Kisheria Mama anatakiwa kumaliza muda uliobaki mpaka 2025 na kiruhusiwa kigombea muhula mwingine mmoja 2025-2030.
True Tena Mungu wa Mbinguni sio wa Chato.Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Kwa katiba ipi?! Katiba iliyopo ni ukomo wa mihula miwili, na yeye mwenyewe alinukuliwa mara kadhaa akisema ataheshimu katiba dhidi ya kujiongezea muda.Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Hivi unajua watumishi wote wa ikulu wa enzi ya jiwe wamejenga nyumba binafsi Chato ? uliwahi kulijua hilo na uliwahi kujiuliza kisa cha wasio wa chato kujenga majengo kule ambako si kwao na hakuna fursa zozote za kiuchumi ?Kwa katiba ipi?! Katiba iliyopo ni ukomo wa mihula miwili, na yeye mwenyewe alinukuliwa mara kadhaa akisema ataheshimu katiba dhidi ya kujiongezea muda.
Hayupo kwasasa, tujadili yaliyopo.
Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombeaAtamaliza hii miaka mitano aliyoikutia, then 2025 atagombea yeye Kama yeye kwa vipindi viwili, yaani 2025 had 2030,
halafu 2030 hadi 2035, hapo ndio anamaliza
Huyu atapiga 14 years.Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani,kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa,kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza kutuongoza kwa miaka 14 iwapo atachaguliwa katika chaguzi mbili zijazo au atatuongoza kwa miaka hii minne na miaka 5 ijayo kwa hiyo kuwa raisi kwa miaka 9? Naona kwa sasa hili hakuna anayelizungumzia sote tumebaki kushangilia tu.Je katiba inasemaje kutokana na hali tuliyonayo sasa?
Kikatiba mwisho wake mpaka 2030Mimi naona apewe tu hadi 2035
#chawa_wa_samia_suluhu_hassan
Hapana mkuu, mwisho wa Samia ni 2030. Hilo ni takwa la kikatiba, apende asipende.Huu wa Sasa 2021-2025 unatambulika Kama muhula wake wa kwanza, 2025-2030 Ni muhula wake wa pili na wa mwishoAtamaliza hii miaka mitano aliyoikutia, then 2025 atagombea yeye Kama yeye kwa vipindi viwili, yaani 2025 had 2030,
halafu 2030 hadi 2035, hapo ndio anamaliza
..kikatiba anaruhusiwa pia, kugombea au kutogombea.Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea
We Kama nani hadi useme ivyo,Hapana mkuu, mwisho wa Samia ni 2030. Hilo ni takwa la kikatiba, apende asipende.Huu wa Sasa 2021-2025 unatambulika Kama muhula wake wa kwanza, 2025-2030 Ni muhula wake wa pili na wa mwisho
Wasukuma mnajipa matumaini..kikatiba anaruhusiwa pia, kugombea au kutogombea.
Umeongea neno kubwa, la hekima na lenye maana sana.Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Ingekuwa wewe ungeweza kufanya uho uzuzu,, yaani 2025 asigombee ili kupisha wasukuma au??Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea