huko mbeleni kwamba yeye ni Rais wa Zanzibar au wa Tanzania mbona hatuoni Rais wa Zanzibar akija bara kuapisha mawaziri au akitoa maelekezo yenye kusema kutoka kurugenzi ya mawasiliano Chamino au Magogoni?
Kenya anaweza kuja kuapisha mawaziri Tanzania kwasababu ni shirikisho la Africa Mashariki ipo sawa kweli?
Je kufanya hivyo hakuwezi leta shida hapo mbeleni kwamba anayatweza madaraka ya Jamuhuri ya Tanzania wakati huwo huwo akimnyima mwenzake pumzi nakuleta msuguano wakikatiba usi na maana?
Hii imekaaje wajuvi wa sheria na wanazuwoni. Naomba msaada.