Je, katiba ina semaje kuapisha viongozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar?

Je kuna nchi ambayo haina jeshi lake? Kama Zanzibar ni Nchi je jeshi lake ni lipi? Mkuu wa Majeshi wake ni Nani?
Kama wewe hujui haimaanishi kuwa hazipo. Zipo nchi duniani zisizokuwa na jeshi, mfano hizi hapa..
👇
Mauritius, Andora, Costa Rica, Liechtenstein, Panama, Iceland, nk..
 
Neno Tanzania limeundwa na maneno "Tanganyika" na "Zanzibar" (Nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar).
Baada ya Muungano Tanganyika ilijivika koti la serikali ya Muungano na Bunge la Tanganyika likawa la Muungano na Zanzibar ikabaki na serikali yake ikiwa na mambo machache ya kiutawala.
Kwa sababu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni kiongozi wa Tanganyika na Zanzibar hivyo hana mipaka ya kiutendaji ndani ya Jamuhuri ya Muungano akiwa anatekeleza majukumu yake.

Hivyo anachokifanya Rais Samia sio kosa, Zanzibar ~ Tanzania Visiwani ni sehem ya Nchi yetu na hii ni tofauti kwa Rais wa Zanzibar maana yeye anatekeleza mambo yanayohusu Zanzibar kwa hiyo hawezi kufanyia vikao rasmi na Baraza lake Dodoma iwapo katiba haijamzuia.

Hali ipo hivyo tuangalie another angle for discussion & not provoking critics for unnecessarily concerns.
 
Mada nyingine ya nongwa, Zanzibar ina watu milioni moja sawa na wakazi wa wilaya ya kinondoni. Kanchi kadogo sana.
 
NAFIKIRI NI MAELEKEZO YA WAGANGA WAKE NA KWA KUWA ANAJUA HAMNA CHA KUMFANYA BASI ATAENDELEA 2!
 
Hata Wabunge 19 wa viti maalum waliapishwa kibarazani, muhimu ni kiapo kwa utaratibu husika.
 
Toeni ujinga wenu na chuki za kipuuzi,mbona hamkusema magufuli alikuwa anawaapisha mawaziri chato? Au chuki za jinsia na imani zinawasumbua,?
Vitu vingine vya kipuuzi haifai kulaumu,kwani znz haipo Tanzania au
Ndani ya eneo la urais hakuna nchi inaitwa Chato wa mwanza. Ila kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar upo hapo
 
Saa100 dawa yenu!
Mlimpata JPM huko bara mkaceza na lulu.
Tulieni sindano iwaingie
 
Tanzania tunakatiba tokea lin ...?na nilini tunafata katiba
Kwanza katiba ni kakijitabu tuuu
 
Ndani ya eneo la urais hakuna nchi inaitwa Chato wa mwanza. Ila kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar upo hapo
Mkuu wewe ilikuwa kila anachofanya bwana magufuli wewe ulikuwa unapongeza, kwaiyo na samia acha afañye vile katiba inataka,na ambacho katiba haijakataza acha afanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…