Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe hujui haimaanishi kuwa hazipo. Zipo nchi duniani zisizokuwa na jeshi, mfano hizi hapa..Je kuna nchi ambayo haina jeshi lake? Kama Zanzibar ni Nchi je jeshi lake ni lipi? Mkuu wa Majeshi wake ni Nani?
Jiwe alaaniwe kwa kuanzisha upuuzi huuYale yale ya Magufuli kumuapisha Mwigulu kibalazani chato
Ndege wafananao!!
Neno Tanzania limeundwa na maneno "Tanganyika" na "Zanzibar" (Nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar).Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu.
Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na Rais wa ZANZIBAR.
Katika siku zakaribuni kumekuwa na mazowea kiukweli napata shida nakwakuwa jukumu lakulinda katiba ni la kwetu sote natamani kujuwa haya
Hivi kwanini Rais amekuwa akipenda kutoa madokezo yakiwa na neno ikulu ndogo Tunguu badala ya ikulu Dodoma au Ikulu Magogoni?
Pili kwanini mh Rais amekuwa akipenda kufanya vikao vya baraza la mawaziri ikulu ndogo Tunguu na sio Ikulu ya Dodoma au Dsm?
Tatu kwanini amekuwa akipenda kwenda kuwaampishia mawaziri na viongozi wa jamuhuri ya Tanzania ikulu ndogo Tunguu?
Zanzibar ni nchi je anapoenda kule anaomba kibali kwa Rais wa Zanzibar au anaenda tu kama Rais wa Jamuhuri anahaki yakufanya kikao popote kwenye Jamuhuri ya Tanzania je haitoleta mkwamo wa kisiasa huko mbeleni kwamba yeye ni Rais wa Zanzibar au wa Tanzania mbona hatuoni Rais wa Zanzibar akija bara kuapisha mawaziri au akitoa maelekezo yenye kusema kutoka kurugenzi ya mawasiliano Chamino au Magogoni?
Kenya anaweza kuja kuapisha mawaziri Tanzania kwasababu ni shirikisho la Africa Mashariki ipo sawa kweli?
Je kufanya hivyo hakuwezi leta shida hapo mbeleni kwamba anayatweza madaraka ya Jamuhuri ya Tanzania wakati huwo huwo akimnyima mwenzake pumzi nakuleta msuguano wakikatiba usi na maana?
Hii imekaaje wajuvi wa sheria na wanazuwoni. Naomba msaada.
Mada nyingine ya nongwa, Zanzibar ina watu milioni moja sawa na wakazi wa wilaya ya kinondoni. Kanchi kadogo sana.Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu.
Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na Rais wa ZANZIBAR.
Katika siku zakaribuni kumekuwa na mazowea kiukweli napata shida nakwakuwa jukumu lakulinda katiba ni la kwetu sote natamani kujuwa haya
Hivi kwanini Rais amekuwa akipenda kutoa madokezo yakiwa na neno ikulu ndogo Tunguu badala ya ikulu Dodoma au Ikulu Magogoni?
Pili kwanini mh Rais amekuwa akipenda kufanya vikao vya baraza la mawaziri ikulu ndogo Tunguu na sio Ikulu ya Dodoma au Dsm?
Tatu kwanini amekuwa akipenda kwenda kuwaampishia mawaziri na viongozi wa jamuhuri ya Tanzania ikulu ndogo Tunguu?
Zanzibar ni nchi je anapoenda kule anaomba kibali kwa Rais wa Zanzibar au anaenda tu kama Rais wa Jamuhuri anahaki yakufanya kikao popote kwenye Jamuhuri ya Tanzania je haitoleta mkwamo wa kisiasa huko mbeleni kwamba yeye ni Rais wa Zanzibar au wa Tanzania mbona hatuoni Rais wa Zanzibar akija bara kuapisha mawaziri au akitoa maelekezo yenye kusema kutoka kurugenzi ya mawasiliano Chamino au Magogoni?
Kenya anaweza kuja kuapisha mawaziri Tanzania kwasababu ni shirikisho la Africa Mashariki ipo sawa kweli?
Je kufanya hivyo hakuwezi leta shida hapo mbeleni kwamba anayatweza madaraka ya Jamuhuri ya Tanzania wakati huwo huwo akimnyima mwenzake pumzi nakuleta msuguano wakikatiba usi na maana?
