Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

Kwa katiba ipi?! Katiba iliyopo ni ukomo wa mihula miwili, na yeye mwenyewe alinukuliwa mara kadhaa akisema ataheshimu katiba dhidi ya kujiongezea muda.

Hayupo kwasasa, tujadili yaliyopo.
Umenikumbusha hadithi ya sungura- sizitaki mbichi hizi...
 
Back
Top Bottom