Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba mpaka mabango yenye picha za Tindu Lissu barabarani
Na Madai yao ndio wanaanza rasmi maandamano
Je Haya Maandamano yataleta hayo na kisha Amani ya Nchi itawale?
britanicca Mzee Mwanakijiji Kiranga