Hii imekaaje wajuvi wa sheria na wanazuwoni. Naomba msaada.
NAFIKIRI NI MAELEKEZO YA WAGANGA WAKE NA KWA KUWA ANAJUA HAMNA CHA KUMFANYA BASI ATAENDELEA 2!Na mimi naomba kuongeza swali;
- Walioapishwa wote wanaenda kukalia wizara za kimuungano?
- Waliokuwa wanakataa tusiseme kuwa Raisi ni mzanzibari, wana lolote la kueleza hapa? Kwanini sio Mtwara au Kigoma, iwe Zanzibar kila mara?
- Kwanini hatuna utamaduni wa kuheshimu ikulu maalum ya nchi/jamhuri?
Kwanini isiwe kuwa Raisi analazimika kukaa kwenye vi-ikulu vidogo kwa sababu maalum na iwe pengine ni mara zisizozidi 12 kwa mwaka?
- Kama tumeamua ni Dsm na Dom, basi iwe huko tu.
- Anazo means zote za kuwa ofisi maalum kila siku isipokuwa kwa dharula maalum.
Kuwepo Zanzibar kila wakati ni sawa na kusema anajipa likizo kila wakati na kurudi kwao!
- Watangulizi wake tumewahi kusikia wakitembelea makwao wakiwa likizo.
- Najua atatajwa Jiwe na Chato, ingawa hakuna asiyejua pengine kwa udaku uliopo mitandaoni kuwa sababu za kuwepo Chuto ndo zili-prolongu eksistensi labda.
Raisi wa JMT akiwa nchi jirani ya Zenji, anatii Katiba na sheria za wapi?
Hata Wabunge 19 wa viti maalum waliapishwa kibarazani, muhimu ni kiapo kwa utaratibu husika.Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu.
Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na Rais wa ZANZIBAR.
Katika siku zakaribuni kumekuwa na mazowea kiukweli napata shida nakwakuwa jukumu lakulinda katiba ni la kwetu sote natamani kujuwa haya
Hivi kwanini Rais amekuwa akipenda kutoa madokezo yakiwa na neno ikulu ndogo Tunguu badala ya ikulu Dodoma au Ikulu Magogoni?
Pili kwanini mh Rais amekuwa akipenda kufanya vikao vya baraza la mawaziri ikulu ndogo Tunguu na sio Ikulu ya Dodoma au Dsm?
Tatu kwanini amekuwa akipenda kwenda kuwaampishia mawaziri na viongozi wa jamuhuri ya Tanzania ikulu ndogo Tunguu?
Zanzibar ni nchi je anapoenda kule anaomba kibali kwa Rais wa Zanzibar au anaenda tu kama Rais wa Jamuhuri anahaki yakufanya kikao popote kwenye Jamuhuri ya Tanzania je haitoleta mkwamo wa kisiasa huko mbeleni kwamba yeye ni Rais wa Zanzibar au wa Tanzania mbona hatuoni Rais wa Zanzibar akija bara kuapisha mawaziri au akitoa maelekezo yenye kusema kutoka kurugenzi ya mawasiliano Chamino au Magogoni?
Kenya anaweza kuja kuapisha mawaziri Tanzania kwasababu ni shirikisho la Africa Mashariki ipo sawa kweli?
Je kufanya hivyo hakuwezi leta shida hapo mbeleni kwamba anayatweza madaraka ya Jamuhuri ya Tanzania wakati huwo huwo akimnyima mwenzake pumzi nakuleta msuguano wakikatiba usi na maana?
Hii imekaaje wajuvi wa sheria na wanazuwoni. Naomba msaada.
Ndani ya eneo la urais hakuna nchi inaitwa Chato wa mwanza. Ila kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar upo hapoToeni ujinga wenu na chuki za kipuuzi,mbona hamkusema magufuli alikuwa anawaapisha mawaziri chato? Au chuki za jinsia na imani zinawasumbua,?
Vitu vingine vya kipuuzi haifai kulaumu,kwani znz haipo Tanzania au
Mkuu wewe ilikuwa kila anachofanya bwana magufuli wewe ulikuwa unapongeza, kwaiyo na samia acha afañye vile katiba inataka,na ambacho katiba haijakataza acha afanyeNdani ya eneo la urais hakuna nchi inaitwa Chato wa mwanza. Ila kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar upo hapo