Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

Kimsingi awamu ya tano ilikuwa imebakiza miaka minne ili kukamilisha ngwe ya miaka 10 ambayo ni ukomo wa mihula miwili iliyotajwa na katiba. Kwa sababu yeye ni moja ya viongozi walioomba kura kuongoza katika hii miaka 10 inayofikia tamati 2025 hawezi ku-qualify kugombea tena baada ya 2025, hili lipo wazi kabisa labda kama kuna watu watataka kupindisha hapa na pale....
 
Kwa katiba ipi?! Katiba iliyopo ni ukomo wa mihula miwili, na yeye mwenyewe alinukuliwa mara kadhaa akisema ataheshimu katiba dhidi ya kujiongezea muda.

Hayupo kwasasa, tujadili yaliyopo.
Katiba iliyopo inampa nafasi ya kugombea another 5yrs kwa hiyo 2025 ni YEYE kwa ccm. Form itachapishwa moja tu.Mungu akimpa afya njema ni rais wa miaka 9 ijayo. Katiba yetu nzuri sana imeaddrwss controversial issues zote
 
Nenda kasome katiba acha kusoma kwa vipande vipande. Samia hadi 2030 kikatiba
 
Atamaliza hii miaka mitano aliyoikutia, then 2025 atagombea yeye Kama yeye kwa vipindi viwili, yaani 2025 had 2030,

halafu 2030 hadi 2035, hapo ndio anamaliza
Hapana, atagombea muhula mmoja tu kwa mujibu wa katiba maana katiba inazungumza wazi kwamba endapo Rais atarithi kiti cha Urais katika kipindi kinachozidi miaka mitatu kabla ya uchaguzi mkuu unaofuata basi ataruhusiwa kugombea muhula mmoja tu. Lakini endapo atarithi kiti cha Urais kwa kipindi kinachopungua miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu unaofuata basi anaruhusiwa kugombea mihula miwili.
 
Mnachekesha wasukuma, mbona anasema ye na Magufuli ni kitu kimoja" lakini Bado anafanya overall kwenye engine,
Mama ashajua acheze vipi na akili zenu, mkuu" take it from me, SAMIA tunae hadi #2035__ hutaki jiue
Acha nijitahidi kukujibu,
Kabila langu has nothing to do with my opinions,
And by the way hiyo sio opinion yangu bali nimenukuu tu toka kwa mtajwa,
Suala la kugombea Au kutogombea hadi 2035 as you said hiyo ni maamuzi yake binafsi in which wapiga kura wenyewe na kitengo vitaamua!
 
Ilo hitaji la katiba tungewaona hamna agenda ya ukabila na uoga, Kama mngesema izo ajenda zenu kipind cha mwendazake,

Muache mama apige kazi, lasivyo atawanyoosha
Haahaa huyu mama si wa kuvunja katiba Kama mwenda zake..
 
Mnachekesha wasukuma, mbona anasema ye na Magufuli ni kitu kimoja" lakini Bado anafanya overall kwenye engine,
Mama ashajua acheze vipi na akili zenu, mkuu" take it from me, SAMIA tunae hadi #2035__ hutaki jiue
Haahaa 2035 kwa katiba ipi mkuu.weka kifungu
 
Hili alilisema mwenyewe siku anaapisha kuhusu wanaopita pita kujiandaa Na urais 2025 watulie muda bado Na chama kinawaangalia closely!
Zuzu wewe, mnajidanganya wasukuma, kumbe nyi hamjielewi, eti Agombei 2025,
 
Atamaliza hii miaka mitano aliyoikutia, then 2025 atagombea yeye Kama yeye kwa vipindi viwili, yaani 2025 had 2030,

halafu 2030 hadi 2035, hapo ndio anamaliza
Kwa hiyo itakuwa kama case ya marehemu Nkuruzinza wa Burundi?
 
Hivi unajua watumishi wote wa ikulu wa enzi ya jiwe wamejenga nyumba binafsi Chato ? uliwahi kulijua hilo na uliwahi kujiuliza kisa cha wasio wa chato kujenga majengo kule ambako si kwao na hakuna fursa zozote za kiuchumi ?

Ukipata jibu rudi tena
Mkuu kikwete nae alipewa kiwanja Chato kama alivyonukuliwa siku ya msiba wa mwendazake, je nae unamzungumziaje?
 
Mkuu uwe unajibu hoja na sio kushambulia watu, una uhakika gani kuwa huyo ni Msukuma? kama Wasukuma hawana haki nchi hii basi vile vile na Wakwere,Wazaramo na wengineo basi nao hawana haki ya kututawala.
 
Hivi unajua watumishi wote wa ikulu wa enzi ya jiwe wamejenga nyumba binafsi Chato ? uliwahi kulijua hilo na uliwahi kujiuliza kisa cha wasio wa chato kujenga majengo kule ambako si kwao na hakuna fursa zozote za kiuchumi ?

Ukipata jibu rudi tena
Mkuu siyo wa ikulu tu, watumishi wengi was umma wamepewa viwanja huko
 
Katiba inampa mamlaka ya kugombea tena kipindi kimoja 2025_2030.
Kwa vile mama Samia Suluhu ni zaidi ya mcha mungu. Sidhani kama atakuwa tayari kubeba dhambi siku wabunge wa CCM wabadilishe katiba itakayomruhusu agombee zaidi ya vipindi viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…